Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Usinikumbushe bhana.... Safari na Majinjah.... Hahahahaha.... Sintakaa kusahau siku ile😆🤗Mungu ni mmoja,
Ukristo,
Uyahudi,
Uislam na dini zingine,ni njia tu ya kumfikia Mungu mwenye haki.
Yaani umeshuka kwenye Golden deer umeamua kupanda Majinjah kifupi safari yako utafika tu