Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
Kila Raia mwema hawezi kufurahishwa na mienendo hiiπ¨π¨ ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu.
Kiukweli kunahaja wananchi kujitokeza na kuikemea na kuionya serikali kwa njia tofauti tofauti, ikibidi maandamoni ya amani na ikibidi kuelekeza kwenye vituo vyote vya police na kwengine kama vile majengo ya wakuu wa mikoa na wilaya.
Nawasilisha kwenu ndugu zangu.
Kiukweli Kuna hali flani ya chuki dhidi ya serikali yangu kutokana na jinsi mambo yanayofanyika nakujikuta nawachukia even wanaccm na wale wote machawa wapumbavu kama vile kitenge, mwijaku n. KKila Raia mwema hawezi kufurahishwa na mienendo hii
Napendekeza kufanyike maandamoni kwa nchi nzima kwa pamoja,Kila mkoa na kuelekea katika ofisi za serikali na ikibidi kuwaomba wakuu waidara wang'atuke kwenye ofisi zao ambazo wameshondwa kutimiza majukumu yao hadi kuelekea hapa tulipo.Usiletee vurugu jmn ujui n mama anaongoza nchi hataweza ingia msituni atang'atwa na nyokaa tu akufeeeView attachment 3076784
Mdogo mdogo kitawakaa ,binadamu njaa ikimfika haswa Huwa awazi mara mbilii..Napendekeza kufanyike maandamoni kwa nchi nzima kwa pamoja,Kila mkoa na kuelekea katika ofisi za serikali na ikibidi kuwaomba wakuu waidara wang'atuke kwenye ofisi zao ambazo wameshondwa kutimiza majukumu yao hadi kuelekea hapa tulipo.
Watawala wamepigwa na upofu hali imekuwa ngumu na ni hatari mtaani, wapo busy na kufanya ufisadi na kuwatumia watu wachache ambao ni wapumbavu na wenye tamaa(polisi,wasanii,machawa) ili tuendelee kuumizana wenyewe kwa wenyewe alafu wao waendele kufuja Mali za uma, na kuendelea kusalia madarakani kwa hila.Mdogo mdogo kitawakaa ,binadamu njaa ikimfika haswa Huwa awazi mara mbilii..
Tuache muda utaongeaaa
Kwa sababu sisi ni wapumbavu,tuna nguvu za kuwafanya watunyenyekee lakini tupo kimya tunashindwa kuwakanyaSikuwahi kudhani kama kuna siku SSH anaweza kuita wa Tanzania wanaomkosoa Mbwa, i took it personal.
Haya matatizo hayaondoki CCM ikiwa madarakani.π¨π¨ ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu.
Kiukweli kunahaja wananchi kujitokeza na kuikemea na kuionya serikali kwa njia tofauti tofauti, ikibidi maandamoni ya amani na ikibidi kuelekeza kwenye vituo vyote vya police na kwengine kama vile majengo ya wakuu wa mikoa na wilaya.
Nawasilisha kwenu ndugu zangu.
Uichukie nchi yako kwa sababu ya uwepo madarakani watu wasiofaa?π¨π¨ ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu.
Kiukweli kunahaja wananchi kujitokeza na kuikemea na kuionya serikali kwa njia tofauti tofauti, ikibidi maandamoni ya amani na ikibidi kuelekeza kwenye vituo vyote vya police na kwengine kama vile majengo ya wakuu wa mikoa na wilaya.
Nawasilisha kwenu ndugu zangu.
HahahaHamia Burundi, alisikika akisema Bw. Madelu.
Hilo lina hita kufanyika kazi kubwa na ngumu sana kulitimiza, hasa hapa kwetu.Napendekeza kufanyike maandamoni kwa nchi nzima kwa pamoja,Kila mkoa na kuelekea katika ofisi za serikali na ikibidi kuwaomba wakuu waidara wang'atuke kwenye ofisi zao ambazo wameshondwa kutimiza majukumu yao hadi kuelekea hapa tulipo.
Hahaha CongoMadelu mchumi namba 1.. Alishatoa solution muhamie______?
Hakuna marefu yakakosa nchaMadelu mchumi namba 1.. Alishatoa solution muhamie______?