Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

This logical fallacy is called ad hominem.

You obviously do not posses the requisite wattage to engage me. You do not know what a pagan is, yet you still blabber gibberish and pitter patter with petty pugilism.

I am placing you in my ignore list to spare the forum the indignity of Kiranga matching intelligence with an incurious ignoramus.

From here onwards, I will not see your posts.
Iki gonga mfupa lazima uhamishe upande, haya nenda jukwa la kiingereza, wewe ni mtoto mdogo, huna hoja huna hoja hapa si mahala pako nenda kwa wapagani wenzako
 
Mimi nimeamua kukiri waislamu wengi wa bongo ni wakora wanaotumika Dini kutengeneza hirizi na kutumikia majini kama Chuma ulete nk... lakini viongozi wao Hawakemei hadharani.

Hii imetengeneza kubweteka ktk kufanya kazi halali, kujiamini kusiko na mashiko (kujiamini hewa).
Pia kutofanya maendeleo makubwa kwa kuwa wanaamini peponi ndio makao ya milele ndipo kunatakiwa kujengwa zaidi 😅😅😅
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
umepotea sana na subiri kwenda motoni.
 
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga .
Tafuta Msikiti ambayo upo karibu nao , Mtafute Kiongozi wake ( Imaan) .Kubwa atakutamisha maneno machache tu tayari utakua muislamu . Ukitoka hapo unatakiwa uanze kujifunza dini Sasa , ili ufanye ibada zako kwa Elimu na sio kwa Ujinga. KARIBU KATIKA DINI YA HAKI, ALLAH Akupe kila la kheri.
 
Unaabudu Mungu au unaabudu dini?
Mbn watanga tanga na dini.
KUna tofauti kubwa kati ya dini na wokovu.
kwann wengi wenu huw mna slim kpnd cha ramadhan?? Futari au??.
KIla dini ina mapungufu yake.
Fata yaliyo mema.
 
Tafuta Msikiti ambayo upo karibu nao , Mtafute Kiongozi wake ( Imaan) .Kubwa atakutamisha maneno machache tu tayari utakua muislamu . Ukitoka hapo unatakiwa uanze kujifunza dini Sasa , ili ufanye ibada zako kwa Elimu na sio kwa Ujinga. KARIBU KATIKA DINI YA HAKI, ALLAH Akupe kila la kheri.
Usimcheweleshe mtu kusilimu kwa taratibu za kizushi,mtu kusilimu wala haihitaji kiongozi amsilimishe,ni muumin yoyote aweza kumtamkisha shahada kisha akawa muislam
 
kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Mashaallah.
Mwenyezi Mungu akujaalie kila la kheri kwa kuijua HAKI na BATILI na kuichagua haki ikuongoze.
Nenda kwenye msikiti ulio karibu nawe utasilimishwa.
 
Zote ni dini nzuri, shekhe/padri akilawiti haina maana waamini wake wote wana tabia hizo.

Si uislam wala ukristo kote kuna makanjanja, makanjanja ya kikristo yako wazi sana ni rahisi kuyajua. Makanjanja ya kiislam nayo yapo ila huwa yanatumia sana maneno ya kwenye quran na kiarabu kwa wingi wakijinasibiaha na uislam ili kuvuna wateja.
 
Hujawahi kuwa mkristu. Mkri
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Kwa

Mkristu wa kweli hawezi badili imani ya kweli kwenda kwenye imani zingine. Ukristu ndiyo dini peke inayo taja Mungu wa kweli.
 
Hizo dini hujazijuwa vizuri wewe mtafute Mungu toa sadaka endelea na mambo yako.

Ukifanikiwa kuwa karibu na viongozi wa hizo dini zote unaweza usiende kwenye nyumba za ibada tena.

Kuna mambo ambayo hiyo dini wangeiacha, ingepata wafuasi wengi ila kwakweli , kuchochea mauaji kwa wasio wafuasi wa dini yao, na habari za majini, zinanipa mashaka kidogo.
 
Na Mungu wa kweli hatetewi na mwanadamu kiumbe alichokiumba mwenyewe kinamtetea vipi??? Mungu wa kweli hujitetea mwenyewe kwa vitendo, akisema anashusha moto unashuka. Hili swala la kusema unamtetea Mungu au unampigania Mungu ni uongo mtupu.
Basi masheikh na maostazi wanajipa jukumu la kumtetea mnyazi mngu as if yeye hajui kujipambania
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Mengine yote uliyoyaongelea sijui ukristu hivi na hivi sikuyaangalia.

Kuwa na dini ni kuwa na upande.

Ni kama Yanga na Simba!

Ukisikia mtu anasema mimi ni Simba dam dam lakini nawapenda sana Yanga, elewa mtu huyo ni Yanga lakini kaamua kuwatukana Simba.

Kwa mada hii, wewe ni muislam uliyeamua kuuzodoa ukristu kwa kucheza na saikolojia za wafia dini.

Hii sielewi wewe inakujenga ama kukusaidia nini!
 
Ikiwa bibilia yako tu huwezi kuielewa uta uelewa uislamu?, uislamu ni mfumo wa Maisha (political, economically, socially, ideological etc) , Islamic is territory
Koran ni kakitabu kama kwa kipeperushi , hakuna chochote Cha maana zaidi ya mashahiri tu
 
Back
Top Bottom