Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Mkuu science never claims kwamba inajua kila kituNimekufatilia sana majibu yako inaonekana pengine unakitu unakijua zaidi tofauti na watu wengi kuhusu ulimwengu. Hauamini katikati uwepo wa Mungu (Imani). Na unaamini katika mchakato wa kawaida wa maisha, yaani ili kitokee hiki lazima ufanye hivi. Kiufupi iyo ndio sayansi inazingati ushaidi na kweli ( evidence na fact)
Kwasababu kisayansi hakuna kinachoweza kutokea tu bila sababu, mfano: ili mvua inyeshe kunamchakato lazima uafanyike. / giza na nuru kunamchakato unafanyika ndio vinatokea n.k na kunashahidi za kisayansi.
Tusaidie kwa unachojua na sisi tufaidike.
Tuambie basi ni ipi asili ya awali kabisa ya ulimwengu? ( Ulimwengu ulitoka wapi )
Jibu likikosa evidence na fact iyo sio sayansi tena ni Imani, na sitaki kuamini kama sayansi na yenyewe inatumia Imani.
Usimuulize ulimwengu ulitoka wapi muulize tu energy ilitoka wapi nini chanzo cha energyNimekufatilia sana majibu yako inaonekana pengine unakitu unakijua zaidi tofauti na watu wengi kuhusu ulimwengu. Hauamini katikati uwepo wa Mungu (Imani). Na unaamini katika mchakato wa kawaida wa maisha, yaani ili kitokee hiki lazima ufanye hivi. Kiufupi iyo ndio sayansi inazingati ushaidi na kweli ( evidence na fact)
Kwasababu kisayansi hakuna kinachoweza kutokea tu bila sababu, mfano: ili mvua inyeshe kunamchakato lazima uafanyike. / giza na nuru kunamchakato unafanyika ndio vinatokea n.k na kunashahidi za kisayansi.
Tusaidie kwa unachojua na sisi tufaidike.
Tuambie basi ni ipi asili ya awali kabisa ya ulimwengu? ( Ulimwengu ulitoka wapi )
Jibu likikosa evidence na fact iyo sio sayansi tena ni Imani, na sitaki kuamini kama sayansi na yenyewe inatumia Imani.
Mkuu hili ndio tatizo la IMANI yaani Mungu unaweza kum twist whatever you want just to fit your imagination or to prove your pointWell.
Kwanza kabisa tuelewa kwamba, "Hakuna sayansi bila dini, na dini bila sayansi imepungukiwa".
Sayansi inafanya kazi ya kutafuta na kuona: Je, yale yote ambayo dini au imani imesema yapo; au je, ni kweli.
Sasa, hakuna sayansi au mwanasayansi ambaye anakataa kwamba ulimwengu umefanyika kwa akili nyingi na ya hali ya juu sana.
Sayansi inakubali na inaona kila kitu kinachoonekana kimefanyika kwa akili nyingi sana kuanzia na muundo wao wa nje na hata utendaji kazi wao, ni wa akili ya hali ya juu.
Sasa, ni nini au hali gani ambayo imesababisha vitu kuwepo, na kuwepo kwa akili hivi?
Hapo ndipo nadharia ya "Mlipuko Mkubwa" (The Bing bang theory), ambayo ni msingi wa nadharia karibu zote za sayansi, inafafanua kuwa ulimwengu umetokana na mlipuko mkubwa. Maana ya maneno "Mlipuko Mkubwa", ni Nishati (Energy). Kwahiyo kwa maneno mengine: ulimwengu umetokana na nishati.
Ingawa nadharia hii ina maswali mengi, lakini ndio inayokubaliwa na wanasayansi wengi.
Sasa, hoja ni "Nishati" (energy) kwa upande wa sayansi na "Mungu" au "Roho" kwa upande wa dini.
Sayansi inasema Nishati. Je, hii nishati ambayo sayansi inasema kama chanzo cha vitu ni nini?
Dini inasema, ulimwengu umeumbwa na Mungu. Na Mungu ni roho. Je Mungu maana yake ni nini? Na roho maana yake ni nini?
Muhimu sana. Dini na sayansi: vyote vinashughulikia "Kweli za Akili".
No body knows we kilazaUsimuulize ulimwengu ulitoka wapi muulize tu energy ilitoka wapi nini chanzo cha energy
Kuna mda unasema "nafsi yangu", tunamtafuta huyu mwenye yangu zake.Mwili ni kama hardware na nafsi ni kama software
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭 mamaeeee.Kuna mda unasema "nafsi yangu", tunamtafuta huyu mwenye yangu zake.
