Mimi ni mmojawapo wa wanaune wenye shoo mbovu na wala siogopi chochote. Bado najiamini sana


Una tatizo kubwa la akili, na hili tatizo ni baya kuliko show mbovu.
 
Haya kaufate kwenye bamia.. lichemshe kidogo afu lichuje likiwa vuguvugu utakuja kunishukuru😂😂😂😂
 
Haya kaufate kwenye bamia.. lichemshe kidogo afu lichuje likiwa vuguvugu utakuja kunishukuru😂😂😂😂
Hilo tayari, huwa natumia.. 😂 Nafanyaga kubadilisha utelezi, sabuni, bamia, mafuta, lakini utamu ni ule ule. 😂
 
Hahahahahaaa... nasingizia condom inaniumiza ndo mana nimemwaga mapema
Kuna mwenzako huku alikua Yuko na shoo mbovu sanaaaaa... Nikaanza kwenda nae gym kwa ajili ya mazoezi nikabadilisha na namna ya ulaji... The rest ni story tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…