Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mungu hahitaji mwanadamu apiganie dini yake, tupo sahihi kabisa kutokuwa na upuuzi wa kupigania dini. Mwenye dini yake ndo anajua atafanya nini ili iendelee.
Mungu wa hivyo hayupo. Mola amewashachagua wawakilishi na huleta waja miongoni mwetu wa kuipigania dini yake. Huu ndio mwenenendo wa Mola wetu tangu zamani.

Hata leto hii tuliamua sote tuachane na dini ya UISLAMU, hakika hapungukiwi na chochote wala hakiongezeki chochote, bali Allah huwaleta waja wake wengine kwa ajili ya kuipigania dini yake.

Hao mitume wote aliwachagua na kuwatuma kwa ajili hiyo. Ndio maana akawatumia kina Yesu, na mitume wengine.
 
Hiyo dini ndo hamna kitu kabisa yaani ni zero bin sifuri,dini ya kweli inahamasisha visasi na majuaji? Fuatilia makundi yote ya kigaidi duniani %99.9 ni dini hiyo ya wavazaa kobaz ,madera na vibakuli kichwani, dini ya kweli hainezwi kwa mtutu wa bunduki na kulazimishana
Una uhakika hayo ndio mafundisho ya UISLAMU ?

UISLAMU hauhamasishi visasi, bali Kisasi ni haki, ila kusamehe ni bora zaidi.

Hata Yesu alivaa Kobazi, Madera yanaingiaje katika UISLAMU au unaleta mzaha ?
 
Tumia akili wewe unaongea upuuzi ambao niliwajibu waislamu wenzako wakakosa hoja una rudia rudia mambo ndiyo maana naona uvivu kukujibu .....yesu ni mungu ndani ya mwili ni kama tulivyo sisi binadamu ni nafsi ndani ya miili hata sisi binadamu atujawai kuonana katika nafsi ambayo ndiyo sisi miili ni jumba tu linalo kuifadhi wewe na mimi hivyo hata wewe ujawai kujiona unachokiona ni mwili wako tu siyo wewe mwenyewe ambaye ni nafsi hivyo mungu ajawai kuonekana kama alivyo bali alionekana mwili ambao mwili wa yesu siyo mungu bali nafsi ya yesu ndiyo mungu ...kuhusu kufa kilichokufa ni mwili wa yesu nafsi ya yesu ambayo ndiyo Mungu ilitoka tu ndani ya mwili na kufanya mwili ubaki mfu na siku ya tatu nafsi ya mungu ililejea ndani ya mwili wa yesu na huko ndiyo kufufuka ...hivyo mungu akufa lilicho kufa ni mwili ndiyo maana msalabani yesu anamuambia yule muhalifu kuwa 👉leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi ....sasa yesu aliye kufa kwa siku tatu ni yupi na huyo anaye sema leo hiiutakuwahai pamoja nami peponi ni yupi ?
Narudia wewe huna hoja wewe mtoto mdogo yaani underdog tu

Maneno mengi bila hata ya ushahidi,
Mimi nilianza kuleta aya hii

Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki, yaani ina pinga makelele yako yoyote hapo ju

Anyway, wewe ni beginner ktk bibilia yako na dini yako, niitie mwalimu wako wa Imani anipe majibu according to bibilia,

Please acha comments zangu nami naacha zako
 
YESU alipo surubiwa alivaa vazi gani??

Wanafunzi wa YESU walishuhudia kifo chake mwanzo mwisho, na hao walikua wanaongozwa na
"roho Mtakatifu"

Ajabu kila Mwanafunzi ana elezea hilo tukiovtofauti na mwengine

Mara wakati YESU ana surubiwa alivaa vazi la zambarau , mwengine anasema yesu wakati ana surubiwa alivaa vazi jekundu,

Which is which?, huyo ndio roho Mtakatifu aliye waongoza?

Na hiyo ndio bibilia Yako,
Swali je nani yupo sasi Kati yao?

Note maandiko yapo, hilo sio kipengele

Mkuu still huna hoja
Yesu siku aliyo sulibiwa alivaa mavazi mbalimbali maana alikuwa mikononi mwa mamlaka za kiserikali kwenye matendo ya kumdhihaki ndiyo walimvisha mavazi mbali mbali matukufu na hadi taji ya miba walimvisha ila vazi alilokamatwa nalo ni kanzu ya kawaida tu siyo nyekundu wala zambarau ...kwenye kumfanyia dhihaka ndiyo walimvisha mavazi mbalimbali ya kitukufu
 
Umetoka dini ya wazungu umehamia dini ya waarabu sio!
UISLAMU sio dini ya Waarabu, bali ni Dini ya Allah.

Ndio maana Qur'an inatuambia hakika mbora mbele ya Allah ni yule Machungu.
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
yaani hii ndio njia yake ya kueneza dini, hana zuri lolote la kwenye dini yake anaweza kuelezea, dini ya jihad, dini ya kuoa watoto wa miaka 9, dini ya kikatili kabisa inayochinja wanadamu ili ikapate mabikira 72, ni chizi tu anaweza kuingia hii imani.
 
