Miongo miwili wamekataa kubadilisha jina la mtaa wa Tandamti kuwa Mshume Kiyate

Kwa karne hii kuanza kufatiria eti kwa nini mhenga furani aliyepigania Uhuru,jina lake haripo hata kwenye mtaa mmoja,ni kupoteza muda,na matumizi mabaya ya rasilimali akili,na ujuzi mlionao,hivi unaweza ukaenda SA,ukakuta makampuni makubwa ya madini,nishati,yanamirikiwa na wageni?
Kwa nini sisi hapa,madini,mafuta,mawasiliano companies hazimilikiwi na State kwa manufaa ya nchi,kama ilivyo,BP,Total,petrobas,
Kwanini tusiishike Africa nzima,kwa biashara ya nafaka,na kilimo,Mzee Bakhressa ameishatuonyesha njia,
Sasa hizi siasa za enzi za cold war,zinasaidia nini sasa HV,
 
Hii nchi haijawah kuwa na wapigania uhuru zaid ya akina mkwawa Mzee. Hawa ni Watu tu walikuwa wanataman kujitawala wakiwa kijiwen wakashindwa namna nzur ya kuiwasilisha hoja yao wakawashirikisha mawazo yao akina Nyerere na Nyerere kwa usomi wake akaenda UN kuwasilisha hilo wazo akakubaliwa ukafanyika uchaguz Tanganyika ikapewa utawala wao. Lakin Hakuna aliyepigania hii nchi walipewa waingereza kuiongoza mpaka hapo wenyeji watakapoweza kujitawala so hii kutuletea story cjui nimeenda vyuo gan cjui nan alitoa nini Mbona za kawaida Sana hujaona hata Nyerere baada ya kushika madaraka hakuwapa madaraka hao wavaa vikoi maana hawakuwa na wazo jipya zaid ya yale ya kwenye kahawa. Unawapaje utawala
Kitali,
Nadhani jibu langu lilikuwa wazi kuwa ikiwa hiyo ni fikra yako mie sina tatizo na wewe amini upendavyo.

Kubwa nililokueleza ni kuwa mimi nimeandika kitabu kuhusu harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika na kinafundishwa Marekani na Ulaya katika vyuo vinavyosomesha African History.

Si hivyo tu nimehadhiri Northwestern University Evanston ambao ndiyo wanaongoza duniani katika historia ya Afrika na hiki kitabu changu kinasomeshwa hapo.

Unaweza ukabaki na msimamo wako kuwa Tanganyika haikupigania uhuru kwangu mie hilo si tatizo kwani ikhtilafu kama nilovyotangulia kukueleza ni silka ya sie binadamu.

Muhimu hapana haja ya wewe kughadhibika na kutukana matusi kwani hapa tunabadilishana fikra hakuna ugomvi.

Mimi navaa kanzu na msuli na havijanipunguzia chochote halikadhalika nina "designer suit," nyingi tu na pia hazijaongeza kitu kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv kweli Unataka kuniambia angekuwa Mjeruman ndio anatawala ndio mngemtoa kwa hivyo vikao vya kahawa? Hebu achen utan bana Watu wanapigana wengine wamenyongwa Kina kinjikitile wewe unakutuletea story za wala rojorojo. Na ili ujue hawa Watu walikuwa na future na nchi angalia mwisho wao na family zao. Wamebaki na udini tu nothing more na vinyumba viwili hapo kkoo. Wanalaumu cjui walitaka walipwe nanan kama kweli walikuwa wanapigania kesho huru ya watoto wao.
 
Kitali,
Naona una ghadhabu na unaandika kwa kejeli.

Umewataja Wajerumani.

Wazee wetu wamenyanyua silaha dhidi ya Wajerumani katika Vita Vya Maji Maji.

Unaijua historia ya mmoja wa majemadari wa Maji Maji, Sultani Abdulrauf Songea Mbano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitali,
Naona una ghadhabu na unaandika kwa kejeli.

Umewataja Wajerumani.

Wazee wetu wamenyanyua silaha dhidi ya Wajerumani katika Vita Vya Maji Maji.

Unaijua historia ya mmoja wa majemadari wa Maji Maji, Sultani Abdulrauf Songea Mbano?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu zanguni pamoja na Kitali,
Historia ina maajabu mengi na mtu ufanyapo utafiti unakutana na
mengi ya kustaajabisha.

Hebu angalieni historia hii ya Wajerumani, Waingereza na wazalendo
wa Tanganyika:

KUTOKA JF: MAAJABU YA HISTORIA: BI. MISKI SIMLELEO SHANGAZI YA CHIEF ADAM SAPI MKWAWA BIBI YAKE ABDUL SYKES
Mohamed Said September 09, 2016 0

Kwa hiyo unaona hiyo ni sifa kuwa na uhusiano na huyo mchotara na muuwaji Tipp Tip? Mimi ningekuwa raisi wa JMTZ watu kama ninyi ningeweka ndani na kuwafilishi wote!

