Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Wewe ni mtoto mdogo sana, note Quran kariim haiwezi Ikawa ngao yako, elimu yako ya bibilia na ukristo ni 0.000000% , toka lini yesu akawa mungu?, yesu huyu huyu, yaani unatoa maandiko ya kuunga unga,

yesu ali lala, yesu ali kula, yesu aliomba msaada, yesu alinyonya kwa mama, yesu uki mpiga anatoa damu,
Be serious 🤣 🤣 🤣 🤣 huyo hana sifa ya kua mungu, sifa yake huyo ni mja wa MUNGU
 

Haya safari njema. Waswahili wanasema, hiari yashinda utumwa. Mimi imani yangu ntaenda nayo mpaka futi sita chini
 
Thibitisha pasi na shaka
Nithibitishe ibada ya jiwe jeusi la makka ?

Biashara inayowaingizia mamilioni wasaudia ?


Watu wanataka kutoana roho wanagombea ibada ya jiwe jeusi


 
 
Umezaliwa kwenye Ukristo, Umekulia kwenye Ukristo bahati mbaya umeondoka kwenye Ukristo bila KUMWAMINI YESU NA KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU. Hapo huwezi kujua hata chembe ya maana ya Ukristo.
 
 
Kwahiyo waroma mnaoabudu miungu watatu mungu mwenye mtoto yesu na kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement ndo mmeanzisha uislam ambao wao wanaabudu Mungu mmoja ambae hajazaa wala hajazaliwa? Mbona unajichanganya dogo?

Hapo kwenye hiyo picha iliyojaa waislam sioni mtu akiabudu hilo jiwe unalodai mbona hawajalipigia magoti kama huyu mwenzako alivyopigia magoti mifuko miwili ya cement
 
Ibada ya jiwe jeusi la makka

Ona aibu ,unawasimanga wakatoliki kumbe hujui ni wenzenu

Hawa kwenye jiwe jeusi wanafanya nini hapa
 
Unaona sasa wewe ni mpuuzi siku zote, kasome tena andiko la mleta uzi kataja ukristo na uislamu na siyo matapishi yako hayo, alafu sijui wewe una msongo wa mawazo, sasa hiyo mada ya lugha nenda jukwaa la lugha au bakita au tuki, hovyo kabisa
 
Imani yako ndo itakuponya
 
As a web designer, I discourage having too many forum categories to ensure easy navigation.
By the way, nini maana ya Habari na Hoja Mchanganyiko. Tuanzie hapo kwanza 🙂
Habari na hoja mchanganyiko linahusu habari mpya na hoja mpya mchangnyiko updates zipo..
ila mambo yenu ya dini kila siku tunajadili mambo yaleyale kila siku tena kwa kutukanana..
HAIPENDEZI

ndo maana nikashauri lirudishwe jukwaa la dini mkamalizane huko wafia dini!
Logic and reason yenu ni ndogo mnaendeshwa na MIHEMKO NA HISIA SANA!
 
Ibada ya jiwe jeusi la makka

Ona aibu ,unawasimanga wakatoliki kumbe hujui ni wenzenu

Hawa kwenye jiwe jeusi wanafanya nini hapa
View attachment 3261868
Hapo Wamesimama na wameshika sehemu ya Nyumba iliyojengwa na Nabii Ibrahim, sehemu tukufu Al kaaba.

Haya leta elfu 40 ninunue mifuko miwili ya cement nikutengenezee sanamu uliombe toba kama mwenzako
 
Angaekuwa hakujiokoa angekuwa kaburini kama alivyo mudi

Nenda kalipie mawe umpigie shetani makka
Yaani mungu mpaka ana pigwa na kupigwa, na hao waroma, yeye amekaa, mungu huyo hata msalaba tu alishindwa kuubeba, tena wali muulia mbali, huna hoja
 
Yani unaniambia Nikasome historia aliyoandika kafiri mwenzako aneabudu na kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement kama wewe? Hizo ni akili au matope?
WAISLAM WOTE DUNIANI WANASWALI, KUCHINJA, NA MILANGO YA MISIKITI, KUELEKEZWA MAKKA, KUABUDU JIWE JEUSI.

Kutoka 20:4, Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini Duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia.

Kutoka 10:21, BWANA akamwambia Musa nyosha mkono wako kuelekea mbinguni, kuwe giza juu ya nchi ya Misri, watu wapapase papase gizani.

Kwa nini Mungu asimwambie Musa nyosha fimbo yako kuelekea Makka ? Waislam amkeni Makka hakuna kitu hapo jiwe jeusi hilo limechogwa na watu, na Mungu amekataza kusujudia jiwe lolote lililochongwa, waislam dunia nzima mnasuju na kuelekeza nyuso zenu Makka kwenye jiwe jeusi lililochogwa.

 
Ndugu yangu hakuna dini itampeleka mtu mbinguni ila matendo yako. Sina hakika km unahama dini kwa lengo la kwenda mbinguni au kuepuka kadhia ulizozisema na ambazo kama ni msomaji wa biblia yote hayo yalishatabiriwa yatatokea na ambapo pia kwa maoni yangu ulitakiwa kuzikemea hizo kadhia badala ya kuzikimbia.

Hayo mambo yakitokea na huko ulipohamia. Je utahamia dini nyingine??
 
Hivi mungu wako Wakati wana muulia mbali hii dunia alimkabidhi nani kwa muda ili yeye afe?,
 
Yani unaniambia Nikasome historia aliyoandika kafiri mwenzako aneabudu na kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement kama wewe? Hizo ni akili au matope?
WAISLAM KWANINI MKIENDA MAKKA LAZIMA MLIGUSE, MLIBUSU AU MLIPUNGIE MKONO JIWE JEUSI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…