Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

Umechukua tu sample ya Awamu ya nne kwa vile tu wewe ni timu Kikwete hauna tofauti na timu Magufuri ambao wanaamini kuwa bila Magufuri hakuna kitu chochote cha maana kinaweza kufanyika jambo ambalo ni hasara ya matumizi mabaya ya akili na muda.
 
Safi sana umempa elimu ya kutosha,Asante mkuu.
 
Sukuma gang asipotawala Msukuma mwenzio hata kama ni malaika hutamkubali.
 
Sifa hizi ni za kubumba.
 
Sukuma gang asipotawala Msukuma mwenzio hata kama ni malaika hutamkubali.
Unanifuata fuata ili uzi utembee siyo?

Wewe umeifanyia nini Tanzania mkuu tuanzie hapo kwanza, maana nchi hii imebahatika kuwa na wasomi wajinga tu,

Somi. Halafu mwenzake akifanya kitu angalau kinaonekana, litakishambulia kwa maneno kibao, halafu lenyewe na usomi wake linajiweka kuwa na kazi ya uchawa! Huu si ni upumbavu?
 
Ha ha ha ha ha mura,maisha ni mapambano.
 
Swali Foto kwako, kwa nini linaitwa Bwawa la Nyerere na nani aliamua liitwe hivyo na kwa nini?
 
Swali Foto kwako, kwa nini linaitwa Bwawa la Nyerere na nani aliamua liitwe hivyo na kwa nini?
Linaitwa Nyerere sababu ni ubunifu wa Nyerere na hata feasibility zilizotumika ni za 1974 ambapo Nyerere ndio alikua Rais. Sasa utaachaje kuita Bwawa la Nyerere.
 
Linaitwa Nyerere sababu ni ubunifu wa Nyerere na hata feasibility zilizotumika ni za 1974 ambapo Nyerere ndio alikua Rais. Sasa utaachaje kuita Bwawa la Nyerere.

Lakini haujajibu swali lote, nani aliamua liitwe Nyerere Dam?
 
Lakini haujajibu swali lote, nani aliamua liitwe Nyerere Dam?
JPM...... so what?? Haibadili ukweli kuwa Bwawa ni master plan ya Nyerere na hata feasibility zilifanywa na Nyerere!! So sio ubunifu wa JPM kama mnavyotaka kupotosha humu.
 
JPM...... so what?? Haibadili ukweli kuwa Bwawa ni master plan ya Nyerere na hata feasibility zilifanywa na Nyerere!! So sio ubunifu wa JPM kama mnavyotaka kupotosha humu.

Ndiyo maana nikakuuliza hilo swali kwani Magufuli mwenyewe alisema kwamba kujenga Bwawa ni kutimiza ndoto ya Mwalimu Nyerere na ndiyo maana katika kumuenzi akaamua kuliita Nyerere angeweza kuliita Stiegler Dam pia, hivyo kila mtu anatambua ni wazo la Nyerere na ilikuwa ni ndoto yake Nyerere leo hii tunaiishi karibia labda!
 
JPM...... so what?? Haibadili ukweli kuwa Bwawa ni master plan ya Nyerere na hata feasibility zilifanywa na Nyerere!! So sio ubunifu wa JPM kama mnavyotaka kupotosha humu.

Kwanini Nyerere hakujenga na kwanini JPM aliweza kujenga?
 
Wakati Kalemani anatangaza umeme elfu 27 nchi nzima JPM alikuwa keshakufa. ..naona mnaanza Ku edit history mradi kumpa sifa hata za uwongo...bado kusema Jpm alijenga Udom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…