Barbarosa,
Wapi mimi nimesema kuwa naona sifa?
Hata hivyo mtu huwezi kukataa asili yako kwa ajili ya historia.

Historia ina mambo ya kushangaza sana.
Soma historia ya uhuru wa Tanganyika.

Sykes Mbuwane aliingia Tanganyika kama mamluki wa Wajerumani
kuja kupigana na Chifu Mkwawa, Kalenga na Abushiri bin Salim,
Pangani.

Mtoto wa Sykes Mbuwane, Kleist Sykes akajakuwa mzalendo na
Mtanganyika aliyewasha moto wa kupambana na ukoloni 1929.

Watoto wa Kleist Sykes, Abdulwahid, Ally na Abbas wakaja kuasisi
TANU 1954.

Lakini ukiangalia nyuma asili ya hawa wote chanzo chao ni askari mamluki
aliyeingia Tanganyika mwisho wa 1800 wakiongozwa na Herman von
Wissman
amebeba bunduki kuja kupigana na wananchi wa Tanganyika ili
nchi hii itawaliwe na Wajerumani.

Angalia sasa ajabu ya historia.

Sykes Mbuwane alikuwa askari mamluki wa Wajerumani akapigana na
Chifu Mkwawa na Abushiri bin Salim wazalendo wa Tanganyika.

2015%2B-%2B1

Kushoto: Kleist Sykes, na kitinda mimba Abbas
Waliosimama kushoto ni Ally na Abdulwahid akiwa katika uniform ya KAR
Picha ilipigwa 1942 Abdulwahid alipokujaaga kutoka Kenya kabla ya kwenda
Burma Vita Vya Pili Vya Dunia (1938 - 1945).

Kleist Sykes akapigana WW1 upande wa Wajerumani dhidi ya Waingereza
(1914-1918).

Watoto wake Abdul na Ally wakapigana WWII na Waingereza dhidi ya
Wajerumani (1938-1945).

P8ulTbqg7YE8IU8HBpx1xwW8E3i2caVMxHiO4zDE_2Dk9GvhIJsGoun8ImbAL-wCrdEQ9zMRGtnc8QiHg_qW_V9Gh1W6WsHC9_r5xS10Ca5SrtYHSEefEwD74Mbzv2kNSSc8ONtqkH8Pt758_TrcS0EZezfm-PtWktbfc0VTSHwJrLW83h1c-Dnn7Vr3AT2n7twLwGx3wcGjINYDdkbUq3sd4_DEkFKrwx1hTnltApnBOUpk3DswD2nfU5bJWz1HyxOmTUT9k2h4gtWGB5MJq2zSx7jY-BsJF3kc5seDQXLcze06lr8XqWQpJ0qHFkCipHLYuN4tweO-Bxr0wPjGNEnAm8GhEvkVmq0cilWiCDCT7DOWoO2iigJ8mDs4LuyaH2y3BR-T4yK5hbN4Ejhp1WcZyHHUK-zDEWt59tN1IbkTrfuziAd8XhYlx9XadFyHHvzXs1D5NG0VHsY6m7IrCOsYVs6EyUmE-eGlfq0iFVHtEVCkPB_i5iHL1NhxssKAZqWrrRPp7arRz2lOk3C5ADMwWIcdepJTWOi93FqF7YiuiYXy02JF-ktmnfEH46wXcgFE-mFbySAgnypyt5--k4CDp2HoEd59xSC1SQulJ1Ib9axF9g=w480-h360-no

Abdulwaid na Ally Sykes wakiwa 6th Battalion Burma Infantry
King's African Rifles (KAR) Vita Vya Pili Vya Dunia (1938 - 1945)

Hapo chini ni kaburi la Bi Miski Simleleo:

gIjW1tWD5qsArAxvu7v_tKR2abOg_-ckhJDnPqgZ474Re4TLoZZEsR2toREK3D8rM3ckjTEwvcK7yD0NYoDn27ht4csbBBKAFgXmR0qCdZ-7Xpj24yHB5hlCT55ghqxaeRsIY_qg74I2sBjiP1haenr2CCP8aVAN1MzStCIwl9eWxxvmwY70OWXKX5ogXfIkQfqGCL4IvoF_b7DmvElXJpdBJy5P1GEWIgVQF1Cga5-by-bk2-eDmqmmuqMgMyFv-NZDeDlQ9dMLcUR8e2FGVMDC9y-uXmTK0t8M0G6UKgsfHKdS9WE-WQwVZEKXj4gA0N3um0tT6s_zVrbPE62-SIvutPSIqiZLOHs_DvhdyUJ1WzJhGzF0cSn1JcNTbYC8PGfa3OzTBI_M-YBC1qipBwW931ucWnKKiPrCxF3iPOHc1skMGHb7nNAbsc_r_13ze4lpyiYOk8k1pm-mzum4cskuj8L_NVghUW4KJTOBRK58Ohch9uR8pKutC718v-NpnA-qvrS2bVBfQtSnmt-rExx0TGP68xbnV6Z-ddohh6Z0s6G1yidgnzyvCegHE1gGbPTP8GXw0Sskql8tfc3kcKtBKV9TW9lFkoMYlIOrZn7PHzF7Jg=w876-h657-no

Bi. Miski ni shangazi yake Chief Adam Sapi Mkwawa.

