Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

Mimi ni nani....from philosophical view...mimi ninaweza kusimama kama subject lakini pia kama object ...

Mf.....I think....hapa ninajitahidi kumuambia subject I afikirie pia ni kama ninatoa command Kwa entity Kwa hiyo pia I Kuna muda anakuwa object....

When death approaches body both object and subject I will perish...means no existence and subjective....
 
Nimekufatilia sana majibu yako inaonekana pengine unakitu unakijua zaidi tofauti na watu wengi kuhusu ulimwengu. Hauamini katikati uwepo wa Mungu (Imani). Na unaamini katika mchakato wa kawaida wa maisha, yaani ili kitokee hiki lazima ufanye hivi. Kiufupi iyo ndio sayansi inazingati ushaidi na kweli ( evidence na fact)

Kwasababu kisayansi hakuna kinachoweza kutokea tu bila sababu, mfano: ili mvua inyeshe kunamchakato lazima uafanyike. / giza na nuru kunamchakato unafanyika ndio vinatokea n.k na kunashahidi za kisayansi.

Tusaidie kwa unachojua na sisi tufaidike.

Tuambie basi ni ipi asili ya awali kabisa ya ulimwengu? ( Ulimwengu ulitoka wapi )

Jibu likikosa evidence na fact iyo sio sayansi tena ni Imani, na sitaki kuamini kama sayansi na yenyewe inatumia Imani.
Mkuu science never claims kwamba inajua kila kitu
Sayansi ipo limited

Sayansi haina MIUJIZA yoyote mkuu, ni logic tu, inakusanya taarifa inazifanyia kazi na kutoa majibu.... the process can be complicated lakini hakuna miujiza yoyote.
Tuna apply sayansi kila siku kwenye maisha yetu bila kujijua kwamba tuna apply science.
Mfano ukiwa na banda lako unafuga kuku halafu kila siku kuku mmoja anapotea bandani.... utakachofanya kujua ndio sayansi yenyewe
Ukiondoa sala unayosali kila kitu utakachofanya, utakachotumia utakua una apply science.
Dunia hii ni aridhi maji mimea na viumbe hai..... the rest unachokiona ni matokeo ya SAYANSI, bila sayansi mimi na wewe tusingekuwa tunajadiliana hapa JF

Kama nilivyosema sayansi HAIJUI sababu ya kila kitu mkuu, na hapa ndipo watu wanajichanganya kudhani sayansi inaweza kila kitu na kuanza kuishindanisha na DINI/IMANI..... hii sio SAHIHI

Kwenye sayansi kuna scientific FACT na scientific THEORIES
Nadhani unajua vizuri maana ya FACT.
Theories sio FACT, ni namna science inajaribu kutengeneza uwezekano wa jambo kutokea kulingana na taarifa zilizopo
Sayansi haijui KWAHAKIKA dunia hii imetengenezeka vipi, ndio ikaja na THEORY ya BIG BANG theory.
Theory are open tobe challenged ....... mpaka pale itakapo kuwa scientific FACT
So ukidai theory za kisayansi ni sawa na IMANI ntakuelewa lakini tofauti ni kwamba theory sio fact na zipo wazi kufanyiwa maboresho kulingana na new findings. Hii haipo kwenye IMANI

Mkuu binadamu ni kiumbe mdadisi, na moja ya jambo analolidadisi sana ni ulimwengu huu umetokeaje?
Sayansi haina MAJIBU ikatengeneza theory.
Wengine wakamtengeneza MUNGU ili apatikane aliyeiumba

HAKUNA ANAYEJUA DUNIA IMETOKEAJE...... hakuna
 
Usimuulize ulimwengu ulitoka wapi muulize tu energy ilitoka wapi nini chanzo cha energy
 
Kiukweli mkuu hili ni swali fomu na wengi wanalikwepa kikawaida ukimuuliza mtu wewe ni nani atakutajia Jina lake na laubini.mfano umevaa shati huwezi sema wewe ni hilo shati lile shati limetumika tu kukufunika..wewe ni nguvu wewe ni Roho nikitu ambacho hakifi. Huu mwili umekubeba wewe wa ndani maana hiyo wewe wa ndani huwezi ishi kwenye ulimwengu huu bila kasha ambalo ni mwili.mfano ganda la kiberiti limebeba njiti au ikitokea mtu amefariki wanasema hii ni maiti ya mr.P unadhani muda huo mr.P yeye anakuja yupo wapi anakuwa ametoka kwa maana lile kasha yaani mwili unakuwa umeisha muda wake wa matumizi..sasa baada ya wewe halisi kutoka kutoka kwenye kasha lililoisha muda wake yaani mwili kinachofuata baada ya hapo yanakuja sasa mapokeo ya dini..Wapo wanaoamini mtu akifa huenda kuuvaa mwili mwingine na kuzaliwa kwingine au wengine huamini ukishakufa kuna hukumu eidha motoni ama uzima wa milele..
 
