Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Ni kweli uislamu una asilimia kubwa ya ukweli tofauti na ukristo. Lakini nayo huwa ina mambo ya hovyo kutokana na wafuasi wake wengi kuwa watu wa vurugu.
Ukweli kuwa ukifa utaenda kukuta mito ya mvinyo kule Akhera na wanawake mabikira 40 wa kuwagonga na pembeni 60 wakikusubiri?
 
Siyo alikufa alipigwa hadi kufa, hivo ali uliwa, yesu kama yesu kafeli pakubwa tu, haja acha athari yoyote huko islael, (Jerusalem,tel aviv), sasa huyo Mtu kafaulu vipi?, wewe kaza fuvu, kaa utafakari na siyo ku ropoka tu,

MTume Muhammad kafanikiwa kila idara hadi umauti una mkuta Makkah na madina zilimkubali na zika mfuata na utawala wa kiislamu ndio ali uacha, na hadi leo hii huko Saudia Arabia wana tumia sheria zake, sasa hapo nani kafeli?,

Yesu Alikufa akafufuka,muddy pedohile yupo jehanam tunamswalia
 
Uzuri wa UISLAM upo hapa
 
Attachments

  • ea7609721dc205039f970e4bb9a299a5.mp4
    2.8 MB
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Unahitaji maombi kijana, Uislam si dini ni CULT ya shetani.
 
Hapana sio ya nabii Tito, haya ni mafundisho ya demu aliyebakwa na Mudi, Aisha mrembo

Ndiyo mafundisho ya yule aliyekamatwa na kijana aliyeweka chupi begani saa 10 alfajiri kule kwenye vichaka vya gesthemane

Jesus, looking at him, loved him, and said….

And and after six days Jesus told him what he wast to do and in the evening the youth comes to him, wearing a linen cloth over his naked body. And he remained with him that night, for Jesus taught him the mystery of the kingdom of God. And then, arising, he returned to the other side of Jordan.
 
Tumia akili yesu anasema kuto kuoa wala kuolewa kwa ajili ya mungu ni chaguo bora zaidi sasa ushoga umetoka wapi hata kilogic inagoma ...haya eleza wewe towashi ni nani ? Soma hapa wewe kiazi mbatata

Towashi haingii katika ufalme wa mungu sasa wewe unayesema eunuch ni towashi inakuwaje tena awe ni mtu wa kanisa ??? Huyo ni SHOGA

Deuteronomy 23

Douay-Rheims Bible

Exclusion from the Congregation

1An eunuch, whose testicles are broken or cut away, or yard cut off, shall not enter into the church of the Lord.
 
Wewe usituzuge eti mkristo na kama ni mkristo kweli basi itakuwa haujitambui.

Unatakiwa kumshukuru muumba wako umezaliwa kwenye nchi yenye wakristo wengi, vinginevo ungeshadanja kitambo au pengine usingezaliwa kabisa.

Hao watu wahovyo kabisa wewe jaribu uingie youtube uangalie maisha yao kwenye izo nchi zao utakuja kuedit huu uharo wote ulioweka hapa. Kama haujui hawa wanapigana risasi za kichwa mchana kweupe utafikiri wanapiga matikiti.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya 'MKRISTO NA UKRISTO' na kati ya 'MUISLAMU NA UISLAMU'
 
Mi Niko Nanjilinji, hata huku Yesu anaokoa na kutenda kazi Kama huko Israel
Mbona yeye hakutumwa kwa waafrika ataokoa vipi ?

Yesu alionya, lakini Paulo hakusikia:

"Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na wakawararua."

Unakanyaga lulu wewe
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Hujawahi kula kitimoto ya Kazimoto pale segerea,usingeongea huu upuuzi,hadi waarab wanakushangaa😁
 
Wewe usituzuge eti mkristo na kama ni mkristo kweli basi itakuwa haujitambui.

Unatakiwa kumshukuru muumba wako umezaliwa kwenye nchi yenye wakristo wengi, vinginevo ungeshadanja kitambo au pengine usingezaliwa kabisa.

Hao watu wahovyo kabisa wewe jaribu uingie youtube uangalie maisha yao kwenye izo nchi zao utakuja kuedit huu uharo wote ulioweka hapa. Kama haujui hawa wanapigana risasi za kichwa mchana kweupe utafikiri wanapiga matikiti.

Ni kweli kwenye nchi Za Wakristo kuna raha tupu kwani ndoa Za jinsia moja zimeruhusiwa makanisani. Hata ndoa na wanyama Kama mbwa na farasi zimeruhusiwa
 
Back
Top Bottom