Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa nyie masikini tafuteni hela sio mnakaa humu mnanitukana wakati naweza kulisha ukoo wenu mpaka mnakufa yaani jitu Zima linakosa pesa mpaka mwanamke analidharau tafuteni pesa nyie masikini au mnataka wake zenu niwatunzie mimi
Pesa husema yenyewe kwa matokeo yake (outcome) mdomo haukutangazi una pesa, vipi kati ya mabilionea 20 wametangazwa tuzi tupe jina lako hapo.
 
Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi.

Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee.

Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa.

Nyie masikini tafuteni hela sio mnakaa humu mnanitukana wakati naweza kulisha ukoo wenu mpaka mnakufa.

Yaani jitu Zima linakosa pesa mpaka mwanamke analidharau tafuteni pesa nyie masikini au mnataka wake zenu niwatunzie mimi?
Tena wewe ndio unaweza kuwa maskini tangu ghorofani hadi mfukoni,ila kujimwambafai upo tayari kwenda kukodi range iliuonekaneemooo.
 
Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi.

Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee.

Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa.

Nyie masikini tafuteni hela sio mnakaa humu mnanitukana wakati naweza kulisha ukoo wenu mpaka mnakufa.

Yaani jitu Zima linakosa pesa mpaka mwanamke analidharau tafuteni pesa nyie masikini au mnataka wake zenu niwatunzie mimi?
Una pesa kiasi gani?
 
Inunue JF utukomeshe tajiri.🤔
 
Back
Top Bottom