Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Nakucheki inbox
 
jamaa ametisha humo theory yake imekaa kwenye mifano ambayo ni kama halisi tu
Kwamba
muda na nafasi si vitu vya kudumu, Badala yake, vinategemea mwendo wa mtazamaji, einstein alitisha sana
Hapa alimaanisha kwamba muda unabadilika kulingana na kasi ya mtazamaji (kwa mfano, wakati unavyoenda kwa kasi kubwa, muda nao unazidi kwenda taratibu, na mazingira yabadilika kulingana na mtazamaji pia.
- Einstein alikubali kuwa mwanga ni kasi ya juu kabisa, na hakuna kitu kinachoweza kusafiri kwa kasi kubwa kuliko mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…