The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wameanza rehabilitation hasa sehemu ya Dodoma na Iringa jirani na airport pale.I hope watarudia hiyo kazi.... maana nimepita December ile lami kama walipuliza wino wa Bic π π π .... layer ya juu ikitoka kidogo tu, unaona dongo jekundu
Imejengwa kwa asphalt ila surface dressing, Labda ulimaanisha Asphalt Concrete, Lami ya premixSio kupigwa,wali underestimate loading yake kwa sababu hiyo barabara ina malofi mazito robo tatu ni mbao,,malori ni mengi kuliko magari mengine.
Ilitakiwa ijengwe kwa asphalt Ili iwe imara zaidi .
Mambo ya kitaalam sana haya, kwahiyo ili iwe imara zaidi ya pale ilitakiwa ijengweje Mkuu. Maana mimi nikiona rangi nyeusi ile naita mkeka umenga'aa[emoji3][emoji3].Imejengwa kwa asphalt ila surface dressing, Labda ulimaanisha Asphalt Concrete, Lami ya premix
Pamoja na nguzo za umeme za TANESCO na mkaa ya mawe.Kiukweli wali underdesign,,hawakutegemea mizigo ingekuwa mingi na mbaya zaidi ni malori ya mbao za Dom,Arusha,Singida na mikoa yote ya Lake zone..
Kuna siku nimehesabu malori zaidi ya 150 kwa masaa 10.
π€¦πΏββοΈHii barabara tulipigwa aisee.... imechakaa kama imejengwa mwaka 1960
Ikulu ya Chamwino ilijengwa na Nyerere na Chimwaga pia NyerereRubbish.
Hakunaga miradi ya fulani bali kuna miradi ya Nchi..mwenye dhamana ndio atatekeleza.
Mfano Mwalimu Nyerere aliasisi Makao makuu kuwa Dodoma,akatungia na sheria..
Akaja Mwinyi akafanya yake,akaja MKapa akajenga Chimwaga na Chamwino Ikulu.
Akaja JK akajenga Bunge jipya,UDOM,ukumbi wa JK white house,akajenga Audit office,BoT,akaanzisha ofisi ya Waziri Mkuu na baadhi ya Wizara nk.
Akaja Mwendazake ndio Katia msukumo mkubwa zaidi,Samia nae anaendeleza kwa hiyo sio ishu ya fulani
ila hawa viongozi huwa wanachuki sana na kamda ya ziwa.....!! yaani asilimia kubwa ya miradi yao inaelekezwa Dodoma na mikoa mingine ya kiserikali lakini kanda ya ziwa hata hawaikumbuki sijui shida nini?Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
AWAMU YA 6 KAZINI
Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3)
Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta moja ya Ujenzi na Uchukuzi ambayo ni zaidi ya 1900KM, hii inadhihirisha kuwa kweli Benki ya Maendeleo ya Afrika ni benki ya maendeleo ya Afrika lakini kwa maendeleo ya Waafrika - Rais Samia
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
- Barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu 260KM ujenzi unaendelea.
- Tabora (Usesula-Koga-Mpanda) 342KM hii imekamilika
- Upanuzi wa Sakina Tengeru 14KM wa njia nne
- Njia mchepuo Kusini Jiji la Arusha 42.4KM
- Barabara ya Mbinga-Mbamba Bay 66KM
- Barabara ya Singida-Babati-Minjingu 223.5KM
- Barabara ya Arusha-Namanga 105KM
- Iringa- Dodoma 260KM
- Namtumbo-Tunduru 190KM
- Mayamaya-Bonga 188KM
- Tunduru - Mangaka Mtambaswala 202.5KM
TANZANIA: President Samia lays today a foundation stone for the implementation of the 112.3 km Dodoma City Outer Ring Road.
Two Chinese firms (CCECC and AVIC-INTL) to build the ring road worth $214.69M.
CCECC will construct 52km within 39 months and AVIC 60km in 43 months.
View attachment 2114124
View attachment 2114126
View attachment 2114127
View attachment 2114129
View attachment 2114130
View attachment 2114131
Kwa hiyo asiwepo mtu wa kujimwambafy,kilichotofauti ni Kasi ya kuhamia Makao makuu ndio alifanya Mwendazake.Ikulu ya Chamwino ilijengwa na Nyerere na Chimwaga pia Nyerere
Ilishakamilika hiyomfano Tabora mpanda
Surface dressing ni ya kiwango cha chini na bei nafuu, ila sio guarantee ya kuharibika mapemaMambo ya kitaalam sana haya, kwahiyo ili iwe imara zaidi ya pale ilitakiwa ijengweje Mkuu. Maana mimi nikiona rangi nyeusi ile naita mkeka umenga'aa[emoji3][emoji3].
Hapo sijaona Ile ya kutoka USA ujenzi wa daraja pale Maji ya Chai na daraja la kikavu pamoja na lami toka USA mpaka HoliliMiradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
AWAMU YA 6 KAZINI
Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3)
Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta moja ya Ujenzi na Uchukuzi ambayo ni zaidi ya 1900KM, hii inadhihirisha kuwa kweli Benki ya Maendeleo ya Afrika ni benki ya maendeleo ya Afrika lakini kwa maendeleo ya Waafrika - Rais Samia
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
- Barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu 260KM ujenzi unaendelea.
- Tabora (Usesula-Koga-Mpanda) 342KM hii imekamilika
- Upanuzi wa Sakina Tengeru 14KM wa njia nne
- Njia mchepuo Kusini Jiji la Arusha 42.4KM
- Barabara ya Mbinga-Mbamba Bay 66KM
- Barabara ya Singida-Babati-Minjingu 223.5KM
- Barabara ya Arusha-Namanga 105KM
- Iringa- Dodoma 260KM
- Namtumbo-Tunduru 190KM
- Mayamaya-Bonga 188KM
- Tunduru - Mangaka Mtambaswala 202.5KM
TANZANIA: President Samia lays today a foundation stone for the implementation of the 112.3 km Dodoma City Outer Ring Road.
Two Chinese firms (CCECC and AVIC-INTL) to build the ring road worth $214.69M.
CCECC will construct 52km within 39 months and AVIC 60km in 43 months.
View attachment 2114124
View attachment 2114126
View attachment 2114127
View attachment 2114129
View attachment 2114130
View attachment 2114131
Hili ndio jibu sahihi halafu anaweza kiamua kuacha hizo project mbona kuna project Magufuli alizikataa Ila mama amezirudisha na hawasemi?Sio hivyo but jua kabisa anatekeleza ilani ile ile ya CCM ambayo ndio ya mwendazake
Hata hiyo 2026, si lazima ikubalike?Ukweli ni kwamba Samia Hana jipya la kufanya Kwa sasa , Kwa sababu plan za Maghufuli na miradi iliyokuwepo hairuhusu kuanzishwa Kwa miradi mipya , binginevyo mzigo utakuwa mkubwa Sana , effectively miradi yake itaanza 2026...!!!