Mimi ni mmojawapo wa wanaune wenye shoo mbovu na wala siogopi chochote. Bado najiamini sana

Wala hamna mkuu... siasa zangu ni za kijamaa.. haina pesa zaidi ya mahitaji ya muhimu tu
Kwa maisha yalivo magumu kwa sasa wengi wanapenda siasa za kijamaa sana kuliko ubepari, mi nna vitoweo vyangu najitahidi sana kuvisimamia siku za marejesho alhamisi na jumanne. Viko vinne ko jumanne asubuhi naandaa 14,000 na alhamisi vivo hivyo siwazi kabisa naitwa majina yote ya kiutawala
 
Nyie ndo hua mnasema hivo alafu dem akitoka huko ndani anachechemea, akikaa hakukaliki
 
Nyie ndo hua mnasema hivo alafu dem akitoka huko ndani anachechemea, akikaa hakukaliki
Huo ndo ukweli kabisa mkuu.. hakuna kutoka Jason kabisa kwenye show zangu... hahahaa
 
Nawaonea huruma wanawake wenzanguuu

Kumbe ndo maana wanaume wa Jf kutwa kunanga wanawake [emoji23][emoji23][emoji23]

Shida ni nguvu Za kiume
Huruma kivipi mkuu.. hiyo si ndo safi sasa.. hakuna kuchubuana??? Au ligi ya 40 minutes ndo mnapendaa???
 
Hizo chaguzi za ndani nchi jirani ulizishuhudia ukiwa wapi?
Au story za kijiwe na video za ngono ndizo zinakudanganya?
Ni story za vijiweni mkuu.. ikiwemo JF... Kama kuna wemba wanaenda mpaka dakika 40... sasa mimi hapo najiona mgonjwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…