Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

Samahi bro nataka kuuliza tu

Kwani kitugani kisayansi hakiwezekani
Mkuu sayansi ni RAHISI mno it’s just a LOGIC tu haina maajabu yoyote.
Inakusanya data, inazichakata inakuja na matokeo...... unalifanya hili zoezi mara zote kwenye maisha yako bila kujijua kwasababu ni jambo logically.

Ili sayansi ichakate ni lazima data za kuchakata ziwepo
Kama data za kuchakata HAZIPO sayansi haiwezi kuchakata
Sayansi haiwezi kuchakata kitu from NOTHING.
Kama kuna watu watatu chumbani halafu wewe unadai yupo na mtu wa nne humo chumbani lakini haonekani anaishi kwenye ulimwengu wa roho,
Sayansi itachakata na kukupa matokeo ya watu watatu tu(hawa ndio sayansi inaweza kupata data zake na kuzichakata)huyo wa nne ni hekaya za kusadikika tu kisayansi

Kisayansi hakuna data za supernatural ili zichakatwe kisayansi
Vipi kuhusu hekaya ya bing bang?

Kuna scientific FACT na scientific THEORY.
SCIENTIFIC THEORY sio FACT
Ukiziita hekaya ni sawa tu ingawaje zipo tofauti kabisa na hekaya za IMANI...... ila ZOTE SIO FACT

Theories zina BUNIWA pale sayansi inapokua HAINA data za kutosha kutoa MATOKEO
Mfano kwenye giza kikipita kitu mbele yako kwa kasi sana kiasi kwamba Ukashindwa kubaini ni nini, hapo utakua na taarifa(data)chache hazijitoshelezi kueleza kwa HAKIKA ni nini kimepita mbele yako
Hapo sasa utaanza kudevelop theory kwa kubuni labda itakua farasi utatoa na sababu, au itakua ni gari aina fulani na utatoa sababu kulingana na uchache wa data... hivi ndio theory za kisayansi zinavyo BUNIWA
Zamani kulikua na theory kwamba dunia ni TAMBARARE lakini zilipo kuja kupatikana data za kutosha ikawa scientific FACT kwamba dunia ni duara

Note that
MSINGI wa majibu uliyoni quote nilikua namjibu muungwana mmoja mfia dini anadai Mungu, malaika, shetani, peponi, motoni, ulimwengu wa roho nk nk vinathibitika KISAYANSI
 
Hatuwezi kujijua sisi ni nani mpk kwanza tujue hii dunia imetokea wapi,kuna uhusiano mkubwa kati ya dunia na sisi,nahisi jibu la sisi ni nani analo alieleta hii dunia ambayo na sisi tumo.
 
Mkuu unanichosha sana kiukweli una reasoning ndogo sana

Nimekwambia hivi sayansi ni kukusanya data, kuzichakata na kuja na matokeo
Huko maabara hawagundui vitu FROM NOTHING(like your god)
Kule mahabara kwanza kunakuwa na data zinachakatwa na sio kuna NOTHING inayochakatwa, halafu ndio yanafuata matokeo(gunduzi)

You God is NOTHING.... hawezi kuchakatwa na sayansi
Nilikuuliza swali wapi sayansi ili proof kuwa (hakuna mungu wala hakuwezi kuwa na mungu) ...kama haija proof bado basi unasemaje God is nothing...you very stupid ...siku zote sayansi inapo kubali au kukataa kitu inakuwa imeshapata proof ya kukikubali au ya kukikataa otherwise haiwezi kusema hicho kitu hakipo...na wewe zuzu ulishindwa kunionyesha proof ya kisayansi ambayo imetoa conclusion ya kwamba hakuna mungu ....hivyo sayansi bado inaendelea na utafiti wa mungu ni nini ...yupo au hayupo
 
Mkuu nimeona tafsiri.

Nilichoona wewe ndio huelewi.

