Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

Una hoja ila unatakiwa ujifunze kujenga hoja
 
Unayo iran ya uchaguz mkuu 2015 ya ccm?
 
Sawa mkuu we ongelea hiyo mingine sisi watanzania tumeamua kuongelea aliyoifanya mwamba Magufuli
WaTanzania Gani sema sukuma gang...... WaTanzania wanajua kuwa Kila Rais ana miradi atafanya sababu ipo kwenye ilani sio muujiza au hisani Fulani kwamba anaweza mtu mmoja tu.
 
Msoga alitumia miaka mingapi na JPM kwa miaka mingapi.

Ukituliza akili utagundua JPM ni habari nyingine.
Gesi pamoja na Kinyerezi ndani ya miaka 3 ya mwisho wa JK. Same to upanuzi wa airport..... So issue sio muda hata Jk alitumia muda mfupi kukamilisha hayo.
 
Kelele zipi? Acheni ujinga mradi haukuwahi simama hata siku Moja ni nyie tu watu wa Sukuma gang ndio mlitaka afeli Ili mseme anauza majenereta. Mlivyoona mgao umeisha na bwawa limejazwa Maji ndio mmeanza Tena kelele mara ooh Mradi wa JPM.... Mara bila JPM wasingeweza.

Empty set
 
Tangia 74 likisubiri nini bwashekhe?
Ndio nakueleza kila kitu kilikuwepo mpka feasibility studies zilifanyika enzi hizo. So ukisema ni ubunifu mara sijui haikua kwenye mpango ni uongo
 
Nani alikuwa waziri na msimamizi makini ya hiyo miradi?,itoshe kusema wewe ni takataka
 
Nani alikuwa waziri na msimamizi makini ya hiyo miradi?,itoshe kusema wewe ni takataka
Kumbe hata JPM alipokua Rais hakujenga SGR sababu msimamizi hakua yeye Bali makame Mbarawa!! Logic yenu ya kijinga Sana.
 
Nani kama Hayati JPM?

Hakika utaendelea kuwatesa. JK analazimishwa awe kama JPM? Hakuna kitu kama hicho.
 
Naam,shida ni kwamba awamu ya tano serikali ilitumia nguvu nyingi kutangaza miradi yake. Shule za kata karibia kata zote nchini zilijengwa chini ya JK, chuo kikubwa East& Centra Africa ( UDOM), recruitment ya walimu na wataalam wa afya & ajira za uhakika kwa vijana n.k vilifanyika chini ya mzei wetu JK.
 
Wewe kama siyo Kikwete, Riziwan au kuwadi wake basi unajigonga kwao sijui ili iweje?
 
Hii ni sahihi shule za kata je ?
 
Hivi unajua hiyo gesi ya kikwete ndio unazalisha 60% ya umeme wote Tanzania? Lakini ingekua bwana Fulani duh tusingepumua. Punguzeni ujuaji Kila awamu imefanya miradi mingi tu tusimkuze sana mtu mmoja as if wengine hawakufanya lolote
Sawa mkuu
 
We m We mjinga Sana tafuta hotuba ya mama wakati anaapishwa kuwa raisi akisema miradi yote iliyo achwa na magufuli ataikamilisha na kuanzisha mipya. Na ndoo anachofanya saivi .
 
Nani kama Hayati JPM?

Hakika utaendelea kuwatesa. JK analazimishwa awe kama JPM? Hakuna kitu kama hicho.
Wala sio kulinganisha nimetoa mifano kwenye eneo la miundombinu kwamba miradi haikuanza na JPM na haitoisha na JPM so acheni propaganda.
 
Mgao umeisha, aisee wewe upo kazini hapa. Kuna maslahi yako. Mgao umepunguzwa makali.

By the way changia hoja bila kuita watu wajinga. Wewe unajua ili, sisi tunajua lile. Acha mambo ya kisenge
Nyie si mlidai mgao hautoisha sababu ya kuuza majenereta ilihali mliambiwa kina kimepungua, mvua zimenyesha mgao umeisha mmeachana na hiyo hoja.

Mkasema Bwawa la Nyerere halitoisha sababu mafisadi wanalihujumu. Haya bwawa limeisha mmeanza Tena ooh Bila JPM wasingemaliza mara ooh JPM ndio kajenga sio wao!! Sasa unajiuliza mnataka Nini? Akimaliza kelele asipomaliza kelele ilimradi tu JPM aonekane peke yake ndio anaweza as if engineering alisoma peke yake duniani.

Narudia Tena we ni mjinga na sio tusi maana IQ Yako ni ndogo so Kuna maarifa unapungukiwa.
 
Wewe kama siyo Kikwete, Riziwan au kuwadi wake basi unajigonga kwao sijui ili iweje?
Nimeweka tu rekodi sawa Wala sijawahi kuwa mshabiki wa kikwete Wala JPM maana wote wanatoka chama Cha mafisadi.
 
Wala sio kulinganisha nimetoa mifano kwenye eneo la miundombinu kwamba miradi haikuanza na JPM na haitoisha na JPM so acheni propaganda.
Kilichokufanya uandike ndo hicho kinachomfanya JPM aonekane bora sana kwenye miundo mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…