Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

sifa zote ninazo isipokuwa ninaishi kwa shemeji yangu
 
kwenye elimu pananiangusha maana nina kabachelor
 
Una churaaa?
 
Mtanashati na msafi,jamani mavigezo munayoweka utafikir matangazo ya Ajira!!!!
 
Je wewe ni mfanya biashara na unahiyo diploma au wataka tu mwenye vigezo hivyo ingali wewe hauna hata kimoja
 
Umeshapata???

Kama bado basi nijulishe kwa PM. Mungu atakusaidia utapata tu
 
Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..

Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..

Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..

Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu kwahio kunywa pombe ndio kuwa na akili usitukane watu tupo wenye akili napombe hatunywi kwanini ututukane
 
Kiduchu tu unipate lakin hapo kwenye mvinyo ndio umebugi c6.. Daah[emoji13]
 
Wachumba hawatafutwi kwenye mitandao utaishia kupata wachumba feki matapeli. Take your time utapata atakaekufaa muda na mahali muafaka.
 
Wachumba hawatafutwi kwenye mitandao utaishia kupata wachumba feki matapeli. Take your time utapata atakaekufaa muda na mahali muafaka.
Matapeli kweli wapo. Lakini haimzuii yeye kutangaza. Wapo watu humu wana ndugu zao wenye uhitaji wa mchumba. Wanaweza kumuunganisha na akafanikiwa kupata.
Labda kama wanaojitangaza kusaka wachumba humu ndio matapeli...lakini kwa wanao respond tangazo not necrssarily be matapeli. Wapo watu waaminifu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…