Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mungu ni mmoja,

Ukristo,
Uyahudi,
Uislam na dini zingine,ni njia tu ya kumfikia Mungu mwenye haki.

Yaani umeshuka kwenye Golden deer umeamua kupanda Majinjah kifupi safari yako utafika tu
Usinikumbushe bhana.... Safari na Majinjah.... Hahahahaha.... Sintakaa kusahau siku ile😆🤗
 
Yesu alikuwa kabla ya kusali Anatawadha je Unafanya hayo?
Yesu Alikuwa anasujudu je unafanya hivyo?
La mwisho kabisa Yesu hajawai na hatowai kuingia kanisani kwa mujibu wa Bible Yesu alikuwa anafundisha ndani ya Misikiti ya Wayahudi.
Neno kufundisha umelielewaje?
Ili umjue yesu vizuri unatakiwa uwe mkristo.
Mimi Leo niende TRA nianze kuwafundisha namna ya kukusanya mapato wenye TRA yao kweli sio uchizi huo.

Kanisa ni mkusanyiko. Mkutano vilevile Ni mkusanyiko wenye agenda fulani.

Yesu iwe anatawadha, anaingia msikitini hawezi kuwa Islam. Kwahiyo Mimi nikitawadha tayari nmekuwa mwislamu?

Mnadanganywa tu na ninyi mnakubali. Uislam umekuja duniani miaka Kama mianne baada ya yesu atakuwaje mwislamu? Hao Wayahudi wenyewe hawajawahi kuwa Islam. Kama Ni hivyo basi waislam mngekuwa Wayahudi ili muendane na taratibu za ibada zao.
 
Hauwezi kuwa na kichwa!
 
Hiyo mbona hata muhammad alisema kuhusu jinsia tatanishi au msahafu umekupiga chenga 😁😁
Mwambie Mchungaji wako alete aya kama niliyokuwekea hapo juu na hii nakuwekea

1741517314894.jpeg
 
Mwambie Mchungaji wako alete aya kama niliyokuwekea hapo juu
Aya gani uliyoleta ...ipo wapi ?yesu ajawai kuongea upumbavu hata sekunde moja ya maisha yake....kasome injili vizuri...mtu atazaliwaje shoga wakati ushoga uja baada ya kutenda tendo.la ushoga....kasome kilicho andikwa usiokoteze vichrkesho vya mashabiki wa dini wanavyo post kitandaoni kisha unasema ni aya
 
Dini ya uongo,ushenzi na unafiki,diji ya shetani mkuuu.

Only a fool can become a muslm,muslm is like a fungal disease

1 Kings 22:22 " 'By what means?' the LORD asked. " 'I will go out and be a lying spirit in the mouths of all his prophets,' he said. " 'You will succeed in enticing him,' said the LORD. 'Go and do it.'

1 Kings 22:23 "So now the LORD has put a lying spirit in the mouths of all these prophets of yours. The LORD has decreed disaster for you."
 
Aya gani uliyoleta ...ipo wapi ?yesu ajawai kuongea upumbavu hata sekunde moja ya maisha yake....kasome injili vizuri...mtu atazaliwaje shoga wakati ushoga uja baada ya kutenda tendo.la ushoga....kasome kilicho andikwa usiokoteze vichrkesho vya mashabiki wa dini wanavyo post kitandaoni kisha unasema ni aya

1741517588126.jpeg
 
Inaonesha bado hujamjua Mungu...

Naona unalinganisha taratibu za maisha ya watu walizoamua kuziita dini ya Ukristo na kusudi halisi la Yesu Kristo...
 
Ili umjue yesu vizuri unatakiwa uwe mkristo.
Mimi Leo niende TRA nianze kuwafundisha namna ya kukusanya mapato wenye TRA yao kweli sio uchizi huo.

Kanisa ni mkusanyiko. Mkutano vilevile Ni mkusanyiko wenye agenda fulani.

Yesu iwe anatawadha, anaingia msikitini hawezi kuwa Islam. Kwahiyo Mimi nikitawadha tayari nmekuwa mwislamu?

Mnadanganywa tu na ninyi mnakubali. Uislam umekuja duniani miaka Kama mianne baada ya yesu atakuwaje mwislamu? Hao Wayahudi wenyewe hawajawahi kuwa Islam. Kama Ni hivyo basi waislam mngekuwa Wayahudi ili muendane na taratibu za ibada zao.

Uwe mkristo wa kanisa lipi , kwani kuna madhehebu ya Baptist tu peke yake zaidi ya elfu 10 tofauti, hujaja madhehebu mengine . Halafu biblia ndio hazina idadi na kila moja inasema vyake
 
Haya soma alicho sema yesu

Mathayo 19
10. Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
11. Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.
12. Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
 
Mimi nagusia hiyo aya ya Mathayo 19:12

Sijui umeangalia biblia ipi , kwani matowashi ni nani kwa kiengereza na kigiriki ??
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Ungekuwa mkatoliki wala usingeandika uharo wote huo. Wewe kwanza sio mkristo. Umejikanyaga kwenye maandishi yako mwenyewe. Acha kulazimisha watu kwenda kwenye imani iliyoanzishwa na mbaka watoto, aliefitini ndoa ya mwanae na akaoa mke wa mwanae wa kufikia, muuaji, mwizi, muongo, haki unayosemea ni ipi? Eti haki.
 
Kwani wewe unafuata imani iliyoanzishwa na muongo Paulo au yule aliyeruhusu ushoga ??

Paulo ankwambia

Warumi 7

. 18 Kwa maana ninafahamu kwamba hakuna wema wo wote ndani yangu mimi, yaani katika mwili wangu wa asili. Ingawa nina nia ya kutenda lililo jema, lakini ninashindwa kulitenda. 19 Sitendi lile jema nipendalo bali lile ovu nisilopenda, ndilo nitendalo. 20 Basi kama ninafanya lile nisilopenda kufanya, si mimi tena nifanyaye hivyo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.
 
Kwani wewe unafuata imani iliyoanzishwa na muongo Paulo au yule aliyeruhusu ushoga ??
Huna ujualo. Na aliewadanganya ndio hovyo kabisa, Paulo kaamzisha kanisa gani kwa mfano? Waislam bana, wanahangaika na Paulo bila kujua kanisa lilivyoanza. Shida ata mtume wenu hakuwa anajua kusoma kwahiyo nae alikuwa anaskiliza story anachanganya na zake, na majini tena yale kichwani ukiweka na hallucinations dah. 😅 Eti Paulo.
 
Back
Top Bottom