WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
JPM amejenga je linafanya kazi??Kwanini Nyerere hakujenga na kwanini JPM aliweza kujenga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM amejenga je linafanya kazi??Kwanini Nyerere hakujenga na kwanini JPM aliweza kujenga?
Mahitaji ya umeme ya kipindi kile ni sawa na Sasa? Angetumia matrilioni enzi zile ilihali Kulikua Bado hata mashule, Barabara, na hospitali hamna? Huwezi mlaumu Nyerere Kuna wakati priorities zinatofautiana kuendana na mahitaji ya wakati husika. Itafika kipindi hata Internet itafungwa kwenye Kila shule Tanzania maana mahitaji yatalazimu Hilo.Kwanini Nyerere hakujenga na kwanini JPM aliweza kujenga?
Akili yako inakuambia kuwa kama Rais ni muovu na muuaji lazima awe ameua kila mtu au kutenda huo uovu kwa kila mtu. PatheticWewe mwenyewe unauovu wako!
Na ilikuwaje uovu wake haukukugusa wewe mwenyewe ukapotea? Sjui kwa nini walipotea wengine na isiwe kwako mkuu
Wewe ilipaswa uwe miongoni mwao!Akili yako inakuambia kuwa kama Rais ni muovu na muuaji lazima awe ameua kila mtu au kutenda huo uovu kwa kila mtu. Pathetic
Hiyo miradi ya awamu ya Kikwete uliyoorodhesha, Magufuli alikuwepo kama waziri! Hivyo pia miradi hiyo alihusika sana, tena pakubwa. Lakini awamu ya tano, viongozi wa awamu zilizo tangulia hawakuhusika na utekelezaji wake. Hivyo, Kongole liende kwa MagufuliHabari za weekend wanajukwaa
Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya miradi awamu ya nne kwa kuweka rekodi sawa kuwakilisha awamu zingine zilizopita kabla ya JPM.
1. Mradi wa Bomba la gesi ulicost matrilioni ya fedha na ulifanyika enzi za JK na Leo hii umeme wa Tanzania kwa 60% unategemea Bomba lile la gesi.
2. Barabara za lami zilijengwa almost Kila mkoa Ili kuunganisha mikoa jirani; pamoja na madaraja ya kumwaga kama Malagarasi n.k. So kama ni miundombinu ya barabara kikwete aliwekeza sana.
3. Mfumo wa Barabara za mwendokasi uliasisiwa kipindi hiki na serikali ya JK Ilimwaga mabilioni kujenga mwendokasi na kuagiza mabasi husika.
4. Airport ya J.K Nyerere Airport ilipanuliwa awamu ya nne. Leo hii tuna Airport yenye Hadhi ya kimataifa jambo ambalo halikufanyika tokea uhuru!!
5. Uzalishaji umeme ulipanuliwa kwa kujenga kituo Cha kufua umeme wa gesi pale Kinyerezi. Hatua hii iliongeza capacity ya uzalishaji umeme kuliko awamu zote zilizopita!!
6. Kulifanyika mradi mkubwa wa kutoa Maji ziwa Victoria kuelekea mikoa ya Kanda ya kati. Mradi ule umefika mpaka mkoa wa Tabora na Sasa unaelekea Singida!! Hayo ni mabilioni na ubunifu wa hali ya juu licha ya kelele kutoka kwa mataifa kama Misri yaliyopinga kabisa kuguswa Maji ya ziwa Victoria.
Hii ni mifano tu ya haraka haraka kwenye eneo la miundombinu. Kwahiyo tuache hizi propaganda kwamba miradi ilianza awamu ya 5 na imeisha awamu ya 5 ni uzembe tu wa kufikiri. Hiyo miradi tajwa hapo juu ingefanyika awamu ya 5 nadhani kelele zingekua nyingi mnoo.
Ni vizuri tuheshimiane Kila awamu, alipoishia Nyerere, mkapa aliendeleza and so on hata Mama Samia anaendeleza anapoweza so tusijikweze kweze na kelele nyingi as if JPM alikua Alpha na Omega.