Well.

Kwanza kabisa tuelewa kwamba, "Hakuna sayansi bila dini, na dini bila sayansi imepungukiwa".

Sayansi inafanya kazi ya kutafuta na kuona: Je, yale yote ambayo dini au imani imesema yapo; au je, ni kweli.

Sasa, hakuna sayansi au mwanasayansi ambaye anakataa kwamba ulimwengu umefanyika kwa akili nyingi na ya hali ya juu sana.

Sayansi inakubali na inaona kila kitu kinachoonekana kimefanyika kwa akili nyingi sana kuanzia na muundo wao wa nje na hata utendaji kazi wao, ni wa akili ya hali ya juu.

Sasa, ni nini au hali gani ambayo imesababisha vitu kuwepo, na kuwepo kwa akili hivi?

Hapo ndipo nadharia ya "Mlipuko Mkubwa" (The Bing bang theory), ambayo ni msingi wa nadharia karibu zote za sayansi, inafafanua kuwa ulimwengu umetokana na mlipuko mkubwa. Maana ya maneno "Mlipuko Mkubwa", ni Nishati (Energy). Kwahiyo kwa maneno mengine: ulimwengu umetokana na nishati.

Ingawa nadharia hii ina maswali mengi, lakini ndio inayokubaliwa na wanasayansi wengi.

Sasa, hoja ni "Nishati" (energy) kwa upande wa sayansi na "Mungu" au "Roho" kwa upande wa dini.

Sayansi inasema Nishati. Je, hii nishati ambayo sayansi inasema kama chanzo cha vitu ni nini?

Dini inasema, ulimwengu umeumbwa na Mungu. Na Mungu ni roho. Je Mungu maana yake ni nini? Na roho maana yake ni nini?

Muhimu sana. Dini na sayansi: vyote vinashughulikia "Kweli za Akili".
Mkuu hili ndio tatizo la IMANI yaani Mungu unaweza kum twist whatever you want just to fit your imagination or to prove your point

Kwasababu Big bang theory imesema dunia ilianza na nishati basi Mungu ni Roho na Roho ni nishati, kwahiyo Mungu ni NISHATI
Kwahiyo kwenye sayansi dunia ilianza na nishati na kwenye dini nishati hiyo ni Mungu 😂

Hapo ni kama kutaka kulazimisha mfanano kwasababu kwenye sayansi hakuna nishati inayoitwa ROHO wala MUNGU

Na sayansi haiwezi kushughulika na imani kama Mungu, Roho kwasababu HAZIPO kisayansi

Hizo sijui Mungu ni Roho na roho ni energy ni imagination zetu hazipo kwenye uhalisa wala hazithibitishiki

Hakuna mahali sayansi na Imani vinaendana kwasababu imani inakwenda kinyume na kanuni za sayansi
 
Usimuulize ulimwengu ulitoka wapi muulize tu energy ilitoka wapi nini chanzo cha energy
No body knows we kilaza
Unadhani sayansi inajua kila kitu kama Mungu wenu?
 
Kuna mda unasema "nafsi yangu", tunamtafuta huyu mwenye yangu zake.
Nikama vile kuna wakati mwili na nafsi vinavutana vile😂😂

Mwili unataka nafsi inakataa kwa kujua labda matokeo yake
Unamuona demu mkali mwili unahitaji lakini nafsi inakataa kwamba yule demu kicheche na mwizi
Hapo ndio mtu anasema yule demu nilitaka nimtokee lakini nafsi yangu ikagoma kabisa

Nadhani MTU ni mwili na nafsi
 
Mkuu science never claims kwamba inajua kila kitu
Sayansi ipo limited

Sayansi haina MIUJIZA yoyote mkuu, ni logic tu, inakusanya taarifa inazifanyia kazi na kutoa majibu.... the process can be complicated lakini hakuna miujiza yoyote.
Tuna apply sayansi kila siku kwenye maisha yetu bila kujijua kwamba tuna apply science.
Mfano ukiwa na banda lako unafuga kuku halafu kila siku kuku mmoja anapotea bandani.... utakachofanya kujua ndio sayansi yenyewe
Ukiondoa sala unayosali kila kitu utakachofanya, utakachotumia utakua una apply science.
Dunia hii ni aridhi maji mimea na viumbe hai..... the rest unachokiona ni matokeo ya SAYANSI, bila sayansi mimi na wewe tusingekuwa tunajadiliana hapa JF

