Wewe mwenyewe unauovu wako!Ukiwa Rais muovu lazima uzungumziwe tu, sasa ulitaka uzingumziwe mtu kama wewe?
Na ilikuwaje uovu wake haukukugusa wewe mwenyewe ukapotea? Sjui kwa nini walipotea wengine na isiwe kwako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe unauovu wako!Ukiwa Rais muovu lazima uzungumziwe tu, sasa ulitaka uzingumziwe mtu kama wewe?
Siku Lissu akipewa nchi, na yeye atasema vivyo hivyo.!Isipokuwa Magufuli alitaka kuaminisha Wajinga kwamba yeye ndiye alianzisha Tanzania na kila kitu kilichomo
Bule ndio nini?Unamatatizo ya ubongo si bule
Je ni uongo ama kweli JK alijenfa bomba la gesi?Kawadanganye wajinga. Mitambo ya Kinyerezi inapata gesi only 6% ya uwezo wake.
Umechukua tu sample ya Awamu ya nne kwa vile tu wewe ni timu Kikwete hauna tofauti na timu Magufuri ambao wanaamini kuwa bila Magufuri hakuna kitu chochote cha maana kinaweza kufanyika jambo ambalo ni hasara ya matumizi mabaya ya akili na muda.Habari za weekend wanajukwaa
Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.
1. Mradi wa Bomba la gesi ulicost matrilioni ya fedha na ulifanyika enzi za JK na Leo hii umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea Bomba lile la gesi.
2. Barabara za lami zilijengwa almost Kila mkoa Ili kuunganisha mikoa jirani; pamoja na madaraja ya kumwaga kama Malagarasi n.k. So kama ni miundombinu ya barabara kikwete aliwekeza sana.
3. Mfumo wa Barabara za mwendokasi uliasisiwa kipindi hiki na serikali ya JK Ilimwaga mabilioni kujenga mwendokasi na kuagiza mabasi husika.
4. Airport ya J.K Nyerere Airport ilipanuliwa awamu ya nne. Leo hii tuna Airport yenye Hadhi ya kimataifa jambo ambalo halikufanyika tokea uhuru!!
5. Uzalishaji umeme ulipanuliwa kwa kujenga kituo Cha kufua umeme wa gesi pale Kinyerezi. Hatua hii iliongeza capacity ya uzalishaji umeme kuliko awamu zote zilizopita!!
6. Kulifanyika mradi mkubwa wa kutoa Maji ziwa Victoria kuelekea mikoa ya Kanda ya kati. Mradi ule umefika mpaka mkoa wa Tabora na Sasa unaelekea Singida!! Hayo ni mabilioni na ubunifu wa hali ya juu licha ya kelele kutoka kwa mataifa kama Misri yaliyopinga kabisa kuguswa Maji ya ziwa Victoria.
Hii ni mifano tu ya haraka haraka kwenye eneo la miundombinu. Kwahiyo tuache hizi propaganda kwamba miradi ilianza awamu ya 5 na imeisha awamu ya 5 ni uzembe tu wa kufikiri. Hiyo miradi tajwa hapo juu ingefanyika awamu ya 5 nadhani kelele zingekua nyingi mnoo.
Ni vizuri tuheshimiane Kila awamu, alipoishia Nyerere, mkapa aliendeleza and so on hata Mama Samia anaendeleza anapoweza so tusijikweze kweze na kelele nyingi as if JPM alikua Alpha na Omega.
Naomba kuwasilisha
Safi sana umempa elimu ya kutosha,Asante mkuu.Safi sana, malizia hata Udom alijenga Kikwete pia, kabla ya Kikwete kulikuwa hakuna Tanzania kila kilianzia kwa Kikwete, umemponda Magufuli na kumsifu Kikwete hauna tofauti na mashabiki wa Magufuli na uko subjective zaidi lkn unasahau Kikwete alichukuwa nchi kutoka kwa Mzee Mkapa na Mzee Mkapa kwa Mzee Mwinyi na Mzee kutoka kwa Mwalimu Nyerere, lkn wewe umeanzia kwa Kikwete you are no diffrent uko hapa kuendekeza ligi za kitoto.
Next time jaribu kuwa objective badala ya kuwa subjective na emotional.
Sukuma gang asipotawala Msukuma mwenzio hata kama ni malaika hutamkubali.Werevu wanalazimisha kuwa wajinga zaidi pale wanapoambiwa JPM amejenga vituo vya afya nchi nzima, bwawa la JKNHP, SGR, flyover, barabara kubwa ya njia nane, meli kedekede, na mambo haya yako hadi makwao wanakoishi
Eti wanataka wawe vipofu na viziwi wasione wala kusikia alichofanya huyu mwamba!
Pumbavu sana mnaodhani ni wasomi na werevu halafu mnalazimisha kufunga masikikio na kuziba macho yenu kisa JPM kamwambia Mbowe alipe kodi blicanas akajidai eti yeye ni mpinzani atapiga kelele kwa mabeberu!
Acheni wehu basi nyinyi wasomi!