Maana yake ni kuwa Bi. Miski ni mjukuu wa Chief Mkwawa.

Huyu Bi. Miski ndiyo mama yake Bi. Mruguru biti Mussa Ngomangando,
kabila Mndengereko, ambae ndiye mama yao Abdul, Ally na Abbas.

Hilo hapo chini ni kaburi la Bi. Mruguru biti Mussa:

WGd8k4DCHmYIxtlb_zc0pyFBWrDWgOjGtTltV_EL_fYX7YS1qIK8I8KLNt7c70yFAvYUmpv5G7xRa9zZwZX5Hd6ufkQgZt8ibCIFXItrPKIWCWWVS6rZWoEvbuhxFZojCFK5Bx9dEKZk6MZnOZTPeGdMA__9Kmeeose3vfKa0y6bkg-giERH7bmm1GfWoI0oBgyund3gbo0o2f6vder0eqhWq04kp3wm-ZpdfYhMwvGXE6q6eRPHdlsopenq_xTg4z_448evJOAF2MIGJMXlbPnTenuLAaaMaEsTcYw40aBFA58zRaYeD9QzeXucsRhCveZmyr2abgChzsXMQ56uEcscy84gU-UkQd8xu-qYz4bVvJafLUH-wxd_6x-hNmCtxSYsRHHlCZdSN16UzMbVZJp9YnBkhBDyl4JRLUIEWiAxW4SVH_1tD55k0AYcvEb1n4BMvAhSAoC4Yfsl5JX2zXEOW6wqXOoFEVMoWaICIMaIp7QJTYW_GNqTnlTC-bs1iiI14S-ghNHVpha7jlYe6xJaWMiUwGTiXTrBpGxP9UAVuCGu_UdMExPiy_ZisS4Q95PfBSvrdGUUvB-Pg3qGL4Ykwz56rZTBzOvIwpb3EtS7NgpRGw=w876-h657-no

Kwa lugha nyepesi ni kuwa akina Mkwawa na Sykes ni ndugu wa damu
ingawa hapo mwanzo Wazulu mamluki walipokuja Tanganyika walikuwa
maadui wa Wahehe.

Kaburi la Kleist Sykes hilo hapo chini:

wRxszgLDnxOqlvQIOjxTEyOhw2iNOs2m8apxoWxSkad87npIL01xQI5h9iali8aoTxXSU-VizHAJjS5T8WnHOrBx2uvhhOucmvHbpdO2CBAXJy9D7wylU5JamC_UrpoC2fdiTdcLieip9B1COOVRdYa9feGW6u2-tsHDe9lzu5-tYnWqRyIQ-QjOVwtLudWiROj-PfIBifEhQyNq5fch9jC3nTunaDbVXwVzCYdeG4uOQBtAmAr0yF6NXJqh2pnBwXwDBFD1LSwvPUmK8uJF6UQcLDmTSKVsfoNfL1e3h2ALG-ZVWT51TDhRopkM7yqsqRdZen1J7J_Bg2PwmOb13vDKkugOUzEnwPnqhIcrdK5vMxP3rtxR8e7tWb4gvr6O_X01aK9hEg8zfUjO17K7wLvzXxDK6ZJrWeeEc6LL7e5uPNFnhR6jVcFGEaeVoF_E1z8JlO0w2uoOz2QTGrXRS-EVN9rEm4w6HtpyXDcRImeLhlq6Vr7n1C16QDMavaBSTxCTOiIcotWqz8ydu-Mat2KYYRNcWMC0zqmxbP6YZYq88VXVN9V-pOKTCceftk8JySalsaeHaInThSYma4rTvgswdqIbotd5qqcuJs0c4oTw75i7Ew=w876-h657-no

Hii ndiyo sababu fuvu la Mkwawa liliporejeshwa Tanganyika mwaka wa 1955,
Chief Adam Sapi Mkwawa alimualika Abdul Sykes na Dossa Aziz katika
sherehe ile iliyofanyika Kalenga.

