Hey, hatupo kwenye siasa, jibu unachoulizwa 'taja', hili si darasa la siasa! hivi we jamaa una shida gani? yaani uulizwe ni yapi mapungufu ya fani ya takwimu, udai takwimu kama fani haina mapungufu bali watakwimu na wanaojihusisha na fani ya takwimu kama wanadamu ndo wana mapungufu, hii akili ndo huwa unaitumia kuvuka barabara?
Takwimu kama fani ina madhaifu au mapungufu yafuatayo:
- Haielezi phenomenom ambazo ni qualitative
- Haielezi stori nzima "takwimu hueleza mambo kwa muhtasari"
- Takwimu ni fani isiyodili na figure moja kwa mfano: uzito wa mtu X
Kinachokushinda kueleza kama hivyo ni nini? Eti sayansi siyo jambo la kiimani, mara sijui muziki kama fani hauna madhaifu! Nani kakwambia hauna? Tuhamie kwenye music?
Najua fika kinachokufanya ukwepe kutaja udhaifu wa fani ya sayansi, endelea kuzunguka mbuyu hivyohovyo, la sivyo utaivua fani nguo na baadhi ya angle zitabaki tupu, kukwepakwepa hivyo ni salama kwa misingi yako batili