Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi.

Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee.

Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa.

Nyie masikini tafuteni hela sio mnakaa humu mnanitukana wakati naweza kulisha ukoo wenu mpaka mnakufa.

Yaani jitu Zima linakosa pesa mpaka mwanamke analidharau tafuteni pesa nyie masikini au mnataka wake zenu niwatunzie mimi?
mfundishe mwanao siku akipata hela usiwaone ambao hawajapata kuwa n wapumbavu ............................nashangaa taira mmoja anaandika hapa uzi wakati mm bado anasikiliza matangazo yanayosema kwa msaada wa watu wa marekani...........🙄
 
Pamoja kwamba jamaa ana majigambo. Ila hizi account za majina yake Huwa zinatumiwa na matapeli
Nimewaza itakua kuna expert member kabisa kaamua kubadili jina lake ajiite hili,.
Jina lake la mwanzo hili hapa
 

Attachments

  • IMG_1561.jpeg
    IMG_1561.jpeg
    736.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom