Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Mwandiko wako unaonyesha wewe ni liutopolo la kutupwa😎
 
Ndio maana nakuambia wewe ni zaidi ya hao mambumbumbu.

Kama hizo timu unazoziona zipo level kubwa zaidi ya Simba zimeshindwa iweje iwe ajabu kwako kwa Simba kushindwa?
Katika hizo timu Kuna unayolingana nayo hata isipobeba ubingwa miaka 500 we mbumbumbu
 
Sentensi Moja ndefu kuliko zote duniani
 
Hadi vyuo vya kati (certificate na diploma) vifunguliwe, tutskuwa tumepata sana shida kwa nyuzi kama hizi
Shida nini we si haujaelewa hoja mbona maneno mengi achana nayo🤣🤣🤣🤣
 
Kwenye Mambumbumbu 10 Bora Afrika Siye ni Mbumbumbu wa 5, weye mbumbumbu wa ngapi?

 
Wewe kweli ni mbumbumbu promax,mliokimbia si ni nyie mliwakataza wenzenu wasifanye mazoezi,🤣🤣🤣
Nani aliwakataza au mlijikataza kufanya mazoezi wenyewe na shoga yenu Karia akawaficha
Ila msiwe na haraka subiri tumfukuze Karia hapo TFF tuje tuwafunge 5imba wagonjwa mara ya 5 mfululizo
 
Basi wewe utakuwa ni kijana wa rafiki yangu wa utotoni, Mzee Kilomoni! Yaani wewe ni tofauti kabisa na hawa vijana wa Rage na Mangungu waliojazana humu jukwaani. Hawa vijana ni mbumbumbu balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…