''Mwaka 1954 fuvu la Mkwawa liliporudishwa Kalenga Adam Sapi Mkwawa mjukuu wa Mtwa Mkwawa aliwaalika Abdulwahid Sykes mjukuu wa Sykes Mbuwane, adui wa babu yake na Dossa Aziz kuja katika sherehe ya kupokea fuvu lile. Ilikuwa pale Kalenga ndipo Abdulwahid alipomuingiza Adam Sapi katika TANU kwa siri na kumfanya awe mmoja wa machifu wa mwanzo kabisa kuiunga mkono TANU. Wakati Chifu Adam Sapi anajiunga na TANU chama kilikuwa hakijamaliza hata mwezi moja katika uhai wake. Tutazieleza habari za Abdulwahid Sykes na ushawishi mkubwa aliokuwa nao katika TAA na baadae TANUna katika wanasiasa wa wakati ule pamoja na machifu tutakapofika kusanifu makazi yake pale Stanley Street kona na Sikukuu Street. (Baada ya uhuru mtaa huu ulikuja ulibadilishwa jina na kuitwa Aggrey) Ila ieleweke tu kuwa kwa wakati ule wa siku za mwanzo za harakati kuanzia enzi za TAA baadhi ya machifu hawakuitazama TAA na baadae TANU kwa jicho zuri sana. Hofu kuu na ndiyo hofu aliyokuwanayo mshirika wao Muingereza katika ule mfumo “indirect rule” wa Lord Lugard ni kuwa TANU imekuja kuwanyang’anya madaraka yao.''
(Kutoka: ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968...'')
Wanamajlis,
Mnasemaji kuhusu maajabu haya ya historia ya Tanganyika?
Wapi wanahistoria waonyeshe kidole cha lawama?
 
Achen utan bana. Tangu lin wapigania uhuru wakavaa msuli unacheza na kupigania uhuru Sio. Hawa walikuwa wanywa kahawa wa kijiwen.
Acha kashfa kwa taarìfa yako kama sio hawa wazee mnayemuita baba wa taifa msingemsikia
Sote tunaamini hivyo, hata Nyerere hakuwa Mzee wa Dar alikuja tu na kukuta harakati za kisiasa zipo na zinaendelea.

Unaweza ukatupa historia za wanaharakati wa nje ya Dar. Tutafurahi sana.

Sisi wa Dar tumejaaliwa na AlhamduliLlah tunae Mohamed Said aliyejaaliwa kutuandikia kuhusu wazee wetu wa Dar na kugusia harakati zao zilizowatoa nje ya Dar na hata nje ya Tanganyika.

Tutafurahi sana tukipata historia ya nje ya hapo. Na itakuwa ni rejea safi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mazingira ya kisiasa ambayo viongozi wa mkoa mkubwa na maarufu kama Dar unaoongozwa na Checkbob aliyedaiwa kufoji vyeti na aliyekosa heshima kwa wazee wake, tusitegemee chochote cha maana katika kuwaenzi hao wazee wetu kama kuwapa majina ya mitaa ambayo waliishi, kuiendeleza na kuipa umaarufu.
 
Hii nchi haijawah kuwa na wapigania uhuru zaid ya akina mkwawa Mzee. Hawa ni Watu tu walikuwa wanataman kujitawala wakiwa kijiwen wakashindwa namna nzur ya kuiwasilisha hoja yao wakawashirikisha mawazo yao akina Nyerere na Nyerere kwa usomi wake akaenda UN kuwasilisha hilo wazo akakubaliwa ukafanyika uchaguz Tanganyika ikapewa utawala wao. Lakin Hakuna aliyepigania hii nchi walipewa waingereza kuiongoza mpaka hapo wenyeji watakapoweza kujitawala so hii kutuletea story cjui nimeenda vyuo gan cjui nan alitoa nini Mbona za kawaida Sana hujaona hata Nyerere baada ya kushika madaraka hakuwapa madaraka hao wavaa vikoi maana hawakuwa na wazo jipya zaid ya yale ya kwenye kahawa. Unawapaje utawala
Unaongea maneno yanayoonekana makali na ya kejeli ila kwa kiasi kikubwa nakuunga mkono hoja yako.Napata tabu na maana ya "kupigania uhuru". Maana tunasoma kwamba Nyerere alienda umoja wa mataifa kuomba tupate uhuru.Huko kupigania uhuru kulikuaje?
Msaada:Naomba nifafanuliwe hoja ya kupigania uhuru maana sijawahi kuielewa nikifananisha na nchi nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mara huwa natokwa na machozi kila nikiona jinsi nyumba zinavyobomolewa ovyo pale Dar bila waathirika kulipwa chochote na wakiachwa bila chochote, wakati viwanja na baadhi ya nyumba hizo walizimiliki au kuzirithi toka kipindi cha kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kilio cha hao wazee ni laana mbaya kwa taifa letu. Tutavuna tulichokipanda tu.
 
Kitali,
Naona una ghadhabu na unaandika kwa kejeli.

Umewataja Wajerumani.

Wazee wetu wamenyanyua silaha dhidi ya Wajerumani katika Vita Vya Maji Maji.

Unaijua historia ya mmoja wa majemadari wa Maji Maji, Sultani Abdulrauf Songea Mbano?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio alikua anatoa mfano kwamba hakukua na kupigania uhuru kutoka kwa Muingereza.
Kwake yeye mapambano ya wakati wa Mjerumani ndio yalifaa kuitwa "kupigania uhuru".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zanguni pamoja na Kitali,
Historia ina maajabu mengi na mtu ufanyapo utafiti unakutana na
mengi ya kustaajabisha.

Hebu angalieni historia hii ya Wajerumani, Waingereza na wazalendo
wa Tanganyika:

KUTOKA JF: MAAJABU YA HISTORIA: BI. MISKI SIMLELEO SHANGAZI YA CHIEF ADAM SAPI MKWAWA BIBI YAKE ABDUL SYKES
Mohamed Said September 09, 2016 0

Kwa hiyo unaona hiyo ni sifa kuwa na uhusiano na huyo mchotara na muuwaji Tipp Tip? Mimi ningekuwa raisi wa JMTZ watu kama ninyi ningeweka ndani na kuwafilishi wote!

Barbarosa,
Wapi mimi nimesema kuwa naona sifa?
Hata hivyo mtu huwezi kukataa asili yako kwa ajili ya historia.

Historia ina mambo ya kushangaza sana.
Soma historia ya uhuru wa Tanganyika.

Sykes Mbuwane aliingia Tanganyika kama mamluki wa Wajerumani
kuja kupigana na Chifu Mkwawa, Kalenga na Abushiri bin Salim,
Pangani.

Mtoto wa Sykes Mbuwane, Kleist Sykes akajakuwa mzalendo na
Mtanganyika aliyewasha moto wa kupambana na ukoloni 1929.

Watoto wa Kleist Sykes, Abdulwahid, Ally na Abbas wakaja kuasisi
TANU 1954.

Lakini ukiangalia nyuma asili ya hawa wote chanzo chao ni askari mamluki
aliyeingia Tanganyika mwisho wa 1800 wakiongozwa na Herman von
Wissman
amebeba bunduki kuja kupigana na wananchi wa Tanganyika ili
nchi hii itawaliwe na Wajerumani.

Angalia sasa ajabu ya historia.

Sykes Mbuwane alikuwa askari mamluki wa Wajerumani akapigana na
Chifu Mkwawa na Abushiri bin Salim wazalendo wa Tanganyika.

2015%2B-%2B1

Kushoto: Kleist Sykes, na kitinda mimba Abbas
Waliosimama kushoto ni Ally na Abdulwahid akiwa katika uniform ya KAR
Picha ilipigwa 1942 Abdulwahid alipokujaaga kutoka Kenya kabla ya kwenda
Burma Vita Vya Pili Vya Dunia (1938 - 1945).

Kleist Sykes akapigana WW1 upande wa Wajerumani dhidi ya Waingereza
(1914-1918).

Watoto wake Abdul na Ally wakapigana WWII na Waingereza dhidi ya
Wajerumani (1938-1945).

P8ulTbqg7YE8IU8HBpx1xwW8E3i2caVMxHiO4zDE_2Dk9GvhIJsGoun8ImbAL-wCrdEQ9zMRGtnc8QiHg_qW_V9Gh1W6WsHC9_r5xS10Ca5SrtYHSEefEwD74Mbzv2kNSSc8ONtqkH8Pt758_TrcS0EZezfm-PtWktbfc0VTSHwJrLW83h1c-Dnn7Vr3AT2n7twLwGx3wcGjINYDdkbUq3sd4_DEkFKrwx1hTnltApnBOUpk3DswD2nfU5bJWz1HyxOmTUT9k2h4gtWGB5MJq2zSx7jY-BsJF3kc5seDQXLcze06lr8XqWQpJ0qHFkCipHLYuN4tweO-Bxr0wPjGNEnAm8GhEvkVmq0cilWiCDCT7DOWoO2iigJ8mDs4LuyaH2y3BR-T4yK5hbN4Ejhp1WcZyHHUK-zDEWt59tN1IbkTrfuziAd8XhYlx9XadFyHHvzXs1D5NG0VHsY6m7IrCOsYVs6EyUmE-eGlfq0iFVHtEVCkPB_i5iHL1NhxssKAZqWrrRPp7arRz2lOk3C5ADMwWIcdepJTWOi93FqF7YiuiYXy02JF-ktmnfEH46wXcgFE-mFbySAgnypyt5--k4CDp2HoEd59xSC1SQulJ1Ib9axF9g=w480-h360-no

