Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Njoo nikuoe au unataka umle na Kisugu tena..njoo tuonyeshane ukanda basi...
Ww usikane urembo wako bana...mimi kama Kisugu nakupa mahari ya ng'ombe wakubwaa 37 kama mahari ya Hamisa Mobeto
Sasa Kwanini uliamua kujipa id na ka nomino ka kike
 
Kawaida ya mbumbumbu kubishana kwenye mambo yasiyowalipa Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu kubishana kitu kisichonilipa
Kwani ukitaja kuwa wewe ni utopolo unaona mada yako itakosa nguvu au?
 
Mkoa wa kimskini huo kuna mema gani...tena nyie wanyambo ndo hamna lolote mmekalia majungu tuu...
😂😅Wanyambo hatuna maneno ni Kazi tu
Mtazame waziri Bashungwa
 
Mbona inajulikana muda mrefu tuu kwamba nyie utopolo ndo mbumbumbu hamna akili? Manara alisema wenye akili huko utopoloni ni wawili tuu?
Simba hakuna mbumbumbu usijitoe ufahamu.
 
Wewe ni zaidi ya hao mbumbumbu aisee

Liverpool ameanza tena kuchukua makombe baada ya miaka mingapi?

Arsenal,Juve,ajax,wydad,kaizer chiefs,orlando pirates mara ya mwisho kuchukua ubingwa ni lini?
 
Mbona inajulikana muda mrefu tuu kwamba nyie utopolo ndo mbumbumbu hamna akili? Manara alisema wenye akili huko utopoloni ni wawili tuu?
Simba hakuna mbumbumbu usijitoe ufahamu.
Kudhihirisha wewe ni mbumbumbu unashikiwa akili na albino hii Kali yaani mlemavu anakushika akili 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ni zaidi ya hao mbumbumbu aisee

Liverpool ameanza tena kuchukua makombe baada ya miaka mingapi?

Arsenal,Juve,ajax,wydad,kaizer chiefs,orlando pirates mara ya mwisho kuchukua ubingwa ni lini?
Hoja Yako ni ipi kwamba simba na Liverpool ni level Moja au unajua Kuna watu mambumbumbu duniani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ni zaidi ya hao mbumbumbu aisee

Liverpool ameanza tena kuchukua makombe baada ya miaka mingapi?

Arsenal,Juve,ajax,wydad,kaizer chiefs,orlando pirates mara ya mwisho kuchukua ubingwa ni lini?
Mbumbumbu mmechoka kufungwa na Yanga Sasa mnaamua mkimbie
 
Sijaelewa hoja yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…