Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mungu hahitaji mwanadamu apiganie dini yake, tupo sahihi kabisa kutokuwa na upuuzi wa kupigania dini. Mwenye dini yake ndo anajua atafanya nini ili iendelee.
Mungu wa hivyo hayupo. Mola amewashachagua wawakilishi na huleta waja miongoni mwetu wa kuipigania dini yake. Huu ndio mwenenendo wa Mola wetu tangu zamani.

Hata leto hii tuliamua sote tuachane na dini ya UISLAMU, hakika hapungukiwi na chochote wala hakiongezeki chochote, bali Allah huwaleta waja wake wengine kwa ajili ya kuipigania dini yake.

Hao mitume wote aliwachagua na kuwatuma kwa ajili hiyo. Ndio maana akawatumia kina Yesu, na mitume wengine.
 
Una uhakika hayo ndio mafundisho ya UISLAMU ?

UISLAMU hauhamasishi visasi, bali Kisasi ni haki, ila kusamehe ni bora zaidi.

Hata Yesu alivaa Kobazi, Madera yanaingiaje katika UISLAMU au unaleta mzaha ?
 
Narudia wewe huna hoja wewe mtoto mdogo yaani underdog tu

Maneno mengi bila hata ya ushahidi,
Mimi nilianza kuleta aya hii

Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki, yaani ina pinga makelele yako yoyote hapo ju

Anyway, wewe ni beginner ktk bibilia yako na dini yako, niitie mwalimu wako wa Imani anipe majibu according to bibilia,

Please acha comments zangu nami naacha zako
 
Yesu siku aliyo sulibiwa alivaa mavazi mbalimbali maana alikuwa mikononi mwa mamlaka za kiserikali kwenye matendo ya kumdhihaki ndiyo walimvisha mavazi mbali mbali matukufu na hadi taji ya miba walimvisha ila vazi alilokamatwa nalo ni kanzu ya kawaida tu siyo nyekundu wala zambarau ...kwenye kumfanyia dhihaka ndiyo walimvisha mavazi mbalimbali ya kitukufu
 
Umetoka dini ya wazungu umehamia dini ya waarabu sio!
UISLAMU sio dini ya Waarabu, bali ni Dini ya Allah.

Ndio maana Qur'an inatuambia hakika mbora mbele ya Allah ni yule Machungu.
 
yaani hii ndio njia yake ya kueneza dini, hana zuri lolote la kwenye dini yake anaweza kuelezea, dini ya jihad, dini ya kuoa watoto wa miaka 9, dini ya kikatili kabisa inayochinja wanadamu ili ikapate mabikira 72, ni chizi tu anaweza kuingia hii imani.
 
Leta aya kutoka Ktk bibilia iki thibitisha hayo mavazi aliyo vishwa
 
Tunapenda sana dini kuliko kumpenda Mungu, tunaabudu dini ni si Mungu, yani dini zimekuwa Mungu kwetu.
 
Unakuja unapiga kelele za ukristu ukristu, ukristu ni nini??
Kama bado Kuna mtu anakaa kwa kristo sababu tu amezaliwa kamkuta kristo kwa baba na mama yake. Yeye mwenyewe Hana kristo ndani yake. Bado anasafari ndefu kama wewe .
Nani aliuleta Ukristo ?
 
Kwani neno mungu kubadiliki maana yake wewe unadhani ni nini ? Inaweza kuwa kubadiliki katika kuwa upande wa watenda haki na kuwa kinyume na watenda uovu ...kwani wewe unaposikia kuwa mungu abadiliki unadhani ni kuto kubadilika kwenye kitu gani ?
 
Uislamu nao umechezewa sana na kutiwa mikono siyo ukristo tu ndiyo ulio chezewa
UISLAMU ukiingiza hata herufi tu, lazima utajulikana na utawekwa wazi.

Allah aliahidi kuilinda hii dini, kuanzia maneno yake mpaka maneno ya Mtume wake, vyote amevilinda.
 
Ahadi ya bikira 72 si mchezo.
 
Unajua hiyo kazi ya huyo askari hapo ni nini ?

Kuhalikisha watu hawafanyi Ushirikina katika hilo jiwe, iwe kwa kauli au kwa matendo.

Hilo jiwe haliabudiwi bali linapaswa kuguswa kama alivyo onekana Mtume akiligusa, na Wala halidhuru kadhalika Wala halinufaishi hilo jiwe.
 
Tunapenda sana dini kuliko kumpenda Mungu, tunaabudu dini ni si Mungu, yani dini zimekuwa Mungu kwetu.
Sasa mkuu hivi bila ya dini utamjua MUNGU?, jibu hapana

Ikiwa huwezi rusha ndege bila ya kuisoma vivo hivo huwezi mjua MUNGU pasi na dini, please keep in your mind
 
Leta aya kutoka Ktk bibilia iki thibitisha hayo mavazi aliyo vishwa
Katika kuya jua mambo ya mungu kuna lengo kuu ...lengo kuu hapo kwenye hayo mavazi lilikuwa ni kuelezea kuwa walimvisha mavazi matukufu ya wakati ule wakimfanyia dhihaka lengo siyo hasa rangi ya mavazi ...nisawa na kile kisa cha madenge kuulizwa swali na mwalimu wake kuwa "ukiwa na machungwa kumi rafiki zako wakakupora machungwa 6 utabaki na mangapi...yeye akajibu kuwa nitapigana nao hadi wanirudishie machungwa ...logic zako wewe ni primitive kama za madenge
 
Hapana,

Philosophy haijaniharibu.

Kukosa kujua philosophy kumewaharibu wengi ninaokwaruzana nao hapa.

Msingi wa Falsafa ni tafakuri za watu ambao walikuwa wavivu wa kufikiri, na kuamua kupitia njia za Makato ndio maana Falsafa ina makosa mengi kuliko usahihi.

Wengine tuliisoma tukaamua kuachana nayo sababu inatufanya tuwe WAJINGA, na kuwa tunafikiria mambo mambo kitoto kama walivyokuwa wanaofikiria Wanafalsafa wa kale wa Magharibi.
 
Huu ni ukafiri ,UTASHANGAA muislamu anamcheka mkatoliki wakati wote ni wale wale

Thus why nasema Uislamu umeanzisha na Ukatoliki
Hili huwezi kuthibitisha mpaka unakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…