Minazi ni miti iliyo hatarini kupotea, dalili zinaonekana

Minazi ni miti iliyo hatarini kupotea, dalili zinaonekana

Serikali haiwezi kua solution ya kila kitu

Serikali haijui kufanya chochote,na inachofanya turn out to be bad or sub standard

Kama zao halina utility value,law of economics inasema litakufa tu regardless.

Cha msingi ni zijengwe economic policies zitakazoleta incentive kwa yeyote atakaelima,kama hakina economic incentive kwa mlimaji basi that thing will be a failure

Mazao yalikuja mengi na yakatoweka na yatakuja mengine pia,dunia ina miaka 4 bilioni,unachokihofia ni mainstay tangu mababu na mababu

Wananchi wafanye innovation wao kama wao wa seed storage and preservation fuelled na economic benefits nk,sera ziwekwe hizi industry kama industry zifunguke

Utaokoa some and others will die and disappear due to kukosa value at this age and times.

Serikali hua haina akili na passion na dedication kama wananchi mmoja mmoja...

Tena serikali zenyewe ndio hizi maiti za mapumbavu ya CCM,forget that solution
Government intervantion is inescapable for this bro. Hata uwe na innovation kiasi gani without government intervantion you will stuck.
 
Sorry nje ya mada.
Nina mpango wa kulima migomba heka 5. Kwangu Mimi Naona zao la migomba linawahi kumtoa mtu manake mwaka mmoja mavuno tayari, ntapanda mwaka huu mwezi wa 9.

Ni wazo mwakani ntajaribu Hilo zao pia
 
Sorry nje ya mada .
Nina mpango wa kulima migomba heka 5.kwangu Mimi Naona zao la migomba linawai kumtoa mtu.manake mwaka mmoja mavuno tayali.ntapanda mwaka huu mwezi wa 9.
Ni wazo mwakani ntajalibu Hilo zao pia
Mama yangu alipanda ndizi mzuzu mashina 200 na yote anavuna Ramadan hii. Mkungu sh 5,000 shambani.
 
Kila baada ya miezi mitatu unaangua nazi unalipa ada ya watoto.
Mwaka 1986 hivi, Mheshimiwa Rais Mwinyi alitoa hadhari kuhusu kudharaulika kwa zao la nazi. Hasa uvunaji uliopindukia wa madafu, n.k. Akasema, itafika siku nazi itakuwa inauzwa moja sh. 100. Adjusting for inflation, bei ya nazi itakuwa imepanda kama alivyosema Mheshimiwa Mwinyi sr.
 
..wakati mwingine nadhani minazi ni investment nzuri kuliko uwekezaji ktk miti ya nguzo/mbao.

..tatizo linakuja kwenye matunzo ya minazi toka kupanda mpaka itakapoanza kutoa matunda.
Kuna miaka kumi ya ku sacrifice lakini baada ya hapo kama una heka moja una uhakika wa milioni 2 kila baada ya miezi mitatu.
 
Mwaka 1986 hivi, Mheshimiwa Rais Mwinyi alitoa hadhari kuhusu kudharaulika kwa zao la nazi. Hasa uvunaji uliopindukia wa madafu, n.k. Akasema, itafika siku nazi itakuwa inauzwa moja sh. 100. Adjusting for inflation, bei ya nazi itakuwa imepanda kama alivyosema Mheshimiwa Mwinyi sr.

..SMZ Pemba wanajitahidi kuboresha zao la minazi. Nimesoma mahali kwamba Serikali ina vitalu vya kuzalisha minazi ambayo hugawiwa kwa wananchi maeneo mbalimbali.
 
Back
Top Bottom