Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
- Thread starter
-
- #61
Shida ni mpaka warembo mabinti wa wakubwa. Mfano ni binti wa DED wa wilaya fulani huko kaskazini. Unataka kusema hawa nao wapo kama mimi?Lazima wakukubali maana na wao wana akili hizo hizo kama zako.
Huwezi mkataa Kama unampenda coz kikwapa kinatibika,usiendekeze kunuka kwapa kisa mwanamme,kwani unashindana na beberu?Hahahah kunuka jasho kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo uanaume. Nanuka kiasi chake kwa sababu sina kawaida ya kutumia deodorant. I wonder wananipendea nini[emoji23]
I think ni ke mpumbavu pekee atakayemkataa me kisa ananuka kikwapa. Huyo ni ke mshamba tu!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Na ndio maana nikasema nastaajabu hili. Mimi najiona niko normal sana, pia nipo so serious. Dada zangu huniambia sifa nyingi mademu wanazonimwagia naishiaga kucheka tu[emoji23][emoji23] kuni face mwenyewe wanaogopa.Hiyo chai mkuu,
Kipepeo hufata maua mazuri yanayonukia.
Huwezi kumkuta kwenye majani makavu.
No, ni harufu ya kawaida tu ya jasho bhana. I am a man, siwezi nukia muda wote mradi tu sinuki mavi au mikojo.Huwezi mkataa Kama unampenda coz kikwapa kinatibika,usiendekeze kunuka kwapa kisa mwanamme,kwani unashindana na beberu?
Mwanamke ni kama kipepeo,hawezi kuja kwako bila sababu.Na ndio maana nikasema nastaajabu hili. Mimi najiona niko normal sana, pia nipo so serious. Dada zangu huniambia sifa nyingi mademu wanazonimwagia naishiaga kucheka tu[emoji23][emoji23] kuni face mwenyewe wanaogopa.
Pia mwanamke sio kipepeo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] sijui wanavutiwa na sura au nini
Kweli naona ajabu hii mpaka nimeleta uzi[emoji23]
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Au sio... Huwa nacheka sana, sioni kama nawavutia
So wewe unafikiri ni kipi kinawavutia kwa kapuku kama mimi? Kitaje nikijue. Mimi sijui wanavutiwa na kipi kiasi cha kunisifia sifa kede kede kupitia sister, achilia mbali shobo kwa sana.Mwanamke ni kama kipepeo,hawezi kuja kwako bila sababu.
Either money ,
utanashati,
or something else special.
Mwanamke hawezi kumpenda mwanaume rough ,
asiyejipenda na hana pesa.
Money brings a woman and a woman brings love.
Duuuh hii imenipita kidogo mkuuWazungu walipokutana na wahaya walisema
The less fucck you give, the more fucck you get.
Hapo sawa...No, ni harufu ya kawaida tu ya jasho bhana. I am a man, siwezi nukia muda wote mradi tu sinuki mavi au mikojo.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] sio hiyo, sinyoagi fashion yoyote ile. Napenda kuwa na nywele fupi ila huwa nazichana vizuri(kama Malisa GJ tu). Nikiwa na ndefu(kwa nadra sana hufuga nywele) basi huziacha rough tu japo huzisafisha.Rough hair kama hii mkuu?? Mana hiyo imekaa kiswaga, tupiamo kapicha ka example basi
View attachment 2204632
Rough hair ni zile nywele kunakuwa na vipande vya godoro au Sufi kichwani..Rough hair kama hii mkuu?? Mana hiyo imekaa kiswaga, tupiamo kapicha ka example basi
View attachment 2204632
Ndy watu wanasema hii ni chaiSo wewe unafikiri ni kipi kinawavutia kwa kapuku kama mimi? Kitaje nikijue. Mimi sijui wanavutiwa na kipi kiasi cha kunisifia sifa kede kede kupitia sister, achilia mbali shobo kwa sana.
Nilisahau, ila sina kipili pili[emoji23]
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
"Money brings love..."[emoji118][emoji118] kwa kauli yako hii mbons uliachwa kwa dharau na hela zako mkuu? Akawa anahongwa chalii [emoji23][emoji23]Mwanamke ni kama kipepeo,hawezi kuja kwako bila sababu.
Either money ,
utanashati,
or something else special.
Mwanamke hawezi kumpenda mwanaume rough ,
asiyejipenda na hana pesa.
Money brings a woman and a woman brings love.
No, sina nywele za namna hiyo mkuu[emoji23][emoji23] nimeshaeleza hapo juu namna nywele zangu zilivyo.Rough hair ni zile nywele kunakuwa na vipande vya godoro au Sufi kichwani..
Hawajakatazwa kusema hivyo. Ni uamuzi wao[emoji23]Ndy watu wanasema hii ni chai
Ndele ni kitu gani hicho? Na kinafanywaje? Nifafanulie kidogo mkuu.Ulichanjiwa ndele ukiwa mdogo usijidai