π π intelligent business man asiiona hiiπππ na ni kweli maana hamjaitwa ni vile tu watanzania hamtaki kupitwa kwenye mambo ya watu.
Mashemeji punguzeni nongwa ndugu yenu ndo kashapenda Miss Buza πΉπΉπΉHuyo hata umuuzie kojie acid, hamna kitu hapa
πππ yupo kwenye uzi wa pilau la nazi huko, nahisi ana mpango wa kuwakula kimasihara wadada wa mtaani kwake.Kijana Masikini best man wako Harmful yupo wapi
πππSawa Mkuu enjoy
π π katangaza na harusi tayariTumemtafuta kidogo tu karudi kwa speed ya umeme πππππ
Tabia mbaya vipi wakati mrembo anahitaji matunzoβ¦!!Unamfundisha mwenzio tabia mbaya
Hata kama ni wewe mkuu ungeringa, ni vile tu hujuiwatu wangapi walikuwa wanamnyatia Marry ila mimi nimetoboa.Unaringa sana wewe jamaa
Mungu nifundishe kunyamazaMashemeji punguzeni nongwa ndugu yenu ndo kashapenda Miss Buza πΉπΉπΉ
Ndiyo kwani ni chui yule!!!Meri huyu huyu wa JF? π
Kule nilitoka muda tu nasoma visa vya watu walioumizwa na mapenzi ππππππ yupo kwenye uzi wa pilau la nazi huko, nahisi ana mpango wa kuwakula kimasihara wadada wa mtaani kwake.
Umeshalipa deni la songesha ?Ilove you Marry, ijapo kuwa wewe sio pua yangu lakini iko wazi bila wewe siwezi kupumua.
Siku ya ndoa yetu ikifika nitatinga kanzu ya babu, tutacheza rumba tarabu itakuwa pambe.
Na usiku ukifika nitakufundisha hesabu, ukikosea majawabu nitakuchapa kwa mkwaju hadi utoe vilio vya ajabu, Majirani wapate tabu wakitaka wahame.
Ilove Marry.
Cc: Marry Diana
πππ umenifanya nimuwaze sana Marry hadi nimefungua huu uzi.Tumemtafuta kidogo tu karudi kwa speed ya umeme πππππ
We njoo kwangu.Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! π₯
Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa ππΉπΉ
Hilo penzi ni mwendo kasi linakupeleka mputa mputa ππππππ umenifanya nimuwaze sana Marry hadi nimefungua huu uzi.
Inakuhusu nini wewe! mambo hadharaniSi mngemalizana Pm Mkuu
Sawa mkuuNdiyo kwani ni chui yule!!!