Mkifanya vema hata nyinyi tutawapongeza tuu!
Hapo ulipo huna lolote na ndiyo maana anazungumziwa JPM
Sifa hizi ni za kubumba.substandard unamaanisha nini. We hakuna unalojua kuhusu ujenzi. Kikwete miradi yake ni mingi ukianzia na huo wa UDOM kujenga chuo kikuu kikubwa kuliko vyote africa mashariki na kati. Mabarabara; Kuunganisha makao makuu ya mikoa karibu yote kwa lami, aliunganisha Dodoma na Iringa, Songea na Mtwara kupitia Tunduru, Nanyumbu na Masasi. Aliunganisha mikoa ya Arusha, Manyara, Singida na Dodoma. Aliunganisha Mbeya na Sumbawanga. Aliunganisha Sumbawanga na Katavi. Aliunganisha Shinyanga na Tabora kupitia Nzega. Aliunganisha Singida na Tabora kupitia Itigi na Uyui. Aliunganisha Mwanza, Geita na Kagera. Alijenga barabara ya lami kutokea Tinde(Shinyanga) kuipitia Kahama mpaka Karagwe mpakani mwa Nchi yetu na Rwanda.
Alijenga upya barabara kutoka Arusha-Makuyuni-Minjingu. Barabara za mipakani; Alijenga upya Barabara kutoka Arusha-Namanga. Alijenga barabara kutoka Njia panda ya Himo mpaka Tarakea. Alijenga Barabara kutoka Musoma mpaka Sirari. Alijenga barabara kutoka Tanga mpaka Horohoro. Alijenga barabara kutoka Songea mpaka Mbinga ambayo sahivi ndiyo inamaliziwa kuelekea Mbamba Bay wilaya ya Nyasa. Ongezea na wewe km ni mtanzania. Alipanua uwanja wa ndege wa JULIUS NYERERE. Kikwete ndiyo aliyejenga mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar Es Salaam. Hiyo ni baadhi ya miradi na hatukuona makeke yoyote mtu wa watu ni mnyenyekevu mpaka leo.
Unanifuata fuata ili uzi utembee siyo?Sukuma gang asipotawala Msukuma mwenzio hata kama ni malaika hutamkubali.
Ha ha ha ha ha mura,maisha ni mapambano.Unanifuata fuata ili uzi utembee siyo?
Wewe umeifanyia nini Tanzania mkuu tuanzie hapo kwanza, maana nchi hii imebahatika kuwa na wasomi wajinga tu,
Somi. Halafu mwenzake akifanya kitu angalau kinaonekana, litakishambulia kwa maneno kibao, halafu lenyewe na usomi wake linajiweka kuwa na kazi ya uchawa! Huu si ni upumbavu?
Sawa mura!Ha ha ha ha ha mura,maisha ni mapambano.
Asante.Sawa mura!
Tuongezeni mapambano tutatoka tuu
Kinyerezi one Mega Watt 210 na Kinyerezi two Mega Watt 240 jumla Mega Watt 450.
Nchi nzima tuna wastani wa Mega Watt 1800 hivi.
Je, Mega Watt 450 ni asilimia 6 ya umeme wote unaozalishwa Tanzania?
Alijenfa ndio nnJe ni uongo ama kweli JK alijenfa bomba la gesi?
Kammoon!
Ilani ya uchaguzi 2015 ilisema bandari ya Bagamoyo itajengwa ila JPM alifanikiwa?? Si amekuja Mama ndio katenga bajeti ujenzi uanze.
So punguzeni ujuaji yeye alidai Bwawa lilikua ubunifu wa JPM wakati sio kweli ni ubunifu wa Nyerere tokea 1970s huko sema tulikosa Hela tu za kujenga.
Linaitwa Nyerere sababu ni ubunifu wa Nyerere na hata feasibility zilizotumika ni za 1974 ambapo Nyerere ndio alikua Rais. Sasa utaachaje kuita Bwawa la Nyerere.Swali Foto kwako, kwa nini linaitwa Bwawa la Nyerere na nani aliamua liitwe hivyo na kwa nini?
Linaitwa Nyerere sababu ni ubunifu wa Nyerere na hata feasibility zilizotumika ni za 1974 ambapo Nyerere ndio alikua Rais. Sasa utaachaje kuita Bwawa la Nyerere.
JPM...... so what?? Haibadili ukweli kuwa Bwawa ni master plan ya Nyerere na hata feasibility zilifanywa na Nyerere!! So sio ubunifu wa JPM kama mnavyotaka kupotosha humu.Lakini haujajibu swali lote, nani aliamua liitwe Nyerere Dam?
JPM...... so what?? Haibadili ukweli kuwa Bwawa ni master plan ya Nyerere na hata feasibility zilifanywa na Nyerere!! So sio ubunifu wa JPM kama mnavyotaka kupotosha humu.
JPM...... so what?? Haibadili ukweli kuwa Bwawa ni master plan ya Nyerere na hata feasibility zilifanywa na Nyerere!! So sio ubunifu wa JPM kama mnavyotaka kupotosha humu.