Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

Sasa kama miradi mikubwa yenye thamani kubwa imefanyika kwa wingi wilaya nyingine nje ya Chato, wao Chato walifanya kosa gani hasa hadi utamani wanyimwe hiyo miradi, ukizingatia Rais alitoka hapo?
Wapewe kulingana na uwiano unatakiwa sio kunyimwa au kupendelewa.

Wilaya haipaswi kuwa na miradi ye ye hadhi ya Mkoa
 
Kwa Sasa awamu ya sita Kila kitu linajengwa kizimkazi Kwa kuwa ni nyumbani Kwa samia
Bado ni Tanzania 🇹🇿 tu !
Wengine walijenga Hoteli ya nyota Tano huko Africa ya kusini kisha akamkaribisha Marehemu Mzee Mandela akaifungue hiyo Hoteli !
Mzee Mandela akamuuliza mmiliki je angekuwepo Mwalimu Nyerere ungemwita aje kuifungua hiyo Hoteli yako ???!!

Chato ni Tanzania na Kizimkazi pia ni Tanzania 🇹🇿 !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!!!
 
Hiyo ya afrika kusini kuhusu mkapa kujenga jumba kubwa ilikuwa ni uongo tu.hata Mimi niliisikia lakini nikafuatilia hakikuwa na ukweli wowote zaidi ya kuzusha uzushi tu.kikwete alikuwa mzushi sana.alitulisha propaganda sana.
 
Vipi kumchawia bibi yenu kumewashinda mmeanza kupambana na mtu asiyeweza kujitetea.

Endeleeni na mradi wa fomu moja ya urais mwakani hayo ya Magu ni habari nyingine.
 
Bado ni Tanzania 🇹🇿 tu !
Wengine walijenga Hoteli ya nyota Tano huko Africa ya kusini kisha akamkaribisha Marehemu Mzee Mandela akaifungue hiyo Hoteli !
Mzee Mandela akamuuliza mmiliki je angekuwepo Mwalimu Nyerere ungemwita aje kuifungua hiyo Hoteli yako ???!!

Chato ni Tanzania na Kizimkazi pia ni Tanzania 🇹🇿 !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!!!
Kizimkazi ya wapi?
 
Ukianza kupendelea kwenu Kwa visingizio vyovyote vile sio sawa kabisa.

Tukianza huo utaratibu tutafyekana na kugawana mbao Ili Kila mtu ashinde mechi zake.

Kanuni za mgawanyo zizingatiwe.

Mwisho ulienda lini huko Mvomero maana Mama amemwaga pesa ya Barabara huko TARURA mara 4 zaidi ya Mwendazake
Mvomero ipi unayoiongelea ? ni heri kijana kutoka milima ya usambara angefanikisha mapinduzi baridi kuliko kutawaliwa na vilaza waliojaza chawa kuwaumbiia sifa hewa .
 
Wapewe kulingana na uwiano unatakiwa sio kunyimwa au kupendelewa.

Wilaya haipaswi kuwa na miradi ye ye hadhi ya Mkoa
Si umesema mwenye kwamba wilaya zingine nje ya Chato walipata miradi mikubwa zaidi? Au wilaya ambayo Rais anatoka haistahili hayo..? Unataka anapotoka Rais pasiwe pana akisi kwamba Rais katoka hapo? Hata wageni wa nje wakiona kwamba kama alipotoka Rais pako hovyo, je huko kwingine kutakuwaje?
 
Wapi nimesema? Unaelewa matumiza ya alama za Lugha?
 
Mvomero ipi unayoiongelea ? ni heri kijana kutoka milima ya usambara angefanikisha mapinduzi baridi kuliko kutawaliwa na vilaza waliojaza chawa kuwaumbiia sifa hewa .
Hana huo uwezo ndio maana alishighulikiwa.

Hayo mambo yanafanywa na wenye uwezo wa kutawala ambao unawaona Sasa,wewe dhaifu utaishia kulalamika kwenye korido,chumbani na chooni tuu👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DA9TcnhI4xz/?igsh=MTZlZDY3YjMwYmZqZw==

View: https://www.instagram.com/p/C_Z_FsioDmM/?igsh=MXUxMG5uaTJ6cXBsaA==
 
Onyesha nikikiri au kukubali
IMG_2598.jpeg

Kumbe we jamaa una mtindio wa ubongo? Hiyo ni nini?
 
Back
Top Bottom