Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

Jee barua za Robert Nairobi ndio zimeandikwa na intellectuals?
 
Ku google huo utopolo ni kuonyesha una chembembe za kuuamini! Ukiitazama tu hiyo barua kama ni mzoefu wa haya mambo unabaini haraka kuwa ni ya kubumba na hutapoteza tena muda wa kuhangaika nayo!
Ni kuwa makini tu na si vingine.
 
Your efforts do not make the west happy[emoji23][emoji23].
Bangi za rejareja hizi
 
Letterhead gani ambayo haina hata address! Barua muindikie Lumumba halafu mseme imetoka Norway!
 
Kuna mtu anaweza kupanga kupigwa risasi 30+? Kwa mkataba upi aliyonayo yeye na mungu?
Kwa hio lissu anamamlaka ya kuwaondoa polis kwenye lile eneo wanapoishi naibu speaker na mawaziri aisee mataga lazima yatage
 
Narudia kwa kusema, TL hakuna mgombea pale, yule ni 100% kibaraka. IWatu wengi hawajui Tanzania ni nchi pendwa sana Mungu, atatuvusha tena katika kipindi hiki.
 
Ndugu mjenga barua hiyo imeandikwa na mtu aliyeishia form 4 au 6 na wajinga tu ndio wanaweza kuikubali hata kutokana na kiingereza chake kibovu kabisa. CCM inabidi mwende shule mkasome zaidi bado mpo nyuma sana.
 
Of course inajulikana Lissu anamtumikia nani.
Siyo siri, watanzania wengi wanajua, acha serikali. Fuatilia alliance ya viongozi wa dini na maneno yao.

Ujumbe wao unaonekana.
 
Eti Tundu Lisu alikaa kikao kupanga namna watskavyompiga risasi 🤣🤣🤣
Wanalumumba mnakwama wapi?
 
Mbona mnahangaika sana? sasa hapo ndio siri gani mmegundua?
Mbona hii barua ipo hata ktk maeneo mengi 🤣
 
Hamnazo kabisaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…