Naomba kuwasilisha
Nani aliyekwambia JK hakuwa waziri kipindi Cha Mkapa? Or hujui hata mkapa alikua kwenye system tokea enzi za Nyerere? Tukienda kwa staili hiyo ndio tutaelewana kwamba Kila kiongozi ameshiriki kwenye miradi na sio kwamba ilianza kwa JK.Hiyo miradi ya awamu ya Kikwete uliyoorodhesha, Magufuli alikuwepo kama waziri! Hivyo pia miradi hiyo alihusika sana, tena pakubwa. Lakini awamu ya tano, viongozi wa awamu zilizo tangulia hawakuhusika na utekelezaji wake. Hivyo, Kongole liende kwa Magufuli
Dadadeki kawambwa alichemsha ikabidi chuma kitolewe uvuvi kiletwe ujenzi ndani ya wiki lema alikuwa ashikiki alitoka kazi ikafanyika mbele ya chuma mwamba taka chato R.I.PNani aliyekwambia JK hakuwa waziri kipindi Cha Mkapa? Or hujui hata mkapa alikua kwenye system tokea enzi za Nyerere? Tukienda kwa staili hiyo ndio tutaelewana kwamba Kila kiongozi ameshiriki kwenye miradi na sio kwamba ilianza kwa JK.
Otherwise useme JPM hakufanya mradi wowote akiwa Rais sababu Kulikua na waziri wa ujenzi!! Kama ambavyo JK hakufanya mradi wowote sababu aliyefanya alikua waziri JPM!
Sukuma gang hampati tena nafasi ya kuongoza. Mnadhani kuua mtu ndiyo solution.Wewe ilipaswa uwe miongoni mwao!
Kikwete alifanya mambo mengi sana wakati wa utawala wa Mkapa yeye alikuwa Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi aliitangaza vizuri nchi yetu Kimataifa mpaka Ikafutiwa madeni iliyokuwa inadaiwa,Kikwete bado ataendelea kuwa kiongozi muhimu katika nchi yetu,Afrika Mashariki na Sehemu mbali mbali za dunia.Nani aliyekwambia JK hakuwa waziri kipindi Cha Mkapa? Or hujui hata mkapa alikua kwenye system tokea enzi za Nyerere? Tukienda kwa staili hiyo ndio tutaelewana kwamba Kila kiongozi ameshiriki kwenye miradi na sio kwamba ilianza kwa JK.
Otherwise useme JPM hakufanya mradi wowote akiwa Rais sababu Kulikua na waziri wa ujenzi!! Kama ambavyo JK hakufanya mradi wowote sababu aliyefanya alikua waziri JPM!
Ndo ujue ukiona mradi mkubwa uliofanyika hapa Tanzania tambua Kuna mkono wa magufuli pia umehusika haijalishi akiwa rais au akiwa waziri Kwa hyo magufuli Bado ni habari nyingine mchapakazi hakuwa mpiga Domo ndo maana aliaminika na kupewa hizo wizara na akawamini CCM walipoona chama kipo ICU Bado wakawa hawana budi mwamba awawakilishe kukiokoa japo kuwa walikuwa hawapendi ila Kwa faida ya chama na taifa Kwa ujumla mwamba alipoingia kwenye urais Sasa ndo hapo wale wavivu majizi mafisadi mashoga wauza ngada vyeti feki walipoanza kujinyeanyea na ndio wahanga wanaoteseka na magufuli hivi Sasa!!!!Kumbe hata JPM alipokua Rais hakujenga SGR sababu msimamizi hakua yeye Bali makame Mbarawa!! Logic yenu ya kijinga Sana.
Tanzania ina wajinga kama 80% ya population na Magufuli alijuwa hilo, kawajaza propaganda za uwongo na kuwafanya mtaji wake wa kisiasa.Isipokuwa Magufuli alitaka kuaminisha Wajinga kwamba yeye ndiye alianzisha Tanzania na kila kitu kilichomo
Kama mbowe jinsi anavyowajaza ujinga Leo hii 😆😆😆😆😆😆😆Tanzania ina wajinga kama 80% ya population na Magufuli alijuwa hilo, kawahaza propaganda za uwongo na kuwafanya mtaji wake wa kisiasa.
Ukija kinamna hiyo itabidi sasa twende kwa Mainjinia wenyewe waliofanya kazi kwenye saiti ya kujenga hiyo mioindombinu. Maana yeye alikuwa Waziri tu. Mimi nashauri tumfananishe Magufuli Rais na Mkapa au Kikwette Rais, periodNdo ujue ukiona mradi mkubwa uliofanyika hapa Tanzania tambua Kuna mkono wa magufuli pia umehusika haijalishi akiwa rais au akiwa waziri Kwa hyo magufuli Bado ni habari nyingine mchapakazi hakuwa mpiga Domo ndo maana aliaminika na kupewa hizo wizara na akawamini CCM walipoona chama kipo ICU Bado wakawa hawana budi mwamba awawakilishe kukiokoa japo kuwa walikuwa hawapendi ila Kwa faida ya chama na taifa Kwa ujumla mwamba alipoingia kwenye urais Sasa ndo hapo wale wavivu majizi mafisadi mashoga wauza ngada vyeti feki walipoanza kujinyeanyea na ndio wahanga wanaoteseka na magufuli hivi Sasa!!!!
