Chama cha demokrasia na maendeleo mmeshindwa kuwaongoza wanachama wenu kutusaidia kupata katibapya kweli?
Natumai kama tukiwa na katiba mpya mambo mengi ya kuogopa kutembea ama kufanya mambo yako mtu unakuwa huru na Wala hakuna cha kuogopa. Kwa Sasa mwanasiasa anashindwa kufanya siasa kuhofia kutekwa