Unafafanuaje maneno: Complete trust or confidence au strong beliefs
Nimeweka tafsiri ya kamusi inayoeleza maana ya FAITH in general use na tafsiri ya FAITH kwa muktadha wa DINI

Umechagua tafsiri ya FAITH in general use.... OK twende nayo hiyo hiyo kwanza

TRUST ni KUTARAJIA kitu fulani kitatokea(lakini SIO LAZIMA kitokee)

MIFANO
i have complete trust or confidence or strong belife Yanga itafika Nusu fainali CCL....... sio kazima ifike inaweza kufungwa

I have confidence kwamba nitashinda BBS...... no guarantee unaweza ukashindwa

Nakukopesha kwasababu I completely trust you utarudisha deni langu..... unaweza usilipwe vilevile

Kwahiyo Faith, Trust Beliefs ni KUTARAJIA jambo kutokea LAKINI jambo hilo sio LAZIMA(HAKIKA) kutokea
Simaanishi HALIWEZI kutokea, namaanisha linaweza KUTOKEA au lisitokee pia pamoja na complete trust or strong belief yako..... hii ni Logic ya kawaida kabisa

FAITH kwa muktadha wa DINI ndio inakwenda mbali zaidi, soma vizuri screenshot yangu tafsiri ya pili
Angalau kwenye general use ya faith ambayo ni logically unaona kabisa namkopesha hela Mayu anafanya kazi akipata mshahara naamini atanilipa. Asipo kulipa utasema nilikosea kukuamini
Kwenye Dini IMANI ni KUKUBALI jambo lolote as long as limeandikwa kwenye scriptures za dini husika

Kuna vitu kwanye logic(sayansi) ya kawaida kabisa huwezi kuviamini lakini kwenye Dini haijalishi haviwezekani kiasi gani ila kwenye dini vinawezekana

Imani ya kidini inazuia matumizi ya fikra huru na kutumia hata simple common sense
Imani inasema mtu akihama uislam akatwe kichwa na anakatwa kweli na aliyekata kichwa anahesabika mwenye haki
Kibwetere anawachoma moto waumini wake live na wanaamini ni kweli, Mackenzie anawashindisha njaa waumini wake hadi kufa na wanaamini ni kweli...... UNATAKA KUNIAMBIA HAWA WOTE WANA HAKIKA na walifanyalo?
 
Mkuu

Naomba ufuatilie mambo na elimu ya vitu. Lengo lisiwe kubishana bali kujifunza na kuelewa.

Narudie tena maana ya imani:-

Ni kuwa na uhakika na uthabiti wa mambo yatarajiwayo na bayana ya vitu visivyoonekana.

Kwa maana rahisi: imani, ni kujua.

Hiyo mifano uliyoitoa sio imani. Hakuna imani ya kidini au imani ya kitu gani. Imani ni kwa Mungu.

Unayoyaona tangu historia ya mtu duniani; kama hayo uliotolea mfano na mengine mengi, ni kasoro mbalimbali ambazo zinatokana na mtu mwenyewe kumkataa Mungu - kuwa mjinga na kutokuwa na uelewa wa mambo na elimu ya vitu.

Imani kwa Mungu haizui uhuru kwa sababu kwa yenyewe ni uhuru wenyewe.

Hiki ulichoandika "imani ya kidini inazuia matumizi ya fikira huru", unaweza kuwa sahihi kwa sababu hiyo ni imani ya kidini sio imani kwa Mungu.

Duniani kuna dini mbalimbali: zaidi ya elfu mbili. Duniani hakuna imani mbalimbali: kuna imani potofu.

Imani ni moja: imani kwa Mungu.
 
Duniani kuna dini mbalimbali: zaidi ya elfu mbili. Duniani hakuna imani mbalimbali: kuna imani potofu.

Imani ni moja: imani kwa Mungu.
Mkuu kwa afya ya mjadala huu ngoja tu NIKUKUBALIE KUTOKUKUBALIANA KWETU 🙏
 
Potovu kwako, kuna mamilioni ya watu pia wanaona imani yako ni potofu.
 
Mkuu nilitaka kumjibu lakini nikaona nimuache tu maana kashaanza kuniita MBISHI
Wao kama watu wa hizi imani za Mungu wenyewe kwa wenyewe tena wanaonana kuna mmoja kapotea ,alafu bado kuna wa imani moja ila wana vimatawi vyenye itikadi zaidi la laki ( madhehebu) na kila mmoja humuhumo anamwona mwenzake yupo kinyume .
 
