FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sasa kama miradi mikubwa yenye thamani kubwa imefanyika kwa wingi wilaya nyingine nje ya Chato, wao Chato walifanya kosa gani hasa hadi utamani wanyimwe hiyo miradi, ukizingatia Rais alitoka hapo?Iliyoendelea ipo kibao tuu ila haiwezi kuwa ya kiupendeleo kama swali.
View: https://www.instagram.com/p/DBg2oFCt32R/?igsh=ZmNyeTVleTdvYnN6
View: https://www.instagram.com/p/DA28wZMuQi8/?igsh=MTRwdzRyamt0ZG03eQ==
Wapewe kulingana na uwiano unatakiwa sio kunyimwa au kupendelewa.Sasa kama miradi mikubwa yenye thamani kubwa imefanyika kwa wingi wilaya nyingine nje ya Chato, wao Chato walifanya kosa gani hasa hadi utamani wanyimwe hiyo miradi, ukizingatia Rais alitoka hapo?
Bado ni Tanzania πΉπΏ tu !Kwa Sasa awamu ya sita Kila kitu linajengwa kizimkazi Kwa kuwa ni nyumbani Kwa samia
Yule aliharibu nchi acha awe reference ya viongozi wa hovyoKupambana na marehemu ni aina nyengine ya ukichaa
Hiyo ya afrika kusini kuhusu mkapa kujenga jumba kubwa ilikuwa ni uongo tu.hata Mimi niliisikia lakini nikafuatilia hakikuwa na ukweli wowote zaidi ya kuzusha uzushi tu.kikwete alikuwa mzushi sana.alitulisha propaganda sana.Bado ni Tanzania πΉπΏ tu !
Wengine walijenga Hoteli ya nyota Tano huko Africa ya kusini kisha akamkaribisha Marehemu Mzee Mandela akaifungue hiyo Hoteli !
Mzee Mandela akamuuliza mmiliki je angekuwepo Mwalimu Nyerere ungemwita aje kuifungua hiyo Hoteli yako ???!!
Chato ni Tanzania na Kizimkazi pia ni Tanzania πΉπΏ !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!!!
Kizimkazi ya wapi?Bado ni Tanzania πΉπΏ tu !
Wengine walijenga Hoteli ya nyota Tano huko Africa ya kusini kisha akamkaribisha Marehemu Mzee Mandela akaifungue hiyo Hoteli !
Mzee Mandela akamuuliza mmiliki je angekuwepo Mwalimu Nyerere ungemwita aje kuifungua hiyo Hoteli yako ???!!
Chato ni Tanzania na Kizimkazi pia ni Tanzania πΉπΏ !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!!!
Mvomero ipi unayoiongelea ? ni heri kijana kutoka milima ya usambara angefanikisha mapinduzi baridi kuliko kutawaliwa na vilaza waliojaza chawa kuwaumbiia sifa hewa .Ukianza kupendelea kwenu Kwa visingizio vyovyote vile sio sawa kabisa.
Tukianza huo utaratibu tutafyekana na kugawana mbao Ili Kila mtu ashinde mechi zake.
Kanuni za mgawanyo zizingatiwe.
Mwisho ulienda lini huko Mvomero maana Mama amemwaga pesa ya Barabara huko TARURA mara 4 zaidi ya Mwendazake
Si umesema mwenye kwamba wilaya zingine nje ya Chato walipata miradi mikubwa zaidi? Au wilaya ambayo Rais anatoka haistahili hayo..? Unataka anapotoka Rais pasiwe pana akisi kwamba Rais katoka hapo? Hata wageni wa nje wakiona kwamba kama alipotoka Rais pako hovyo, je huko kwingine kutakuwaje?Wapewe kulingana na uwiano unatakiwa sio kunyimwa au kupendelewa.
Wilaya haipaswi kuwa na miradi ye ye hadhi ya Mkoa
Wapi nimesema? Unaelewa matumiza ya alama za Lugha?Si umesema mwenye kwamba wilaya zingine nje ya Chato walipata miradi mikubwa zaidi? Au wilaya ambayo Rais anatoka haistahili hayo..? Unataka anapotoka Rais pasiwe pana akisi kwamba Rais katoka hapo? Hata wageni wa nje wakiona kwamba kama alipotoka Rais pako hovyo, je huko kwingine kutakuwaje?
Hana huo uwezo ndio maana alishighulikiwa.Mvomero ipi unayoiongelea ? ni heri kijana kutoka milima ya usambara angefanikisha mapinduzi baridi kuliko kutawaliwa na vilaza waliojaza chawa kuwaumbiia sifa hewa .
Nilikuuliza na ukakiri, kukiri ndio kusema kwenyewe huko. Au umebadili mawazo?Wapi nimesema? Unaelewa matumiza ya alama za Lugha?
Onyesha nikikiri au kukubaliNilikuuliza na ukakiri, kukiri ndio kusema kwenyewe huko. Au umebadili mawazo?
πππMleta mada naona upo kazini kila la kheri ukiteuliwa utukumbuke wa isimikinyi huku
Onyesha nikikiri au kukubali
Wewe ni mjinga,kwani tunajadili nini hapa? Si hoja ya Chato? Hiyo umeweka ni attachment ya Chato na sio Wilaya nyingine.View attachment 3158420
Kumbe we jamaa una mtindio wa ubongo? Hiyo ni nini?
Kazini Kwa kufanyaje? Kwani mtu anateuliwa Kwa kuanzisha mada jf?Mleta mada naona upo kazini kila la kheri ukiteuliwa utukumbuke wa isimikinyi huku
Mama alisema anasomaga michango ya mitandao ya kijamii na huku nna imani atapitaKazini Kwa kufanyaje? Kwani mtu anateuliwa Kwa kuanzisha mada jf?
Sasa si ndio kazi iliyowaweka mjini.. bila uchawa huendi chooni.. sisi wapambanaji muda huu nachomewa paja la mbuzi hapa mnadani nishushie na saint anne.. sijageuzwa mtumwa wa kupambania watawala.Kazini Kwa kufanyaje? Kwani mtu anateuliwa Kwa kuanzisha mada jf?