Na mmejaa daah! This is African tunatakiwa tutawaliwe upya "Trump statement 🤔🤔🤔🤔🤔Kama mbowe jinsi anavyowajaza ujinga Leo hii 😆😆😆😆😆😆😆
Werevu mmefanya lipi tuwasifie?Tanzania ina wajinga kama 80% ya population na Magufuli alijuwa hilo, kawahaza propaganda za uwongo na kuwafanya mtaji wake wa kisiasa.
Jifunze kuandika kwanza, ni bure siyo bule!!!Unamatatizo ya ubongo si bule
Acheni double standards, kwahiyo Mama Samia anavyojenga Bwawa la mwalimu Nyerere je JPM ndio yupo site anasimamia mafundi? Au huo mradi wa trillion 60 wa gesi una mkono wa JPM?Ndo ujue ukiona mradi mkubwa uliofanyika hapa Tanzania tambua Kuna mkono wa magufuli pia umehusika haijalishi akiwa rais au akiwa waziri Kwa hyo magufuli Bado ni habari nyingine mchapakazi hakuwa mpiga Domo ndo maana aliaminika na kupewa hizo wizara na akawamini CCM walipoona chama kipo ICU Bado wakawa hawana budi mwamba awawakilishe kukiokoa japo kuwa walikuwa hawapendi ila Kwa faida ya chama na taifa Kwa ujumla mwamba alipoingia kwenye urais Sasa ndo hapo wale wavivu majizi mafisadi mashoga wauza ngada vyeti feki walipoanza kujinyeanyea na ndio wahanga wanaoteseka na magufuli hivi Sasa!!!!
We umetokea wapi mkuu au unataka utuoneshe na we unajua kushika kalamu!!! wapi nimemtaja Samia au nimempondea Samia muwe mnasoma thread vizuri siyo kudandia treni Kwa mbele pinguza shobo!!!!Acheni double standards, kwahiyo Mama Samia anavyojenga Bwawa la mwalimu Nyerere je JPM ndio yupo site anasimamia mafundi? Au huo mradi wa trillion 60 wa gesi una mkono wa JPM?
Acheni ushamba Kila awamu imefanya miradi maana ipo kwenye Mpango wa taifa whether Rais ni CCM au Chadema itajengwa tu. Tupunguze ushamba kudhani miradi ni ubunifu wa mtu mmoja.
Uwanja wa Mpira wa Taifa Magufuli alihusika?Chuo Kikuu Dodoma Magufuri alihusika?Ukumbi wa Bunge Dodoma Magufuri alihusika?TCRA TOWER pale karibu na Mlimani Magufuri alihusika?Ofisi za TRA nchi nzima Magufuri alihusika?Ndo ujue ukiona mradi mkubwa uliofanyika hapa Tanzania tambua Kuna mkono wa magufuli pia umehusika haijalishi akiwa rais au akiwa waziri Kwa hyo magufuli Bado ni habari nyingine mchapakazi hakuwa mpiga Domo ndo maana aliaminika na kupewa hizo wizara na akawamini CCM walipoona chama kipo ICU Bado wakawa hawana budi mwamba awawakilishe kukiokoa japo kuwa walikuwa hawapendi ila Kwa faida ya chama na taifa Kwa ujumla mwamba alipoingia kwenye urais Sasa ndo hapo wale wavivu majizi mafisadi mashoga wauza ngada vyeti feki walipoanza kujinyeanyea na ndio wahanga wanaoteseka na magufuli hivi Sasa!!!!
Je hiyo miradi yote uliyoorodhesha kipindi hicho yanatekelezwa magufuli alikuwa katika wizara ipi?tuanzie hapo!Uwanja wa Mpira wa Taifa Magufuli alihusika?Chuo Kikuu Dodoma Magufuri alihusika?Ukumbi wa Bunge Dodoma Magufuri alihusika?TCRA TOWER pale karibu na Mlimani Magufuri alihusika?Ofisi za TRA nchi nzima Magufuri alihusika?