Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu.
Kiukweli kunahaja wananchi kujitokeza na kuikemea na kuionya serikali kwa njia tofauti tofauti, ikibidi maandamoni ya amani na ikibidi kuelekeza kwenye vituo vyote vya police na kwengine kama vile majengo ya wakuu wa mikoa na wilaya.
Nawasilisha kwenu ndugu zangu.