Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Kasikilize nyimbo za "Mapenzi yanitesa na "Shida"

Nakumbuka hiyo nyimbo ya kwanza ilinifanya nimwage machozi wakati nilipopigwa kibuti na Bibi yenu wa kwanza πŸ™Œ
Hadi wewe ulibubujikwa na machozi ?πŸ˜‚
 
Mwaka 1996 Shule ya msingi Rulenge wilayani Ngara.
Hawa ambao mwaka huu wanaomaliza elimu ya msingi sio wadogo zetu bali ni watoto wetu. Wadogo zetu wamemaliza elimu ya msingi mwaka 2003 kurudi nyuma.
Pia kumbukumbu zinaniambia wakati nahitimu elimu ya msingi nilikuwa Nina umri wa miaka 19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…