Potovu kwako, kuna mamilioni ya watu pia wanaona imani yako ni potofu.
Mkuu

Lengo ni kujifunza, ili kuwa na uelewa wa mambo na elimu ya vitu. Na kuondokana na kubishana

Imani ni dhahiri. Si jambo la kufikirika.

Imani ni maisha ya kila mtu, ya jamii.

Imani inaonekana, kila mtu anaweza kuona.

Kuhusu imani potofu:-

Inaharibu uhai: Inaharibu maisha. Inaleta uchungu. Inasababisha maumivu. Ni umasikini.
 
Kila kitu ni energy japo haiusiani na mungu.
Kuna dark matter, electromagnetic, void, Kazi ipo Sio ndogo kujua chanzo .

Ila kuna vitu vime exist Tu, kama dark matter, hichi 👈 kitu kipo TU
 
Wewe ujui sayansi ....wanasayansi wanakubali kuwa nguvu za uumbaji zipo na wanakubali kuwa vitu vyote vimeumbwa na hizo nguvu na hizo nguvu wao ndiyo wanaziita mother nature ila wanacho tofautiana na dini ni wao wanasayansi wanakataa kuwa hizo nguvu zinajitambua yaani ni (nafsi) wao wanasayansi wanasema kuwa hizo nguvu zimeumba kwa kubahatisha tu ....maana wakikubali kuwa hizo nguvu zinajitambua tayari watakuwa wamekubali kuwa,huyo ni mungu.
Kwamba wanasayansi kwao ni kosa kukubali mungu? Na nikwanini
 
Mimi ni nani....from philosophical view...mimi ninaweza kusimama kama subject lakini pia kama object ...

Mf.....I think....hapa ninajitahidi kumuambia subject I afikirie pia ni kama ninatoa command Kwa entity Kwa hiyo pia I Kuna muda anakuwa object....

When death approaches body both object and subject I will perish...means no existence and subjective....
Hauijui kazi ya ubongo labda.
 
Mimi naona jibu tayari tunalo, ila kwakuwa ability ya mwanadamu, nikutafuta na kutamani kuwa au kujua na hata kupenda, vitu vya ajabu,miujiza na vya kufikirika ndio inapelekea sisi kujiuliza maswali haya, na mbaya zaidi vitu hivyo jinsi vinavyozidi kuwa halisi ndivyo mwanadamu anazidi kuvipuuza na kuviona vya kawaida kabisa, imagine mchimba madini wakati anaingia kuchimba madini kwa mara ya kwanza alitamani kupata madini bila kuwa na hesabu ya madini mangapi anahitaji, ila jinsi alivyoendelea kuyapata ndivyo alivyoendelea kuyasaka mengi zaidi ya hayo, ila lengo ni madini tu anataka na hajui anataka mangapi au ya ukubwa gan, so hata sisi, majibu tunayo kwamba sisi ni binadamu, na asili yetu ni hapahapa Duniani, ...wakati watu wanajiuliza haya maswali kitambo ndipo wakajua wao ni tofauti na wadudu,mimea,wanyama so wao ni binadamu, baada ya kujua wao ni binadamu sasa hivi hili jibu linaonekana ni jepesi mno anataka majibu mengine ya kustaajabisha (kuna mtu alishawahi kusema pengine ubongo ndio unaosumbua mwanadamu) namimi nataka wataalamu wamalize utata hapa watuambia kazi ya ubongo ni nini? Tukishajua kazi ya ubongo nafikiri tutajua kwanini mpaka sasa tunajiuliza haya maswali
 
Kwamba wanasayansi kwao ni kosa kukubali mungu? Na nikwanini
Wanasayansi wanakwazika kukubali kuwa kuna Mungu kwa sababu wakikukali watakuwa wamemjua mungu kuliko watu wa dini maana mungu kisayansi watakapo mkubali watakuwa wametambua kuwa mungu ni mkuu sana maana wanasayansi wanajua ukuu wa ulimwengu na maumbiko yake kuliko watu wa dini
 
Back
Top Bottom