Yesu siku aliyo sulibiwa alivaa mavazi mbalimbali maana alikuwa mikononi mwa mamlaka za kiserikali kwenye matendo ya kumdhihaki ndiyo walimvisha mavazi mbali mbali matukufu na hadi taji ya miba walimvisha ila vazi alilokamatwa nalo ni kanzu ya kawaida tu siyo nyekundu wala zambarau ...kwenye kumfanyia dhihaka ndiyo walimvisha mavazi mbalimbali ya kitukufu
Leta aya kutoka Ktk bibilia iki thibitisha hayo mavazi aliyo vishwa
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Tunapenda sana dini kuliko kumpenda Mungu, tunaabudu dini ni si Mungu, yani dini zimekuwa Mungu kwetu.
 
Unakuja unapiga kelele za ukristu ukristu, ukristu ni nini??
Kama bado Kuna mtu anakaa kwa kristo sababu tu amezaliwa kamkuta kristo kwa baba na mama yake. Yeye mwenyewe Hana kristo ndani yake. Bado anasafari ndefu kama wewe .
Nani aliuleta Ukristo ?
 
Narudia wewe huna hoja wewe mtoto mdogo yaani underdog tu

Maneno mengi bila hata ya ushahidi,
Mimi nilianza kuleta aya hii

Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki, yaani ina pinga makelele yako yoyote hapo ju

Anyway, wewe ni beginner ktk bibilia yako na dini yako, niitie mwalimu wako wa Imani anipe majibu according to bibilia,

Please acha comments zangu nami naacha zako
Kwani neno mungu kubadiliki maana yake wewe unadhani ni nini ? Inaweza kuwa kubadiliki katika kuwa upande wa watenda haki na kuwa kinyume na watenda uovu ...kwani wewe unaposikia kuwa mungu abadiliki unadhani ni kuto kubadilika kwenye kitu gani ?
 
Uislamu nao umechezewa sana na kutiwa mikono siyo ukristo tu ndiyo ulio chezewa
UISLAMU ukiingiza hata herufi tu, lazima utajulikana na utawekwa wazi.

Allah aliahidi kuilinda hii dini, kuanzia maneno yake mpaka maneno ya Mtume wake, vyote amevilinda.
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Ahadi ya bikira 72 si mchezo.
 
Hao ni Waromani ambao ndio walianzisha Uislamu

Ndio maana wote mnaabudu masanamu na mawe

Unawacheka wakatoliki ,hujui hao ndio mabosi zenu

Ona wenzako Hawa wanaabudu jiwe jeusi la makka

Eti dini ya hakiView attachment 3261864View attachment 3261865
Unajua hiyo kazi ya huyo askari hapo ni nini ?

Kuhalikisha watu hawafanyi Ushirikina katika hilo jiwe, iwe kwa kauli au kwa matendo.

Hilo jiwe haliabudiwi bali linapaswa kuguswa kama alivyo onekana Mtume akiligusa, na Wala halidhuru kadhalika Wala halinufaishi hilo jiwe.
 
Tunapenda sana dini kuliko kumpenda Mungu, tunaabudu dini ni si Mungu, yani dini zimekuwa Mungu kwetu.
Sasa mkuu hivi bila ya dini utamjua MUNGU?, jibu hapana

Ikiwa huwezi rusha ndege bila ya kuisoma vivo hivo huwezi mjua MUNGU pasi na dini, please keep in your mind
 
Leta aya kutoka Ktk bibilia iki thibitisha hayo mavazi aliyo vishwa
Katika kuya jua mambo ya mungu kuna lengo kuu ...lengo kuu hapo kwenye hayo mavazi lilikuwa ni kuelezea kuwa walimvisha mavazi matukufu ya wakati ule wakimfanyia dhihaka lengo siyo hasa rangi ya mavazi ...nisawa na kile kisa cha madenge kuulizwa swali na mwalimu wake kuwa "ukiwa na machungwa kumi rafiki zako wakakupora machungwa 6 utabaki na mangapi...yeye akajibu kuwa nitapigana nao hadi wanirudishie machungwa ...logic zako wewe ni primitive kama za madenge
 
Hapana,

Philosophy haijaniharibu.

Kukosa kujua philosophy kumewaharibu wengi ninaokwaruzana nao hapa.

Msingi wa Falsafa ni tafakuri za watu ambao walikuwa wavivu wa kufikiri, na kuamua kupitia njia za Makato ndio maana Falsafa ina makosa mengi kuliko usahihi.

Wengine tuliisoma tukaamua kuachana nayo sababu inatufanya tuwe WAJINGA, na kuwa tunafikiria mambo mambo kitoto kama walivyokuwa wanaofikiria Wanafalsafa wa kale wa Magharibi.
 
Back
Top Bottom