Abdulwaid na Ally Sykes wakiwa 6th Battalion Burma Infantry
King's African Rifles (KAR) Vita Vya Pili Vya Dunia (1938 - 1945)

Hapo chini ni kaburi la Bi Miski Simleleo:

gIjW1tWD5qsArAxvu7v_tKR2abOg_-ckhJDnPqgZ474Re4TLoZZEsR2toREK3D8rM3ckjTEwvcK7yD0NYoDn27ht4csbBBKAFgXmR0qCdZ-7Xpj24yHB5hlCT55ghqxaeRsIY_qg74I2sBjiP1haenr2CCP8aVAN1MzStCIwl9eWxxvmwY70OWXKX5ogXfIkQfqGCL4IvoF_b7DmvElXJpdBJy5P1GEWIgVQF1Cga5-by-bk2-eDmqmmuqMgMyFv-NZDeDlQ9dMLcUR8e2FGVMDC9y-uXmTK0t8M0G6UKgsfHKdS9WE-WQwVZEKXj4gA0N3um0tT6s_zVrbPE62-SIvutPSIqiZLOHs_DvhdyUJ1WzJhGzF0cSn1JcNTbYC8PGfa3OzTBI_M-YBC1qipBwW931ucWnKKiPrCxF3iPOHc1skMGHb7nNAbsc_r_13ze4lpyiYOk8k1pm-mzum4cskuj8L_NVghUW4KJTOBRK58Ohch9uR8pKutC718v-NpnA-qvrS2bVBfQtSnmt-rExx0TGP68xbnV6Z-ddohh6Z0s6G1yidgnzyvCegHE1gGbPTP8GXw0Sskql8tfc3kcKtBKV9TW9lFkoMYlIOrZn7PHzF7Jg=w876-h657-no

Bi. Miski ni shangazi yake Chief Adam Sapi Mkwawa.

Maana yake ni kuwa Bi. Miski ni mjukuu wa Chief Mkwawa.

Huyu Bi. Miski ndiyo mama yake Bi. Mruguru biti Mussa Ngomangando,
kabila Mndengereko, ambae ndiye mama yao Abdul, Ally na Abbas.

Hilo hapo chini ni kaburi la Bi. Mruguru biti Mussa:

WGd8k4DCHmYIxtlb_zc0pyFBWrDWgOjGtTltV_EL_fYX7YS1qIK8I8KLNt7c70yFAvYUmpv5G7xRa9zZwZX5Hd6ufkQgZt8ibCIFXItrPKIWCWWVS6rZWoEvbuhxFZojCFK5Bx9dEKZk6MZnOZTPeGdMA__9Kmeeose3vfKa0y6bkg-giERH7bmm1GfWoI0oBgyund3gbo0o2f6vder0eqhWq04kp3wm-ZpdfYhMwvGXE6q6eRPHdlsopenq_xTg4z_448evJOAF2MIGJMXlbPnTenuLAaaMaEsTcYw40aBFA58zRaYeD9QzeXucsRhCveZmyr2abgChzsXMQ56uEcscy84gU-UkQd8xu-qYz4bVvJafLUH-wxd_6x-hNmCtxSYsRHHlCZdSN16UzMbVZJp9YnBkhBDyl4JRLUIEWiAxW4SVH_1tD55k0AYcvEb1n4BMvAhSAoC4Yfsl5JX2zXEOW6wqXOoFEVMoWaICIMaIp7QJTYW_GNqTnlTC-bs1iiI14S-ghNHVpha7jlYe6xJaWMiUwGTiXTrBpGxP9UAVuCGu_UdMExPiy_ZisS4Q95PfBSvrdGUUvB-Pg3qGL4Ykwz56rZTBzOvIwpb3EtS7NgpRGw=w876-h657-no

Kwa lugha nyepesi ni kuwa akina Mkwawa na Sykes ni ndugu wa damu
ingawa hapo mwanzo Wazulu mamluki walipokuja Tanganyika walikuwa
maadui wa Wahehe.

Kaburi la Kleist Sykes hilo hapo chini:

