Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo



hiyo barua ni FAKE angalia website yao inajishugulisha na kitu kingine kabisa

 
Maskini ndio Lumumba mmeishiwa mbinu kiasi hiki cha kuja na maigizo na sanaa za maonyesho za kila aina yaani vipenyo ndio mnakuja na mbinu hizi za kishamba kweli
 
Nimegoogle huyo tunae ambiwa kaandika barua simpati, nimegoogle hiyo WIW nayo siipati: Mawili sijui kutumia hii technology au more likely tunalishwa matango pori-washenzi kazini.
Yaani unataka tuamini risasi 30 kajifanyiza ili apate huruma? Ushindwe na ulegee.
 
Mungu anaipenda Tanzania! ya gizani yatawekwa wazi mchana kweupe.....
 
Alipoandika barua Amsterdam uliuliza source? Unajitekenya na kujichekesha mwenyewe.

Kuna barua ukisoma unaona kabisa kuna intellectual level involved kwamba imetoka kwa msomi anayekijua nini anakifanya sasa hii takataka ya “do this happy no west”😂😂😂 ni masikitiko kuona barua inatoka norway na kingereza cha “Elomenopikiu”
 
Na mtapata taabu sana mwaka huu, baada ya mpango wenu wa kumpeleka Kisutu kushindikana, mmekuja na njia mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…