Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #61
Ukiamua kuwa na shamba la heka mbili za minazi tunaita “kiunga”, jengo nyumba ya shamba ya vyumba viwili vya kulala na sebule kubwa. Nje weka Sim tank buns maji ya mvua na choo cha shimo. Weka jiko la gas.
Chumba kimoja weka mfanya kazi, chumba cha pili ni cha kwako kama itabidi ulale shamba. Sebule unahifadhia nazi kabla hazijaenda sokoni.
Kijana unampa 50,000 lakini ana uhuru wa kulima mazo ya kula kama mihogo, bamia, mahindi na kazi yake kubwa ni kuzunguka shamba.