Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi.

Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee.

Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa.

Nyie masikini tafuteni hela sio mnakaa humu mnanitukana wakati naweza kulisha ukoo wenu mpaka mnakufa.

Yaani jitu Zima linakosa pesa mpaka mwanamke analidharau tafuteni pesa nyie masikini au mnataka wake zenu niwatunzie mimi?
Ukaona ukiishia insta haitoshi umeamua kutufata mpka huku we unautaka wewe
 

Attachments

  • IMG_1562.jpeg
    IMG_1562.jpeg
    594.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom