Hbzoo
JF-Expert Member
- May 30, 2018
- 246
- 370
Naunga mkono hojaUnalipia chumba.
Unalipia misosi.
Unalipia vinywaji.
Unalipia usafiri to and fro.
Unatoa posho baada ya kazi.
Halafu mtu anataka umridhishe, kwa nini asijiridhishe, yani hata lililo ndani ya uwezo wake anashindwa kufanya? Tako tano nakaa pembeni[emoji16][emoji16][emoji16]