X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
nitakuwa wamwisho kuamini kuwa Mungu yupo...kila nilicho wahi kumuomba hakuwahi kabisa kunijibu...huyu Mungu kweli ananipa vitu nisivyo vitaka ninavyo vitaka vyote amenikwepesha kuvipata...uwezi kuamini miaka takribani 12 nina ndoto za kuwa fulani lakini maombi hayo ni bure...sasa naanzaje kuamini uwepo wa Mungu