Nikama vile kuna wakati mwili na nafsi vinavutana vile😂😂Kuna mda unasema "nafsi yangu", tunamtafuta huyu mwenye yangu zake.
Sayansi is knowledge toward god ...kila sayansi inavyo zidi kufunuka ndiyo inaelekea kumfunua MunguNo body knows we kilaza
Unadhani sayansi inajua kila kitu kama Mungu wenu?
Hatujawai kujiona tuna jihisi tu na tunacho kiona ni mwili tu ambao siyo sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24] mamaeeee.
Hii umeua
Nishati maana yake energy... kidini ni roho vitu vyote ni energyMimi ni nishati (Umeme) Nguvu.
Katika universe Mimi natambulika Kama nishati.
TrueNishati maana yake energy kidini ni roho vitu vyote ni energy
InafikirishaHatuja wai kujiona tuna jihisi tu na tunacho kiona ni mwili tu ambao siyo sisi
Muujiza ni logic usiyo ijua.... mungu ni sayantific thing ila ni sayansi tusiyo ijua yeye mungu afanyi miujiza asiyo ijua yani habahatishi ..kwa sababu knowledge ya mungu ni muujiza kwetu kwa,sababu sisi hatujui uwezo wa utendaji wake ...kitu chochote kinacho fanyika ila kisayansi akijapata majibu icho kitu kinakuwa muujiza ila baada ya sayansi kutoa majibu kitu icho hakiwi muujiza tena hivyo ulimwenguni ni kama hakuna muujiza wowote kwa kuwa vitu vyote vinafanyika kwa kanuni hata mungu yupo kikanuniMkuu science never claims kwamba inajua kila kitu
Sayansi ipo limited
Sayansi haina MIUJIZA yoyote mkuu, ni logic tu, inakusanya taarifa inazifanyia kazi na kutoa majibu.... the process can be complicated lakini hakuna miujiza yoyote.
Tuna apply sayansi kila siku kwenye maisha yetu bila kujijua kwamba tuna apply science.
Mfano ukiwa na banda lako unafuga kuku halafu kila siku kuku mmoja anapotea bandani.... utakachofanya kujua ndio sayansi yenyewe
Ukiondoa sala unayosali kila kitu utakachofanya, utakachotumia utakua una apply science.
Dunia hii ni aridhi maji mimea na viumbe hai..... the rest unachokiona ni matokeo ya SAYANSI, bila sayansi mimi na wewe tusingekuwa tunajadiliana hapa JF
Kama nilivyosema sayansi HAIJUI sababu ya kila kitu mkuu, na hapa ndipo watu wanajichanganya kudhani sayansi inaweza kila kitu na kuanza kuishindanisha na DINI/IMANI..... hii sio SAHIHI
Kwenye sayansi kuna scientific FACT na scientific THEORIES
Nadhani unajua vizuri maana ya FACT.
Theories sio FACT, ni namna science inajaribu kutengeneza uwezekano wa jambo kutokea kulingana na taarifa zilizopo
Sayansi haijui KWAHAKIKA dunia hii imetengenezeka vipi, ndio ikaja na THEORY ya BIG BANG theory.
Theory are open tobe challenged ....... mpaka pale itakapo kuwa scientific FACT
So ukidai theory za kisayansi ni sawa na IMANI ntakuelewa lakini tofauti ni kwamba theory sio fact na zipo wazi kufanyiwa maboresho kulingana na new findings. Hii haipo kwenye IMANI
Mkuu binadamu ni kiumbe mdadisi, na moja ya jambo analolidadisi sana ni ulimwengu huu umetokeaje?
Sayansi haina MAJIBU ikatengeneza theory.
Wengine wakamtengeneza MUNGU ili apatikane aliyeiumba
HAKUNA ANAYEJUA DUNIA IMETOKEAJE...... hakuna
Nime-highlight aya hiyo kwa sababu nataka kukuuliza maswali haya:Hakuna mahali sayansi na Imani vinaendana kwasababu imani inakwenda kinyume na kanuni za sayansi
Kama nobody knows maana yake hakuna kitu kinaitwa energy? Maana wewe unasema ni lazima sayansi ijue kitu na kuweza kukielezea ndiyo kitu icho kiwe kweli ? Kwa sasa sayansi imeshindwa kumtambua mungu wewe ukasema hakuna mungu kwa sababu hiyo mbona kwenye energy imeshindwa kutambua imetoka wapi ila amjakanusha kuwa haipoNo body knows we kilaza
Unadhani sayansi inajua kila kitu kama Mungu wenu?