Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Dini inataka mtu ambaye ana positive thinking na good reasoning
Vinginevyo utakua hutamani mabaya ya dini yako yakisemwa. Mleta mada anayo good reasoning
 
Nikikumbuka Kuna mtu alisilimu kipindi Cha Ramadhani aseeh nachoka!

Ramadhani Mubarak watu wangu katika imani
 
Yupo mbinguni, mudi ameshaliwa na mchwa
Sasa wewe hutoliwa na hao nchwa?, yaani una mlinganisha aliye feli (yesu) na aliye faulu (mtume Muhammad) ?, are you serious 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hadi huruma siku zote Huwa hamna jipya,
 
Muhammad huyu alifaulu nini?

Mudi huyu asiyejua hatima yake na wanaomfata ndiye amefaulu kwenda wapi?

Yesu yupo mbinguni ,ana mamlaka yote ,

Unamfananisha na tapeli mudi asiyejua hatima yake na wanaomfata?
 
Kwasababu ni sehemu tukufu Nyumba iliyojengwa na Nabii Ibrahim kwa maelekezo ya Mungu
Ibrahimu wa kishmundu

Ibrahimu baba wa Uyahudi mtoto wa Mzee Tera hakuwahi kufika Maka kufanya huu ushirikina

Acheni kujinasibisha na baba wa Uyahudi, uislamu ni dini ya ujanjaujanja, propaganda inayotafuta popularity kwa kujibebisha na Uyahudi
 
Yani unamletea muislam maandiko juu ya kukataa ibada za sanamu wakati nyie kanisani ndo mmenunua mifuko miwili ya cement kutengeneza sanamu kwa mikono yenu alafu mnaliomba toba! We uliona wapi waislam wakatengeneza sanamu kwa mikono yao na wakaliomba toba kama huyu mwenzako?
 
Kwasababu ni sehemu tukufu Nyumba iliyojengwa na Nabii Ibrahim kwa maelekezo ya Mungu
Abraham ni baba yenu wa nje ya ndoa.Waislamu hamstahili kurithi chochote kutoka kwake.
 
Unaona sasa wewe ni mpuuzi siku zote, kasome tena andiko la mleta uzi kataja ukristo na uislamu na siyo matapishi yako hayo, alafu sijui wewe una msongo wa mawazo, sasa hiyo mada ya lugha nenda jukwaa la lugha au bakita au tuki, hovyo kabisa
Kwani Ukristo na Uislamu hapa JF hauhojiwi?
 
Karibu kwenye dini tamu
 
Waabudu jiwe jeusi ya makka
 
wewe hukuijua kweli,
na bado hujajua utaendelea kuhangaika hadi siku ya mwisho
Yaan utoke kwa mungu wa kweli uende kwa wafuga majini??
Utoke kwa Yesu aliyesema “ambae hana dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe uende kwa watu walioamuriwa kulipa kisasa (sehemu ya mungu)

Utoke kwne kweli uende kwenye dini iliyotoka kwene kuabudu sanamu na mungu baalii.

Anguko la karne
 

Hao ni wenzenu ,wote mnaabudu masanamu maana chimbuko lenu ni moja
 
Waabudu jiwe jeusi ya makkaView attachment 3261898
Dogo naona umechanganyikiwa unaanza kujiandikia mambo yako haya twende Hadithi namba 4117 iliyopo kwenye Sahihi Bukhari inasema:
Hadithi hii inahusiana na Jibril (Gabriel) kumjia Mtume Muhammad (SAW). Hii ni hadithi ambayo inasema kwamba Jibril alijitokeza kwa Mtume Muhammad (SAW) akiwa na umbo la mwanadamu ili kumfundisha kuhusu imani, ibada, na matendo mema. Hii ni sehemu muhimu katika mifano ya hadithi inayotufundisha kuhusu msingi wa imani katika Uislamu.

Hiyo yako inayosema ya kuwa walikua wanaabudu masanamu alikuandikia nani Padri au mchungaji?
 
Majini na mapepo yanakuhusu
 
Kwanza huyo Allah ni mungu wa kipagani

 
Umehamisha mada siyo ile hadithi namba 4117 uliyoipachika maneno yako ya kijinga uliitoa kwenye Sahihi Bukhari ya mchungaji wako kanisani au wapi?.

Hizo picha zako ni mambo yaliyoandaliwa na makafiri wenzako walewale wanaotengeneza sanamu kwa mikono yao na kuliomba toba
 
Muhammad huyu alifaulu nini?

Mudi huyu asiyejua hatima yake na wanaomfata ndiye amefaulu kwenda wapi?

Yesu yupo mbinguni ,ana mamlaka yote ,

Unamfananisha na tapeli mudi asiyejua hatima yake na wanaomfata?
Mpumbavu wewe kila sekunde ya Allah, utakua mpumbavu, hivi wewe dogo ndio una upumbavu kiasi hichi?, hivi nyinyi wakristo wa jamii forum mnaona huu upumbavu wa huyu mwezenu, hata kumtonya mna shindwa? ,


Je hadi leo hii hao waislaeli wana mkubali yesu??, wanafata walicho fundishwa na yesu?, je yesu kaacha athari yoyote huko islael hadi leo?,

Njoo sasa kwa mtume Muhammad, hebu anangalia alivyo faulu
Kaacha dini (athari kuanzia middle to far east) , Africa hadi ulaya
Jamii yake yote ina fata dini (makka na madina) na Saudi Arabia yote utaki chukua sumu kunywa hebu angalia basi hata bendera ya Saudi Arabia na hio ndio ilikua bendera ya mwamba mtume Muhammad, tena chini kuna upanga, hivi nchi ngapi zina ongoea ki arabu?,
Mtume Muhammad kafa na umri 63 note na ndio umri wa kustaafu kazini (60) ,
Kaacha watoto, kalea hadi wajukuu, kapigana vita (front line), kafanya biashara za kimataifa na kitaifa tena akiwa na umri mdogo sana,

Amekufa kaacha uislamu una tawala totally tena manaswara na mikafiri ilikua ina lipa kodi na ikisikia huyu Mtu ni muislamu ilikua inamuogopa

Amekufa kaacha makhalifa wana tawala dola la kiislammu

Alafu umlinganishe kidumme mtume Muhammad na yesu, na kuanzia sasa ukiona comment ukae kimya mpumbavu wewe
 
Subiria matusi toka kwa hao wakiristuu,hawanaga hoja zaidi ya matusi makali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…