Kama nilivyosema sayansi HAIJUI sababu ya kila kitu mkuu, na hapa ndipo watu wanajichanganya kudhani sayansi inaweza kila kitu na kuanza kuishindanisha na DINI/IMANI..... hii sio SAHIHI

Kwenye sayansi kuna scientific FACT na scientific THEORIES
Nadhani unajua vizuri maana ya FACT.
Theories sio FACT, ni namna science inajaribu kutengeneza uwezekano wa jambo kutokea kulingana na taarifa zilizopo
Sayansi haijui KWAHAKIKA dunia hii imetengenezeka vipi, ndio ikaja na THEORY ya BIG BANG theory.
Theory are open tobe challenged ....... mpaka pale itakapo kuwa scientific FACT
So ukidai theory za kisayansi ni sawa na IMANI ntakuelewa lakini tofauti ni kwamba theory sio fact na zipo wazi kufanyiwa maboresho kulingana na new findings. Hii haipo kwenye IMANI

Mkuu binadamu ni kiumbe mdadisi, na moja ya jambo analolidadisi sana ni ulimwengu huu umetokeaje?
Sayansi haina MAJIBU ikatengeneza theory.
Wengine wakamtengeneza MUNGU ili apatikane aliyeiumba

HAKUNA ANAYEJUA DUNIA IMETOKEAJE...... hakuna
Muujiza ni logic usiyo ijua.... mungu ni sayantific thing ila ni sayansi tusiyo ijua yeye mungu afanyi miujiza asiyo ijua yani habahatishi ..kwa sababu knowledge ya mungu ni muujiza kwetu kwa,sababu sisi hatujui uwezo wa utendaji wake ...kitu chochote kinacho fanyika ila kisayansi akijapata majibu icho kitu kinakuwa muujiza ila baada ya sayansi kutoa majibu kitu icho hakiwi muujiza tena hivyo ulimwenguni ni kama hakuna muujiza wowote kwa kuwa vitu vyote vinafanyika kwa kanuni hata mungu yupo kikanuni
 
Hakuna mahali sayansi na Imani vinaendana kwasababu imani inakwenda kinyume na kanuni za sayansi
Nime-highlight aya hiyo kwa sababu nataka kukuuliza maswali haya:

Swali la kwanza:-
Kwa kuuona kwako ulimwengu, yaani vitu vinavyoonekana, na utendaji wao: Je, unafikiri umefanyika kwa akili au haujafanyika kwa akili?

Swali la pili:-

Sayansi maana yake ni nini? Na sayansi inatafuta kujua nini? Imani maana yake ni nini? Na kwa nini unafikiri imani na sayansi haviendani?
 
No body knows we kilaza
Unadhani sayansi inajua kila kitu kama Mungu wenu?
Kama nobody knows maana yake hakuna kitu kinaitwa energy? Maana wewe unasema ni lazima sayansi ijue kitu na kuweza kukielezea ndiyo kitu icho kiwe kweli ? Kwa sasa sayansi imeshindwa kumtambua mungu wewe ukasema hakuna mungu kwa sababu hiyo mbona kwenye energy imeshindwa kutambua imetoka wapi ila amjakanusha kuwa haipo

Sayansi is knowledge toward God's ...miaka inavyo zidi kwenda wanasayansi watakuja kugundua kuwa nyuma ya kuumbika kwa ulimwengu kuna (High powerfully intelligent power and sense)
 
mimi ni ulimwengu kotoka kiumbe cha binadamu,mimi ni mazingira ,mimi ni controller wa mazingira na mimi ni energy inayoishi katika mfumo wa hewa ninapo kosa hewa au kuingiziwa energy nyengine mwili wangu ambao ni identity unadhoofika au kushindwa kabisa.

mwili wangu ndiyo unaonipa nguvu ya kufanya nguvu energy yangu iwepo asili ya mimi katika dunia hii ni kuunganisha na kuyakabili changamoto ambazo zinaweza kuathiri energy nyengine kama mimi,hivyo mimi ni mmoja wa kikundi katika mwili nyama ila mimi pia ni nguvu inayoishi na hujirudi baada ya kufa kwa mwili/identity.
 
Back
Top Bottom