wRxszgLDnxOqlvQIOjxTEyOhw2iNOs2m8apxoWxSkad87npIL01xQI5h9iali8aoTxXSU-VizHAJjS5T8WnHOrBx2uvhhOucmvHbpdO2CBAXJy9D7wylU5JamC_UrpoC2fdiTdcLieip9B1COOVRdYa9feGW6u2-tsHDe9lzu5-tYnWqRyIQ-QjOVwtLudWiROj-PfIBifEhQyNq5fch9jC3nTunaDbVXwVzCYdeG4uOQBtAmAr0yF6NXJqh2pnBwXwDBFD1LSwvPUmK8uJF6UQcLDmTSKVsfoNfL1e3h2ALG-ZVWT51TDhRopkM7yqsqRdZen1J7J_Bg2PwmOb13vDKkugOUzEnwPnqhIcrdK5vMxP3rtxR8e7tWb4gvr6O_X01aK9hEg8zfUjO17K7wLvzXxDK6ZJrWeeEc6LL7e5uPNFnhR6jVcFGEaeVoF_E1z8JlO0w2uoOz2QTGrXRS-EVN9rEm4w6HtpyXDcRImeLhlq6Vr7n1C16QDMavaBSTxCTOiIcotWqz8ydu-Mat2KYYRNcWMC0zqmxbP6YZYq88VXVN9V-pOKTCceftk8JySalsaeHaInThSYma4rTvgswdqIbotd5qqcuJs0c4oTw75i7Ew=w876-h657-no

Hii ndiyo sababu fuvu la Mkwawa liliporejeshwa Tanganyika mwaka wa 1955,
Chief Adam Sapi Mkwawa alimualika Abdul Sykes na Dossa Aziz katika
sherehe ile iliyofanyika Kalenga.

''Mwaka 1954 fuvu la Mkwawa liliporudishwa Kalenga Adam Sapi Mkwawa mjukuu wa Mtwa Mkwawa aliwaalika Abdulwahid Sykes mjukuu wa Sykes Mbuwane, adui wa babu yake na Dossa Aziz kuja katika sherehe ya kupokea fuvu lile. Ilikuwa pale Kalenga ndipo Abdulwahid alipomuingiza Adam Sapi katika TANU kwa siri na kumfanya awe mmoja wa machifu wa mwanzo kabisa kuiunga mkono TANU. Wakati Chifu Adam Sapi anajiunga na TANU chama kilikuwa hakijamaliza hata mwezi moja katika uhai wake. Tutazieleza habari za Abdulwahid Sykes na ushawishi mkubwa aliokuwa nao katika TAA na baadae TANUna katika wanasiasa wa wakati ule pamoja na machifu tutakapofika kusanifu makazi yake pale Stanley Street kona na Sikukuu Street. (Baada ya uhuru mtaa huu ulikuja ulibadilishwa jina na kuitwa Aggrey) Ila ieleweke tu kuwa kwa wakati ule wa siku za mwanzo za harakati kuanzia enzi za TAA baadhi ya machifu hawakuitazama TAA na baadae TANU kwa jicho zuri sana. Hofu kuu na ndiyo hofu aliyokuwanayo mshirika wao Muingereza katika ule mfumo “indirect rule” wa Lord Lugard ni kuwa TANU imekuja kuwanyang’anya madaraka yao.''
(Kutoka: ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968...'')
Wanamajlis,
Mnasemaji kuhusu maajabu haya ya historia ya Tanganyika?
Wapi wanahistoria waonyeshe kidole cha lawama?
Subhanallah, kweli maajabu ya aina yake, Allah akujaze kheri duniani na akhera kwa kutujuza yaliyofichwa.

sent from kimeo cha kuazima
 
Unaongea maneno yanayoonekana makali na ya kejeli ila kwa kiasi kikubwa nakuunga mkono hoja yako.Napata tabu na maana ya "kupigania uhuru". Maana tunasoma kwamba Nyerere alienda umoja wa mataifa kuomba tupate uhuru.Huko kupigania uhuru kulikuaje?
Msaada:Naomba nifafanuliwe hoja ya kupigania uhuru maana sijawahi kuielewa nikifananisha na nchi nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Broda hii nchi waliopigania uhuru ni wale watemi enzi za utawala wa ujeruman. Hawa wazee ambao alikuja kuwakuta Nyerere wakiwa na chama cha starehe walikuwa na aidia ya kujitawala sema wengi wao ni walikuwa weupe kichwan Wakaamua wawashirikishe wasomi mawazo yao sasa kiichotokea wasomi wakaenda kudai uhuru wa kujitawala maana nchi ilikuwa imedhaminiwa na umoja wa mataifa by then wakapewa uingereza kuitawala mpaka hapo wenyeji watakapoweza kujitawala. Sasa hapo hakukuwa na purukushan yoyote Eti Kati ya mtawala na mtawaliwa wote walikubaliana wakapeana utaratibu wa kukabidhiana utawala. Ukimsikiliza Huyu Mzee ni wale watoto wa waliokuwa kwenye kile chama cha starehe amerithishwa ngano za kale kwasababu walitegemea kula bata bata baada ya kujitawala sasa Nyerere akawachomolea.ni vizee flan vya kushinda vijiwen kulaumu tu na vimejipanga kuwarithisha watoto huu umbea Sio future. Ukimfuatilia Huyu utakuta anavinyumba viwili hapo kkoo vya urithi so kutokana na spidi ya mabadiliko amebaki kuwaadithia wenye mawazo kama yake Kuhusu mitaa hiyo hapo kale ilivyokuwa ni wazee flan waliopitwa na fursa so wanatafuta visingizio vya kuwapa watoto wao wakat huu
 
Acha kashfa kwa taarìfa yako kama sio hawa wazee mnayemuita baba wa taifa msingemsikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu Kama hicho Nyerere tayar akiwa Uganda walishaunda chama Ndio hawa wazee wakawambia tayar kipo chama njoon mje kukiendeleza so usiishi kwa kusikiliza story za upande mmoja tu utapotea njia. Narudia kuwaambia uhuru huwez kuudai kwa kuvaa kikoi wewe
.
 
