Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu sayansi ni RAHISI mno it’s just a LOGIC tu haina maajabu yoyote.Samahi bro nataka kuuliza tu
Kwani kitugani kisayansi hakiwezekani
Inakusanya data, inazichakata inakuja na matokeo...... unalifanya hili zoezi mara zote kwenye maisha yako bila kujijua kwasababu ni jambo logically.
Ili sayansi ichakate ni lazima data za kuchakata ziwepo
Kama data za kuchakata HAZIPO sayansi haiwezi kuchakata
Sayansi haiwezi kuchakata kitu from NOTHING.
Kama kuna watu watatu chumbani halafu wewe unadai yupo na mtu wa nne humo chumbani lakini haonekani anaishi kwenye ulimwengu wa roho,
Sayansi itachakata na kukupa matokeo ya watu watatu tu(hawa ndio sayansi inaweza kupata data zake na kuzichakata)huyo wa nne ni hekaya za kusadikika tu kisayansi
Kisayansi hakuna data za supernatural ili zichakatwe kisayansi
Vipi kuhusu hekaya ya bing bang?
Kuna scientific FACT na scientific THEORY.
SCIENTIFIC THEORY sio FACT
Ukiziita hekaya ni sawa tu ingawaje zipo tofauti kabisa na hekaya za IMANI...... ila ZOTE SIO FACT
Theories zina BUNIWA pale sayansi inapokua HAINA data za kutosha kutoa MATOKEO
Mfano kwenye giza kikipita kitu mbele yako kwa kasi sana kiasi kwamba Ukashindwa kubaini ni nini, hapo utakua na taarifa(data)chache hazijitoshelezi kueleza kwa HAKIKA ni nini kimepita mbele yako
Hapo sasa utaanza kudevelop theory kwa kubuni labda itakua farasi utatoa na sababu, au itakua ni gari aina fulani na utatoa sababu kulingana na uchache wa data... hivi ndio theory za kisayansi zinavyo BUNIWA
Zamani kulikua na theory kwamba dunia ni TAMBARARE lakini zilipo kuja kupatikana data za kutosha ikawa scientific FACT kwamba dunia ni duara
Note that
MSINGI wa majibu uliyoni quote nilikua namjibu muungwana mmoja mfia dini anadai Mungu, malaika, shetani, peponi, motoni, ulimwengu wa roho nk nk vinathibitika KISAYANSI