Mimi ni Mtanzania, lakini kwa huu msimamo wa Bashe kwa Malawi huu sio uungwana wala ujirani mwema

Kwahiyo ulisubiri tamko la Tibaijuka ili ujue uwezo wangu?
Mbona hukutoa tamko kama hilo ili tujue uwezo wako wa kufikiri?
Wewe na wamalawi wenzako msijifariji kwa tamko hilo, vita haijaisha.
Nilishaongea sana kutaka kuwaelimisha lakini mkawa wabishi kama mkojo wa asubuhi. Kiko wapi sasa? Zuio la siku mbili? Kwa taarifa yako Tanzania imeonywa iache ujinga wa kuvunja sheria za kimataifa. Ujinga sana huu aliofanya Bashe. Wenye akili tuliona ndio maana tukasema
 
Tangu lini wasomali wakawa na uungwana?
Ukiwachezea unakula shaba.
 
Msimamo wa Tz umewaleta jamaa mezani natayari suluhu imepatikana kuanzia jioni ya trh 02,May,25 mpaka wa TANZANIA NA MALAWI upo wazi kwakila mmoja kupeleka bidhaa
 
Mkuu! Inaonekana hili suala limekugusa moja kwa moja.
 
Msimamo wa Tz umewaleta jamaa mezani natayari suluhu imepatikana kuanzia jioni ya trh 02,May,25 mpaka wa TANZANIA NA MALAWI upo wazi kwakila mmoja kupeleka bidhaa
Hoi ndiyo namna ya ku deal na vichwa maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…