Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Kasikilize nyimbo za "Mapenzi yanitesa na "Shida"

Nakumbuka hiyo nyimbo ya kwanza ilinifanya nimwage machozi wakati nilipopigwa kibuti na Bibi yenu wa kwanza 🙌
Hadi wewe ulibubujikwa na machozi ?😂
 
View attachment 3093104

Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.

Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Mwaka 1996 Shule ya msingi Rulenge wilayani Ngara.
Hawa ambao mwaka huu wanaomaliza elimu ya msingi sio wadogo zetu bali ni watoto wetu. Wadogo zetu wamemaliza elimu ya msingi mwaka 2003 kurudi nyuma.
Pia kumbukumbu zinaniambia wakati nahitimu elimu ya msingi nilikuwa Nina umri wa miaka 19.
 
Back
Top Bottom