Hakuna kitu Kama hicho Nyerere tayar akiwa Uganda Rufiki walishaunda chama Ndio hawa wazee wakawambia tayar kipo chama njoon mje kukiendeleza so usiishi kwa kusikiliza story za upande mmoja tu utapotea njia. Narudia kuwaambia uhuru huwez kuudai kwa kuvaa kikoi wewe
.
Kitali,
Tafadhali toa hoja bila kutukana na kejeli.

Hatari ya matusi ni kuwa tutawakaribisha katika mjadala huu mabingwa
wa kutukana na mjadala utavurugika.

Mzee Said Chamwenyewe na mfano kama wake wakivaa kanzu na
kikoi na ndiyo waliojenga TANU na kuingiza wanachama wa mwanzo
kutoka Rufiji 1954 baada ya Msajili wa Vyama kukataa kuisajili kwa
kukosa wanachama.

Hiyo historia ya Uganda si sawa.

Soma kitabu cha Judith Listowel, ''The Making of Tanganyika,'' utajifunza
mengi.

WG4h7tQPP0hM5JvmrwXId3a6nnsr9HUvh0Zyjt6U0a34Le1Yrz2qh7sh_owwg7h5t3o1vKXFU7LJa65Okri7FZZgZxL9Ic2OplHYor5knOS6ZlmRR-l3tmElLiONVBnEOtote0Zidjd_YaOqZSTIaiy75aqmL8u_cLzyKxPek0OIUElK2yBlWVDlsHiCCzLjmLmDwIoibRARplAMUKHGD1bSLaXg4RAuemjXDePsktqezTQp7X7KEbl8NvwQmzzyAx7HfUIqMF-iZ7VCI9VaSlxJ3evjXf7ucUVT7nWcLpQr4hXy4mpZwvXsvOSl5ew_7gLRCA1eF8MkHzbdr4nXdNKzsRXamSH1iIiB3K1VgBv2gPpNRY5VVUx0vxcw_SwDDP7W_8NPEygwQNRHYQts-4BjMGQwLnARRdmwXEer-cL_XBSt-Wh0Seh3nt0xBYIUDQ6Ap20nV8e2Xqi73q1ILUUE2lW_mHHHYuvJkITHWwvoKYygcjZYmWkglEsEE1woXMXu0nJ-H-ZyhDAh4Svo_xf8oz2b6s3dRxt7JZYo4WXhAJMagML3-UznzYnGn_8cwwcmDbRmgJI6SKdiECL-T0roIRGc_jfV4XF5cXbvI74=w423-h629-no

Uongozi wa TAA kuanzia 1950 ulikuwa na vijana hawa wazeee
unaowazungumza wewe walikuwa wawili tu - Mufti Sheikh Hassan
bin Amir
na Sheikh Said Chaurembo.

Waliobakia Abdul Sykes, Dr. Vedasto Kyaruzi, Hamza Mwapachu,
Stephen Mhando, Dossa Aziz,
hawa walikuwa vijana.

Hawa ndiyo walikuwa wajumbe wa TAA Political Subcommittee kamati
iliyokuja kuunda TANU 1954.

Katika hawa hakuna yeyote aliyekuwa na mawasiliano na Nyerere akiwa
Uganda.

LIWALI%2BAHMED%2BSALEH.jpg

Kulia ni Sheikh Said Chaurembo
 
Kitulo,
Kuna mambo nyuma yake.

Labda niseme jambo.

Vipi watu hawa wampe mtaa Yusuf Makamba Gerezani wamuache Dossa Aziz na Abdul Sykes?

Kuna mtu aliwaamrisha kufanya hivyo au walipitiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wazee hawajulikani popote ktk historia rasmi ya Tanzania pengine ndio maana hawa viongozi vijana wa sasa hawana khabari nao. Hawa wazee imekuwa ni kama mfano wa kobe hata acheze kiasi gani kuna gamba ambalo linazuia asionekane. Hilo gamba ndio linawaogopesha waliojuu kuiandika historia ya nchi hii. Hawataki wajulikane wanyonyaji walikuwa nani na wapambanaji walikuwa nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom