Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Naomba jamii Forum iwe msaada kwangu.Huyu ni mwalimu mwenzangu yupo Babati Manyara.Nimejitoa kumpeleka mwanangu shule ya bweni kamtoa. NATAMANI KUJIUA ila naombeni
mnisaidie. Namba za mwalimu ni ?0685457044.Anaitwa Happy Msuya.Shule ni Ngolei Primary School
Usijiue...Hayo ni madogo yatapita tu,,,

Kuna neema Kubwa mbele yako inakuja .baada ya mazito kuna wepesi waja Inshallah .

take it from me!!!!
 
Ndio mkuu mana najua alipo,je ningemdhuru au kujidhuru ingekua na faida? Msinilaumu wakuu mana nimeona hapa ndio sehemu sahihi wakuu
 
Ukiona unazidiwa mkuu usijiue uje nikutulize kwa kweli. Mshahara huo huo wa ualimu utatutosha kufanya makubwa.
Kweli ujiue kisa nini hasaa? Hasira zikipungua utarudi
Mkuu@cacutee: tunakupongeza Kwa moyo wa upendo na kujali, Kwa kujitoa kumpetipeti member mwenzetu ktk wakati mgumu pasi na kujali kipato chake! u'r one in a milion!
 
Mi nimechukulia hivyo kama mwalimu wa kijijini. Hayo mengine siyajui mkuu
Mwalimu wa kijijini anafananaje? Mkuu' usiniaibishe embu fanya linalowezekana ndugu' itafute nguvu ya fedha atakuheshimu
 
Pole mwanaume
Dawa yake hapo tafuta mchepuko unaopiga viuno kweli kweli hadi umsahau na usiwe obssessed nae
Mbinu nyingine Jaribu kulala nje kwa siku 7 mfululizo

Halafu uje unipe majibu hapa cc Ushimen
Shida Sio yeye mkuu.Shida ni kumtoa mwanangu shule na nimelipia ada mwaka mzima
 
Mwalimu wa kijijini anafananaje? Mkuu' usiniaibishe embu fanya linalowezekana ndugu' itafute nguvu ya fedha atakuheshimu
Sina shida naye.Shida ni mtoto
 
Nimemuelewa kaka, shida yake ni mtoto wake, kamlipia ada mwaka mzima. Mwanamke kwa ujeuri anaopewa na mwanajeshi kamuhamishia mtoto shule nyingine bweni. Halafu mtoto ana vyeti viwili, ni kwamba ana wababa wawili.

Waziri akimpa huyo mtu, atamsaidia na hili, la vyeti viwili, je ni mtoto wake au wa mwanajeshi? Hii migogoro ya ndoa, watu hawataki kukaa kwa amani kabisa. Mpaka atafute tatizo. Mtu ajiuwe roho yake itulie aah.
 
Mkuu@cacutee: tunakupongeza Kwa moyo wa upendo na kujali, Kwa kujitoa kumpetipeti member mwenzetu ktk wakati mgumu pasi na kujali kipato chake! u'r one in a milion!
🤣🤣
Asante kwa kuona umuhimu wa hili
Sema BUMIJA mwenyewe hataki akili yote ipo kwa mkewe anayevurugwa na mjeda
 
Usijiue...Hayo ni madogo yatapita tu,,,

Kuna neema Kubwa mbele yako inakuja .baada ya mazito kuna wepesi waja Inshallah .

take it from me!!!!
Binafsi hizi statements za ma "prophet feki" huo zinanikwaza sana! unaweza ukapigwa na mazito tangu mimba Yako inatungwa mpk hayo mazito yakakupeleka kaburini na usione hiyo neema!
 
Halafu mjeda mbona kama anapiga tu then anasepa

Muache huyo demu
 
Leta namba ya mkeo tumkanye...
 
🤣🤣
Asante kwa kuona umuhimu wa hili
Sema BUMIJA mwenyewe hataki akili yote ipo kwa mkewe anayevurugwa na mjeda
Hakuna kitu inamvuruga mwanaume kama kutambua anachapiwa! ndio maana member mwenzetu anaona nafuu kunywa sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…