Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi.

Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee.

Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa.

Nyie masikini tafuteni hela sio mnakaa humu mnanitukana wakati naweza kulisha ukoo wenu mpaka mnakufa.

Yaani jitu Zima linakosa pesa mpaka mwanamke analidharau tafuteni pesa nyie masikini au mnataka wake zenu niwatunzie mimi?
 
Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa nyie masikini tafuteni hela sio mnakaa humu mnanitukana wakati naweza kulisha ukoo wenu mpaka mnakufa yaani jitu Zima linakosa pesa mpaka mwanamke analidharau tafuteni pesa nyie masikini
So?
 
Back
Top Bottom