Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati wenye nia ovu kwa Tanzania baina ya Amsterdam, TL na baadhi ya taasisi za kimataifa za kuvuruga uchaguzi Mkuu wa 2020. Amsterdam aliwahi kufanya hivyo katika nchi za Togo (2010), Guinea (2010) na Taiwan (2018). Mwaka 2016 kituo cha habari cha Aljazeera kilitoa taarifa ya kuichunguzi kuhusu vurugu zilizochochewa na Amsterdam katika nchi hizo kwenye taarifa iliyopewa kichwa cha habari "the election parasite web" ambayo ilipigwa marufuku siku chache baada ya kuwekwa hadharani.

WIW imeenda mbali kwa kuandika kwamba kupigwa risasi TL ni mpango uliosukwa mwaka 2017 na yeye mwenyewe akishiriki. WIW inasema inao ushahidi wa TL kukutana na taasisi za Ulaya nchini Tanzania mwezi March 2017 na kupanga njama dhidi ya serikali ya JMT. WIW wanamuhakikishia rasi wa JMT kwamba yataibuka makubwa zaidi kuhusiana na njama hizo siku za karibuni.View attachment 1547416


hiyo barua ni FAKE angalia website yao inajishugulisha na kitu kingine kabisa

1598342870616.png
 
Maskini ndio Lumumba mmeishiwa mbinu kiasi hiki cha kuja na maigizo na sanaa za maonyesho za kila aina yaani vipenyo ndio mnakuja na mbinu hizi za kishamba kweli
IMG_20200825_013855.jpg
IMG_20200825_014332.jpg
 
Nimegoogle huyo tunae ambiwa kaandika barua simpati, nimegoogle hiyo WIW nayo siipati: Mawili sijui kutumia hii technology au more likely tunalishwa matango pori-washenzi kazini.
Yaani unataka tuamini risasi 30 kajifanyiza ili apate huruma? Ushindwe na ulegee.
 
Mungu anaipenda Tanzania! ya gizani yatawekwa wazi mchana kweupe.....
 
Alipoandika barua Amsterdam uliuliza source? Unajitekenya na kujichekesha mwenyewe.

Kuna barua ukisoma unaona kabisa kuna intellectual level involved kwamba imetoka kwa msomi anayekijua nini anakifanya sasa hii takataka ya “do this happy no west”😂😂😂 ni masikitiko kuona barua inatoka norway na kingereza cha “Elomenopikiu”
 
Na mtapata taabu sana mwaka huu, baada ya mpango wenu wa kumpeleka Kisutu kushindikana, mmekuja na njia mbadala.
 
Back
Top Bottom