Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kama ni kweli KEROZENE nitaumia na Kusikitika mno kwani kama kuna mahala ambapo huwa napata Wanawake wepesi na kula nao Uroda kiurahisi na situmii Gharama yoyote ile ni wa hapo Kwake Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe.

Tafadhali Serikali kama Minong'ono hii ni ya Kweli naomba msitishe Uamuzi huu kwani Wanaume wengine tumeshasahau namna ya Kutongoza baada ya Kurahisishiwa kupata Wanawake Kiurahisi wanaoenda Kuabudu kwa Mtume Mwamposa ambao ni wepesi Kutongozewa na Kudanganyika na Watoto wa Mjini na Kuliwa Uroda.

Ukikataliwa na Mwanamke awe Single au Kaolewa anayesali kwa Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe basi jua Wewe una Nuksi moja ya Ajabu sana kwani wao ukiwaingia tu kwa Gia ya Kuwaoa au kuwapa Mimba ( kwani wengi wana tatizo la kupata Mimba ) au kuwapa Kazi na Pesa za Matunzo unaweza hata kwa Siku Moja tu ukawala Uroda ( Ukawalala ) Watatu mpaka Saba kutegemeana na Nguvu zako za Kibaiolojia.
 
Kama ni kweli KEROZENE nitaumia na Kusikitika mno kwani kama kuna mahala ambapo huwa napata Wanawake wepesi na kula nao Uroda kiurahisi na situmii Gharama yoyote ile ni wa hapo Kwake Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe.

Tafadhali Serikali kama Minong'ono hii ni ya Kweli naomba msitishe Uamuzi huu kwani Wanaume wengine tumeshasahau namna ya Kutongoza baada ya Kurahisishiwa kupata Wanawake Kiurahisi wanaoenda Kuabudu kwa Mtume Mwamposa ambao ni wepesi Kutongozewa na Kudanganyika na Watoto wa Mjini na Kuliwa Uroda

Hahahahahahah
 
Kama ni kweli KEROZENE nitaumia na Kusikitika mno kwani kama kuna mahala ambapo huwa napata Wanawake wepesi na kula nao Uroda kiurahisi na situmii Gharama yoyote ile ni wa hapo Kwake Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe.
Kwanza ni makosa kumfananisha tapeli na mitume,
Mtumegani aliua wananchi kwa kukanyagana akiwauzia mafuta ya alizeti?
 
Kwanza ni makosa kumfananisha tapeli na mitume,
Mtumegani aliua wananchi kwa kukanyagana akiwauzia mafuta ya alizeti?
Huyu Jamaa akihama hapo Tanganyika Packers Kawe nitarudia Kupiga Nyeto tu kwani Kutongoza Wanawake siku hizi ni Mtihani mgumu kama si mzito sana wakati hapo Kanisani kwa Mtume Mwamposa tulikuwa tunawaokota tu Kiulaini na Kuwabandua Kiupako Upako.
 
Foolish nimeandika Matusi au Uhalisia?
Ina maana huoni maneno uliyoandika yako wazi hukutumia uficho umeandika kama yalivyo. Halafu umeishusha huduma ya mwamposa kuwa pale unajipatia wanawake bwerere kwa kuwa wana shida ya mahitaji yao. Are serious? Uende pale ukajitongozee mwanamke na umpate, mwanamke gani huyo yuko kirahisi kubebwa na jibaba lisilojulikana limetoka wapi? Hakuna kitu kama hicho
 
Mimi nikajua unasemea wale wanawake wanao toaga ile sadaka ya kujimaliza.kisha wanakosa hata nauli ,na wanaanza kuingia hapa mtaani kuanza kuomba nauli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Masela wa hapo stand na walima maua karibia na kwa mwamposaa hua wanawafaidi saaana wadada/wamama walio toa sadaka ya kujimaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sadaka ya kujimaliza ni ile ombi la kumtaka muumini atoe hela yooote aliyo nayo kwa wakati huo.hapo ndipo wale wenye imani inayo zidi ya mwamposaa mwenyewe hua wanajimaliza kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Dini ni ulevi tuuu kama ulivyo ulevi mwingine.
 
Back
Top Bottom