Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Weka contact number zako
 
Unaweza kum-approach mwanaume unayemtaka huko mitaani kama ilivyoleta tangazo hapa jukwaani.
 
Hapo penye dini ushanikosa maana ninasifa zote ulizoainisha
 
Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..

Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..

Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..

Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Huna akili mwenyewe... Mlevi kama wewe ndo huna akili maana inajukikana kisayansi kuwa pombe inaua seli za ubongo. We uliyezoea kufakamia mipombe ndo umeshapungukiwa na seli hizo...
 
Kama bado uko sealed ni pm.
Sitaki kuoa Mke wa mtu.
 
cc: Nzi a.k.a. Diamond Platinumz
 
Yaani ndo umejiunga tu JF juzi, leo unaanza kutafuta mume. Nyie semeni tu kuna watu mnawasaka humu mkawafunge kwenye viroba na kuwatupa coco Beach.
 
0683594371 nitafute kwenye hiyo namba
 
Huna akili mwenyewe... Mlevi kama wewe ndo huna akili maana inajukikana kisayansi kuwa pombe inaua seli za ubongo. We uliyezoea kufakamia mipombe ndo umeshapungukiwa na seli hizo...
Watu kama wewe wake zenu wanabanduliwa na sisi wanywa pombe..
 
Dada yangu Mume anajitokezaga mwenyewe...hapa huwezi kupata mume wa kukuowa
 
Ungetaja miaka 60 kunajamaa anaitwa Le mubebez aka kinukta au kibamia... Tungekuunganisha nae
 
HABARI,
"usernamet,
Hongera kwa kujitokeza wazi,Ila wewe hujadhibitisha kama na wewe unamapenzi ya dhati na si ya masihara,Pia elimu ya diploma ya course gani,Je na wewe unajitambua,Msafi,Mtanashati,Uko serious,La mwisho kubwa zaidi Utoe uhakika kwamba atalea watoto wake sio wa wenzake.Asante

LUMUMBA
 
Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..

Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..

Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..

Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hizi dharau sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…