Mungu wa hivyo hayupo. Mola amewashachagua wawakilishi na huleta waja miongoni mwetu wa kuipigania dini yake. Huu ndio mwenenendo wa Mola wetu tangu zamani.Mungu hahitaji mwanadamu apiganie dini yake, tupo sahihi kabisa kutokuwa na upuuzi wa kupigania dini. Mwenye dini yake ndo anajua atafanya nini ili iendelee.
Hata leto hii tuliamua sote tuachane na dini ya UISLAMU, hakika hapungukiwi na chochote wala hakiongezeki chochote, bali Allah huwaleta waja wake wengine kwa ajili ya kuipigania dini yake.
Hao mitume wote aliwachagua na kuwatuma kwa ajili hiyo. Ndio maana akawatumia kina Yesu, na mitume wengine.